Uchaguzi 2020 Lissu aungwe mkono kwa vitendo si maneno tu

Tuache cheap politics na kugeuzana wajinga kama ana hoja mbadala aje na hoja zilizosimama! Bila kodi atapata wapi nyongeza ya mishahara, ajira, fidia nk. Ajiara 13,000 zinauhusiano gani na Lisu, tafadhali onyesha. Unakoelekea utasema na mshahara wa mwezi wa tisa tumshukuru Lisu, madeni na malimbikizo mbona tumelipwa wakati yuko busy anatuchongea kwa wafadhili?! Tuweni waungwana kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu , siyo ushabiki tu!
1600939332342.png

Tundu Lissu endelea kupiga spana baba. Gongelea na misumari!😂

Oktoba 28. 2020 Wananchi Tunajambo Letu!

#niyeye2020
 
Tukumbuke kuwa Tundu Lissu alivuliwa ubunge akiwa mgonjwa na wala hakulipwa kiinua mgongo. Tusiache kumchangia mafuta na maji ya kunywa katika safari ya ukombozi.

Wote tujitokeze kumpigia kura 28/10/2020.
Walimu 13,000 mliopata ajira juzi. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.
Wamachinga, sasa mmeambiwa kitambulisho si muhimu. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.

Wakulima, mtapata nafasi ya kutafuta masoko yenye tija nchi jirani kwa ushirika wenu. Kura zenu kwa Lissu zitafanikisha haya.

Wanafunzi, mikopo ya elimu ya juu hata kwa walio soma English Medium. Mpeni kura Tundu Lissu.

Huduma bora za afya kwa wote. Kura kwa Tundu Lissu.

Mliobomolewa nyumba bila fidia, kura zenu kwa Lissu zitamuwezesha kufuta machozi yenu.

Wafanyakazi Lissu ameahidi kuhakikisha ongezeko la mishahara linafanyika kila mwaka. Kura yako itafanikisha haya.

Wafanyabisshara kodi itatokana na mapato yako, hakuna kodi za kukomoana. Mwezesheni Lissu kufanikisha haya.

Tupoootushamuunga mikono na miguu nini kumpa kura mapema tu
 
Kimsingi Lissu anasaka kura za huruma.

Suala usaliti na lengo la kuivurugaTanzania halijaisha vichwani mwa Watanzania

Mpaka sasa anasuswa na Mwenyekiti wake ujue hatopata kura za kujaa hata kikombe
Hili nalo nyumbani utakuta lina familia ptuu
 
Acha uzushi na upotoshaji ndugu, Hivi ni lini Mowe alitamka kumsusa Lissu? Ifahamike kuwa kwanza Mbowe alivunjwa mguu mwezi July ambapo kitaalam anatakiwa kupumzika ili mfupa uunge kwa kipindi cha miezi 6, hivyo anahitaji muda wa kupumzikana apuumzike tu maana Lissu pekeake anatosha kukandamiza hoja na ilani ya chama bila uwepo wa Mbowe! Pia lazima ifahamike kuwa Mbowe ni mgombea ubunge jikmbo la Hai, kwa mwaka huu CCM imewekeza nguvu kubwa kuhakikisha wanamg'oa Mbowe ili kudhoofisha upinzani bungeni, hivyo Mbowe sio mjinga hachezi mbali na jimbo, anapambana kamanda wetu!
 
Tukumbuke kuwa Tundu Lissu alivuliwa ubunge akiwa mgonjwa na wala hakulipwa kiinua mgongo. Tusiache kumchangia mafuta na maji ya kunywa katika safari ya ukombozi.

Wote tujitokeze kumpigia kura 28/10/2020.
Walimu 13,000 mliopata ajira juzi. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.
Wamachinga, sasa mmeambiwa kitambulisho si muhimu. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu.

Wakulima, mtapata nafasi ya kutafuta masoko yenye tija nchi jirani kwa ushirika wenu. Kura zenu kwa Lissu zitafanikisha haya.

Wanafunzi, mikopo ya elimu ya juu hata kwa walio soma English Medium. Mpeni kura Tundu Lissu.

Huduma bora za afya kwa wote. Kura kwa Tundu Lissu.

Mliobomolewa nyumba bila fidia, kura zenu kwa Lissu zitamuwezesha kufuta machozi yenu.

Wafanyakazi Lissu ameahidi kuhakikisha ongezeko la mishahara linafanyika kila mwaka. Kura yako itafanikisha haya.

Wafanyabisshara kodi itatokana na mapato yako, hakuna kodi za kukomoana. Mwezesheni Lissu kufanikisha haya.

Zawadi yangu kwa Lissu ni kumpigia kura. Over
 
Back
Top Bottom