Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,540
- 95,125
Huu unaoleta uchangudoa kwenye issue muhimu..!!punguza kamba jukwaani ndugu mdau,
acha kupotosha wafuata mkumbo
Ungetafuta supu unywe utoe hangover.
Huu unaoleta uchangudoa kwenye issue muhimu..!!punguza kamba jukwaani ndugu mdau,
acha kupotosha wafuata mkumbo
naona unajaribu kumtuliza na kumuelewesha mfuata mkumbo mwenzako lofa wa utaratibu wa kisheria.Kisheria siyo lazima. Hakushitakiwa kama Mwenyekiti wa CHADEMA Bali kama Tundu Lissu.
Naelewa unachomaanisha lakini na hao waliomshitaki wametumia mwanya wa kisheria kufanya walichofanya.
Labda wanamsomea mashitaka mapya yanayotokana na maelezo ya Tume ya Jaji Chande ama pia DPP ameleta "Nole Prosequi" ili afute mashitaka.
Yaani unavyoandika unaonekana wewe ni "kichwa cheupe' sanahapana gentleman,
ila lisu ana kakontena kake kamsosi hadi kizimbani anaenda nako![]()
Kwani akiwa kama Tundu Lissu ndio hana haki ya kuoewa taarifa ili awajulishe mawakili wake?Kisheria siyo lazima. Hakushitakiwa kama Mwenyekiti wa CHADEMA Bali kama Tundu Lissu.
Naelewa unachomaanisha lakini na hao waliomshitaki wametumia mwanya wa kisheria kufanya walichofanya.
Labda wanamsomea mashitaka mapya yanayotokana na maelezo ya Tume ya Jaji Chande ama pia DPP ameleta "Nole Prosequi" ili afute mashitaka.
hiyo kitu si ndio mambo yenu huko chamani kwenu my lady?Huu unaoleta uchangudoa kwenye issue muhimu..!!
Ungetafuta supu unywe utoe hangover.
sasa ndugu kichwa cheusi,Yaani unavyoandika unaonekana wewe ni "kichwa cheupe' sana
Kumbe ndiomana unapumua hovyo ushapiga kande..!!hiyo kitu si ndio mambo yenu huko chamani kwenu my lady?
halafu,
saa6 huwa ni muda wa maji ya supu au au mfano supu?
napendelea zaidi uji au kande asubuhi na namshukuru Mungu nilishapitia hiyo hatua kwa leo.
kwahiyo,Kumbe ndiomana unapumua hovyo ushapiga kande..!!
Una taarifa kutoka kwa wakubwa wenu, lazima mama yenu ateme ndoano,jikite kwenye porojo mahususi ya mfuata mkumbo mezani gentleman, bila kuweweseka wala kuendekeza mihemko nonsense jukwaani, right?
Kutoka kwenye akaunti ya X ya Hilda Newton, anaripoti kuonekana kwa Lissu mahakamani leo asubuhi bila chama au mawakili wake kupewa taarifa.
View attachment 3581738
hizo ramli kawahubirie wafuata mkumbo wenzako malofa gentleman,Una taarifa kutoka kwa wakubwa wenu, lazima mama yenu ateme ndoano,
"Kama ilivyotarajiwa, "tume" hii ilifunika ukandamizaji mkali na ukweli. Naunga mkono mapitio ya serikali ya Marekani na kutoa wito wa shinikizo endelevu kwa Tanzania, ikiwa ni pamoja na kuachiliwa kwa Tundu Lissu. Kusubiri uchunguzi kwa ripoti iliyopakwa chokaa ni mkakati mbovu; haitarejesha uaminifu lakini badala yake huongeza hatari ya muda mrefu na kutoaminiana kwa serikali inayotawala."
Lissu anajiwakilisha hivyo dola imetumia mwanya huo (loops hole) kumfikisha mahakamani bila ya taarifa kwani yeye ni wakili wa mashitaka dhidi yake mwenyewe!
Kutoka kwenye akaunti ya X ya Hilda Newton, anaripoti kuonekana kwa Lissu mahakamani leo asubuhi bila chama au mawakili wake kupewa taarifa.
View attachment 3581738
hizo ramli kawahubirie wafuata mkumbo wenzako malofa gentleman,
tume ya jaji chande imesaidia pakubwa kuzitambua AZAKI zinazofadhili matukio ya kigaidi.
AZAKI na Iran lao moja katika kufdhili ugaidi Tanzania na masharikai ya kati,
so,
marekani itapata fursa muhimu sana kuungana na kushirikiana na Tanzania katika mapambano dhidi ya ugaidi duniani na kuzitokomeza AZAKI ZINAZOFADHILI UGAIDI TANZANIA.
mpuuzi hutokaa uache upuuzialikuja tena na chakula chake kwenye mkoba hadi kizimbani?
maana ana minyoo wakali mno yule jamaa dah
muerevu mbona umepanic kindezi hivyo na mihemko yako nonsense ya kinyumbu daily?mpuuzi hutokaa uache upuuzi
Sasa kwanza hatujui kama kweli yupo mahakamani na kama yupo mahakamani kapelekwa ili kiwe nini.Kwani akiwa kama Tundu Lissu ndio hana haki ya kuoewa taarifa ili awajulishe mawakili wake?
Ni sheria gani hiyo inayomnyima mtu haki ya kupewa taarifa na mawakili wake?
Jamhuri wanafanya mambo ya ajabu na aibu, hapo hakuna pengo la sheria.
Huo ni mpango ovu wa serikali kupitia mahakama kuendelea kumkandamiza Lissu na Chadema ili wakubali kwenda kwenye maridhiano.Sasa kwanza hatujui kama kweli yupo mahakamani na kama yupo mahakamani kapelekwa ili kiwe nini.
Kama ni kwa ajili ya kesi ya Uhaini wakili wake ni yeye mwenyewe.
Lakini taarifa rasmi inasema alipelekwa kusomewa uamuzi wa mahakama kuhusu yeye kuunganishwa kwenye kesi ya mgawanyo wa Mali.
Nanukuu "Kusubiri uchunguzi kwa ripoti iliyopakwa chokaa ni mkakati mbovu". Mwisho wa kunukuu.hizo ramli kawahubirie wafuata mkumbo wenzako malofa gentleman,