Feedback
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 7,988
- 4,514
Kila mtu ana kilema chake hata wewe hapo ulipo lazima una kilema chako,Slaa ni kilema wa mkono na mguu hataweza kukabiliana na changamoto za nchi yetu
rais aliye madarakani ana kilema chake cha kuanguka hovyo pia ana kilema cha utu uzima tezidume lakini halimzuii kuchapa kazi.