Lissu: Dr. Slaa ni Rais ajaye

Lissu: Dr. Slaa ni Rais ajaye

babu lea mtoto;

hatutaki vingola vya kiliniki.

sisi zittoooooooooooooooooooooo
Mtakuwa machizi mwaka huu lakini hizi ni kelele za chura tuu Dr.slaa ndo raisi mtarajiwa hilo halina ubishi.
 
Itabidi aanze na kusafisha ufisadi wote unaoendelea chamani mwake CDM. Mbowe anachukua misaada nje kwa mgongo wa chadema afu anarudi kukopesha chama kwa riba kubwa utadhani ni fedha zake. Afu faida anatumia kununua majumba Dubai na bondeni.
nyani huwa haoni kunduni vipi zile pesa zetu za Escrow mafisadi wenu mnawapeleka lini mahakamani?
 
Nita ama nchi kama Dr Slaa akigusa vyumba vya ikulu nitakwenda kuishi Uganda!

Kwanza najiuliza kauli ya Lissu ni kauli ya UKAWA?
Mtaweweseka sana mwaka huu jiandae kurudi kwenu burundi.
 
Mama yangu ni malaya wa baba, Mama yako anagongwa na Bwana wa Mshumbusi.

Mods hapa hamtendeki haki wahuni wanatukana matusi bado mnawaacha siyo sawa huyu mpuuzi TataMadiba mnatakiwa kutoa data zake kwa polisi waanze kufuatilia kwani sheria mpya imetungwa kwa ajili watu kama huyu.
 
Last edited by a moderator:
Acha kujibishana na mtu ambae hajitambui kwan hajui hata mwananyamara inaendeshwa kwa kodi za watanzania
 
Kwahiyo huyu ndio anakuwa first lady?

josepjine-slaa-1.jpg
 
kuna kila dalili kwamba chadema na vyama washirika vina mpango wa kumsimamisha katibu mkuu wa chadema, dk willibrod slaa kugombea urais oktoba mwaka huu.

Dalili hizo zilijitokeza hadharani juzi kutokana na kauli ya mwanasheria mkuu wa chadema, tundu lissu aliyoitoa katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya majengo, moshi akimtaja dk slaa kama ndiye rais ajaye huku akieleza uwezekano wa ukawa kuchukua nchi.

Lissu alimtaja dk slaa na mbunge wa moshi mjini, philemon ndesamburo kuwa ndiyo wabunge wa chadema ambao hawajawahi kushindwa na ccm tangu mwaka 1995.

“historia hiyo itasema mbunge mmoja kati yao (ambao hawajawahi kushindwa na ccm) ni mzee ndesamburo na historia hiyo itasema mbunge wa pili ambaye hajawahi kushindwa na ccm ni dk willibrod slaa, rais wetu ajaye,” alisema lissu.

Mjumbe huyo wa kamati kuu (cc) ya chadema, alisema katika historia ya taifa hili kuna uwezekano mkubwa wa chadema na vyama washirika kuingia ikulu baada ya oktoba.

Vyama washirika ambavyo vinaunda umoja wa katiba ya wananchi (ukawa) vya chadema, cuf, nccr-mageuzi na nld, vimepanga kusimamisha mgombea mmoja katika ngazi zote za uchaguzi kuanzia urais hadi udiwani katika uchaguzi mkuu ujao.

Dk slaa aligombea urais 2010 na kushika nafasi ya pili kwa kupata kura milioni 2.3 sawa na asilimia 26.34 nyuma ya rais jakaya kikwete aliyeshinda kwa kura milioni 5.3 sawa na asilimia 61.17.

Hadi sasa ukawa haijateua wagombea wake katika ngazi hizo ambazo ni urais, ubunge na udiwani ambao watachuana na wagombea wa vyama vingine.


chanzo: mwananchi
kwahiyoo!!!!!!
 
jamiiforum kutukanwa atukanwe DR Slaa akitukana Zitto unapigwa ban... upuuzi huu ndio maaan DR Slaa aliacha kuchangia maada humu sababu hiyo kundi limekua na upendeleo sana Ukimwita Ayatoulah unafungiwa lakin Dr Slaa ataitwa jambazi mwizi mzinzi mlemavu lakin uongozi wa kundi unachekelea tu
 
Labda aruongezee walevi na mateja lkn padri slaa hawezi kuongoza nchi
 
Unajua hilo jengo la makao makuu ya CCM lilijengwa lini na kwa nguvu ya nani? Kabla ya vyama vingi chama kilikuwa kimoja wananchi wote tulishiriki kulijenga hata tusio wanaCCM,

unaweza kutuambia kwa kipindi cha kuanzia 1992 chama cha mapinduzi kimejenga jengo gani lake?

Hata kama palijengwa wakati wa chama kimoja lakini ungozi imara wa chama ndio waliohamasisha, sasa nyie mnashindwaje kuhamasisha wanachama wenu!? By the way TANU kabla ya kuzuiliwa vyama vingi ilikuwa na majengo yake zamani ambayo yalikujaboreshwa baada ya kuingia mfumo wa chama kimoja na baadaye tena kurudi vyama vingi. Mbona mmeshindwa kuwatumia watu wenu vizuri mnabaki kutokwa povu na tamaa ya kudhani mtamiliki mali za ccm! Haiwezekani.
 
Back
Top Bottom