Addict
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 702
- 485
Nilisema huyu Jamaa mropokaji na kweli anazidi kuonyesha rangi zake. Inakuwaje UKAWA hawajafikia maamuzi tayari mtu anakuja na hoja kama hii sii kutaka kuleta ugonvi ndani ya UKAWA.. Ndio maana nikasema UKAWA are not for real ni wasanii tu kama wasanii wengine wa siasa.....
hahhaahhaha....whatever...its wewe who said unapambana na UKAWA muda wote...na ni maadui zako
Iweje ikuume wewe ugomvi kuwepo ndani ya UKAWA
UKAWA is real....Sijui kama Act yenu ni real
Hapa kamanda anaeneza chama kwa wapiga box....kwetu sisi hata watu hoples ni wapiga kura wazuri