Lissu: Dr. Slaa ni Rais ajaye

Lissu: Dr. Slaa ni Rais ajaye

Jamiiforums mnaruhusu Dr.Slaa tuitwa mzinzi,na hamtaki Kikwete aitwe Mkwere wala Zito kuitwa --------(ayatol.a Msal.iti)


Bora umeliona hilo, hizi siasa za majitaka zilianza mara baada ya uchaguzi wa 2010 pale ccm iliposhinda kwa shaka. Ikaamua eti kuja na vijana wa kujibu mapigo mitandaoni, kwani walidhani cdm imepata nguvu kwa ajili ya mitandao tu. Vijana hao wa ccm wakaja na style ya kuprovoke watu na kutoa kashfa ili mada ziharibike na watu waacha mada bali wajadili watu. Matokeo yake siasa hizo leo ndio zimekuwa mwiba kwao kwani watu wanajua kutukana na kujenga hoja. Kwa bahati mbaya ccm wanajua kutukana tu lakini kujenga hoja ni zero. Leo hii kila siku unaona Slaa akiitwa Padri tena kwa dhamira mbaya lakini ukimtaja Zitto kwa jina la hivi karibuni unapigwa ban, ama JK ukiimuita jina baya ban inakuhusu. Nimewahi kuwaambai Mods huko nyuma hiyo tabia wanayoiacha kwa upendeleo inaliacha jukwaa hili kama kichaka ama kijiwe cha wahuni na sio eneo tena la kuonyana na kuelimishana. Na napenda kuwauliza mods hili mnalifanya kwa faida ya nani?
 
Ccm imeua kabisa huduma za afya nchini
Miaka 51 ya uhuru bado akina mama wetu wanajifungulia chini,nje ya wodi za wazazi!!!!CCM jamani nani ajazaliwa na mwanamke?kwanini hili linatushinda?bye bye CCM
 
Jamiiforums mnaruhusu Dr.Slaa tuitwa mzinzi,na hamtaki Kikwete aitwe Mkwere wala Zito kuitwa --------(ayatol.a Msal.iti)
Hivi mtu anayepora mke wa mtu na kumpa mimba unataka aitwaje Padre?
 
Slaa akiwa rais atafunga mafisadi wengi mno na kutaifisha mali zao. Mafisadi vyupi vinabana sasa hv hii habari sio njema kwao hata kidogo.

Itabidi aanze na kusafisha ufisadi wote unaoendelea chamani mwake CDM. Mbowe anachukua misaada nje kwa mgongo wa chadema afu anarudi kukopesha chama kwa riba kubwa utadhani ni fedha zake. Afu faida anatumia kununua majumba Dubai na bondeni.
 
babu lea mtoto;

hatutaki vingola vya kiliniki.

sisi zittoooooooooooooooooooooo
 
Miaka 51 ya uhuru bado akina mama wetu wanajifungulia chini,nje ya wodi za wazazi!!!!CCM jamani nani ajazaliwa na mwanamke?kwanini hili linatushinda?bye bye CCM

mke wa babu slaa kajifungulia MAREKANI?
WKT KAJIFUNGULIA MWANANYAMALA.
CHINI YA ccm
 
Hilo halina ubishi kwan watanzania wengi wanaju Rais wa ya yano ni Dr Slaa
 
Atakuwa Rais wa twiga star siyo tanzania.
 
babu lea mtoto;

hatutaki vingola vya kiliniki.

sisi zittoooooooooooooooooooooo
Kwanza mda wa kutenga bajeti ya kutibu Rais hatuna tunataka rais mzima bana.
 
  • Thanks
Reactions: R.B
kwa sisi wakristo aliyefukuzwa kwa mungu ni mmoja tu ambae ni shetan tena alikuwa maraika mkuu mbinguni sasa wewe unaesema binadam kama wewe amefukuzwa kwa mungu cjui mungu yupi tujibu tuelewe
 
Nyie endeleeni kuwaabudu SLAA na MBOWE huku wakikifilisi chama, miaka 22 bado makao makuu yako kwenye chumba cha kupanga hamuhoji nuo ufisadi.

Dada mbona povu linakutoka hivyo,vipi umeachika nn tukupe hifadhi?
 
Namwona team ya ccm mnataka kuzuia mafuriko kwa mikono mjiandae kisakolojia raisi ajaye ni Dr.Slaa hakuna mwenye uwezo wa kuzuia kuingia ikulu kwani wananchi wameshachoka kuongozwa na ccm miaka 53,ya maisha duni inatosha.
 
Atakuwa tegemeo lako siyo watanzania mtu ambaye alifukuzwa kwa mungu ataweza kwa wanadamu wa kawaida?

Ficha ujinga hizi ni porojo za kijinga huna hoja.
 
mke wa babu slaa kajifungulia MAREKANI?
WKT KAJIFUNGULIA MWANANYAMALA.
CHINI YA ccm

Bora mlemavu wa kiungo kuliko mlemavu wa akili kama wewe mwananyamala inamilikiwa na ccm na wadaktari wote ni makada wa ccm?
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Back
Top Bottom