MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,510
Kanywe sumu ya mende..
alafuu!!!
Kanywe sumu ya mende..
lisu sijui amekula maharage ya wapi huyuuu!!!!SLAAA KAMWE HAWEZI KUWA RAIS WA HII NCHI, RAIS ANA MCHUMBA AMBAYE NI MKE WA MTU.... HAHAHAHAHAHAHAHA

wacheza karata wote wanajua nin ninaposema Jocker, kwa wasiofaham "Jocker" ina maanisha karata muhimu sana ambayo ina point nyingi na ambayo ikichezwa vilivyo ndio huwa msingi wa ushindi, na mwenye karata katika mchezo huwa ndiye aliyeshika mpini na wengine ni kama mmeshika makali.
baada ya kugundua kosa kubwa lililofanyika, akina Yeriko na wenzake wametumwa kupiga makelele ili kukupanikisha ili ucheze karata zako vibaya na kama hutakuwa mwangalifu unaweza kupoteza mchezo hali ya kuwa wewe mpaka muda huu ni mshindi kwa kuonesha umahili mkubwa katika andiko lako la jana.
Watanzania wengi tulijenga imani kubwa na mageuzi kupitia mwenendo mzuri uliouonesha wewe na wenzako ambao mara zote mlimaanisha kwa vitendo yale mliyokuwa mkiongea-pongezi hizo ziwafikie Zitto Kabwe na John Mnyika.
Vijana wapiga hela wa kasikazin baada ya kuona wewe na hao vijana mmekuwa barrier kwenye issues zao, wakaingizia chuki na kuwagombanisha bila ya kujali Utanganyika na Uzanzibar unatokana na muungano wenu na kwamba nje ya Muungano huyu atakuwa Mzanzibar na yule ni Mzanzibar-hali hiyo inadhihirika sasa ambapo pamoja na heshima yako kubwa vijana wanatumwa kukutukana wewe na familia yako kuwa ni mzinzi na Msaliti.
naomba nikutie moyo kuwa sisi wana mapinduz wa kweli tupo wengi na tupo nyuma yako na kamwe usiteteleke juu ya msimamo huo ambao ni sahih na ndicho hasa msingi wa uwepo wa CDM hapo ilipofikia na kama mapema tungejua kuwa na chama cha kifisadi ,wezi na ghiliba Watz wangebakia na CCM yao walioyozoea.
Kinachofanyika nikukupanikisha utoe Jocker lako mapema-tulia mkuu hutakiwi kuwa na haraka katika kipindi hikl, fanyeni maamuz sahihi na sisi waungwana tutawafuata-wao wana hela na sisi tuna M/mungu
Tafiti zimefanyika zikaonyesha kwa hali ya kawaida ni ngumu Upinzani kushinda. Wenzake wakaliona hili. Chama cha siasa kazi yake kubwa ni kushinda chaguzi. CCM wameshasema hata km ni goli la mkono wanataka ushindi, hiyo ndo kazi ya kwanza.
Dr Slaa nampenda sana hila km macho yake hayawezi kufumbua na kuona jambo hili basi napata mashaka naye. Km CCM wako tayari kushinda kwa goli la mkono, kwa nini hataki Chadema ishinde kwa goli la offside?
Anajua kabisa kwamba akitaka kucheza mchezo Wa kufuata Sheria wakati mpinzani wake yuko tayari kushinda bila kufuata kanuni na refari haoni tatizo, kwa nini yeye anataka Kuendelea na mechi ambayo anajua hawezi kushinda?
Ubarikiwe sana mkuu kwa andiko lisilokuwa na ushabiki.