Uchaguzi 2020 Lissu aungwe mkono kwa vitendo si maneno tu

Tukumbuke kuwa Tundu Lissu alivuliwa ubunge akiwa mgonjwa na wala hakulipwa kiinua mgongo. Tusiache kumchangia mafuta na maji ya kunywa katika safari ya ukombozi.

Wote tujitokeze kumpigia kura 28/10/2020.
Walimu 13,000 mliopata ajira juzi. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.
Wamachinga, sasa mmeambiwa kitambulisho si muhimu. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.

Wakulima, mtapata nafasi ya kutafuta masoko yenye tija nchi jirani kwa ushirika wenu. Kura zenu kwa Lissu zitafanikisha haya.

Wanafunzi, mikopo ya elimu ya juu hata kwa walio soma English Medium. Mpeni kura Tundu Lissu.

Huduma bora za afya kwa wote. Kura kwa Tundu Lissu.

Mliobomolewa nyumba bila fidia, kura zenu kwa Lissu zitamuwezesha kufuta machozi yenu.

Wafanyakazi Lissu ameahidi kuhakikisha ongezeko la mishahara linafanyika kila mwaka. Kura yako itafanikisha haya.

Ahsante dada
 
Hiyo Pumbavuuuu baki nayo mwenyewe

Wamejiandikisha 29million, wanachama hai wa CCM ni 17million na wapinzani waliounga mkono juhudi za rais ni 7million.
Usipanick!
Number haziongopi na hazina blah blah
Pumbavu unastahili kuichukua na wala usiirudishe, it belongs to you Mataga

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Kimsingi Lissu anasaka kura za huruma.

Suala usaliti na lengo la kuivurugaTanzania halijaisha vichwani mwa Watanzania

Mpaka sasa anasuswa na Mwenyekiti wake ujue hatopata kura za kujaa hata kikombe
 
Attachments

  • Magufuli overpowerful.docx
    183.2 KB · Views: 3
  • Busu kwa Tundu Lissu.docx
    126 KB · Views: 3
Tunadunduliza hadi aingie Ikulu mwenye buku hadi Msimbazi
Watanzania mnaodai ni maskini bado mnataka wamchangie Lissu mnayesema hana njaa! Ahahahahahahah! By the way, nasikia Mwenyekiti Mbowe AMESUSA kampeni za Lissu na kuna uwezekano mkubwa baada ya uchaguzi Lissu akafukuzwa Chadema.
 
Masikini huwa wanachangiana wenyewe kwa wenyewe. Naona mataga mmejitengezea propaganda ya mwenyekiti kususia kampeni, kisha mnaiamini wenyewe! Huko kwenye kampeni hakuna mwenye shida na Mbowe maana hagombei urais, bali wanataka kumsikia na kumuona mgombea urais. Mbona kwenye kampeni za ccm hatumuoni Mang'ula, au naye kasusia na badala ya uchaguzi atamfukuza Magufuli chama? Kwa taarifa yako Lisu ni zaidi ya chama, ni kama Maalim Seif, kawaulize CUF baada ya kuondoka Seif.
 
Of course kwenye hilo la Chadema kuamini mtu badala nakuunga mkono.
 
Back
Top Bottom