Nasika rais wa awamu ya tatu aliiacha vizuri hazina, hebu tupe status ya sasa kukoje!?Hatufai ataifilisi hazina kwa kujikopesha kila siku, then ameshindwa kuidhibiti vhadema katika ubadhirifu ataiweza jamhuri ya muungano wa tanzanai.
kwa taarifa yako huyo ndio firstlady wako..... Unamuona alivyoshupavu na jasiri anakabiliana na hali halisi bila kujali umevaa gamba au gunia.. HEBU MPELEKE HAPO MAMA NANILIUU TUONE KAMA ATAWEZA HIYO KASHKASH YA POLICCM... si atajinye.....a
Hata kama palijengwa wakati wa chama kimoja lakini ungozi imara wa chama ndio waliohamasisha, sasa nyie mnashindwaje kuhamasisha wanachama wenu!? By the way TANU kabla ya kuzuiliwa vyama vingi ilikuwa na majengo yake zamani ambayo yalikujaboreshwa baada ya kuingia mfumo wa chama kimoja na baadaye tena kurudi vyama vingi. Mbona mmeshindwa kuwatumia watu wenu vizuri mnabaki kutokwa povu na tamaa ya kudhani mtamiliki mali za ccm! Haiwezekani.
Uchaguzi mwaka huu lazima pachimbike wa tz tumefunguka coz ccm mmetudanganya kwa miaka mingi xana !!! Kwanza kwa kua na ukawa nidhahiri kwamba mabadiliko ni makubwa!!
Hatufai ataifilisi hazina kwa kujikopesha kila siku, then ameshindwa kuidhibiti vhadema katika ubadhirifu ataiweza jamhuri ya muungano wa tanzanai.
Nita ama nchi kama Dr Slaa akigusa vyumba vya ikulu nitakwenda kuishi Uganda!
Kwanza najiuliza kauli ya Lissu ni kauli ya UKAWA?
Nyie endeleeni kuwaabudu SLAA na MBOWE huku wakikifilisi chama, miaka 22 bado makao makuu yako kwenye chumba cha kupanga hamuhoji nuo ufisadi.
Slaa ni kilema wa mkono na mguu hataweza kukabiliana na changamoto za nchi yetu
Mafisadi wakisikia Dr. Slaa tu mara moja uharo unaanza... kama huyu aliyejiharishia hapaWaache wahangaike , wanafikri urais ni sawa na kumkumbatia MSHUMBUSI.
Watanzania wa wapi hao wanaohitaji SLAA?
Nita ama nchi kama Dr Slaa akigusa vyumba vya ikulu nitakwenda kuishi Uganda!
Kwanza najiuliza kauli ya Lissu ni kauli ya UKAWA?
Nilisema huyu Jamaa mropokaji na kweli anazidi kuonyesha rangi zake. Inakuwaje UKAWA hawajafikia maamuzi tayari mtu anakuja na hoja kama hii sii kutaka kuleta ugonvi ndani ya UKAWA.. Ndio maana nikasema UKAWA are not for real ni wasanii tu kama wasanii wengine wa siasa.....Kuna kila dalili kwamba Chadema na vyama washirika vina mpango wa kumsimamisha Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kugombea urais Oktoba mwaka huu.
Dalili hizo zilijitokeza hadharani juzi kutokana na kauli ya Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu aliyoitoa katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Viwanja vya Majengo, Moshi akimtaja Dk Slaa kama ndiye rais ajaye huku akieleza uwezekano wa Ukawa kuchukua nchi.
Lissu alimtaja Dk Slaa na Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo kuwa ndiyo wabunge wa Chadema ambao hawajawahi kushindwa na CCM tangu mwaka 1995.
Historia hiyo itasema mbunge mmoja kati yao (ambao hawajawahi kushindwa na CCM) ni Mzee Ndesamburo na historia hiyo itasema mbunge wa pili ambaye hajawahi kushindwa na CCM ni Dk Willibrod Slaa, rais wetu ajaye, alisema Lissu.
Mjumbe huyo wa Kamati Kuu (CC) ya Chadema, alisema katika historia ya Taifa hili kuna uwezekano mkubwa wa Chadema na vyama washirika kuingia Ikulu baada ya Oktoba.
Vyama washirika ambavyo vinaunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD, vimepanga kusimamisha mgombea mmoja katika ngazi zote za uchaguzi kuanzia urais hadi udiwani katika Uchaguzi Mkuu ujao.
Dk Slaa aligombea urais 2010 na kushika nafasi ya pili kwa kupata kura milioni 2.3 sawa na asilimia 26.34 nyuma ya Rais Jakaya Kikwete aliyeshinda kwa kura milioni 5.3 sawa na asilimia 61.17.
Hadi sasa Ukawa haijateua wagombea wake katika ngazi hizo ambazo ni urais, ubunge na udiwani ambao watachuana na wagombea wa vyama vingine.
Chanzo: Mwananchi
Nafikiri hujui chama na serikali vilivyokuwa vinafanyakazi kabla ya vyama vingi,Hata kama palijengwa wakati wa chama kimoja lakini ungozi imara wa chama ndio waliohamasisha, sasa nyie mnashindwaje kuhamasisha wanachama wenu!? By the way TANU kabla ya kuzuiliwa vyama vingi ilikuwa na majengo yake zamani ambayo yalikujaboreshwa baada ya kuingia mfumo wa chama kimoja na baadaye tena kurudi vyama vingi. Mbona mmeshindwa kuwatumia watu wenu vizuri mnabaki kutokwa povu na tamaa ya kudhani mtamiliki mali za ccm! Haiwezekani.
Nilisema huyu Jamaa mropokaji na kweli anazidi kuonyesha rangi zake. Inakuwaje UKAWA hawajafikia maamuzi tayari mtu anakuja na hoja kama hii sii kutaka kuleta ugonvi ndani ya UKAWA.. Ndio maana nikasema UKAWA are not for real ni wasanii tu kama wasanii wengine wa siasa.....
editedmkuu kwni kutoa maoni ni kosa? nakuhakikishia Dr slaa atagombea urais wa muungano na maalim seif atagombea urais wa zanzibar.