Lissu aonekana Mahakamani leo

Lissu aonekana Mahakamani leo

Nanukuu "Kusubiri uchunguzi kwa ripoti iliyopakwa chokaa ni mkakati mbovu". Mwisho wa kunukuu.
hiyo ni mipasho nonsense ni ya kwenye kanga au kitenge gentleman unaileta kwenye siasa?
 
Lissu anajiwakilisha hivyo dola imetumia mwanya huo (loops hole) kumfikisha mahakamani bila ya taarifa kwani yeye ni wakili wa mashitaka dhidi yake mwenyewe!
Hapana huo ni uhuni, kumbuka Lissu yuko gerezani na aliiambia mahakama mapema mwanzoni kwamba anawategemea mawakili wake kufanya research ya hoja mbalimbali!.
Yeye akiwa gerezani hawezi kufanya hivyo.
 
Kutoka kwenye akaunti ya X ya Hilda Newton, anaripoti kuonekana kwa Lissu mahakamani leo asubuhi bila chama au mawakili wake kupewa taarifa.

View attachment 3581738

UPDATES:

Brenda Rupia: Ni kweli kuwa, Mwenyekiti alifikishwa mahakamani kusomewa uamuzi mdogo kufuatia Maombi yake ya kuunganishwa kwenye kesi ya said Issa Mohamed na wenzake wawili dhidi ya Bodi ya wadhamini na Katibu Mkuu wa Chama.

Katika uamuzi wake, Mahakama kuu imekataa Maombi ya Mhe Lissu kuunganishwa kwenye kesi hiyo.
Wamefanya timing wakampeleka kimya kimya leo siku ambayo mawakili karibu wote wapo kwenye shughuli yao TLS.
 
Nawapa Pole sana CCM na serikali yake ...
Hiki chama kimejitafutia matatizo chenyewe kwa sababu ya kudharau misingi yake...wewe uteke watu hovyo...upoteze watu kila kona ya nchi alafu utegemee raia wakukenulie meno..hahaha..leo wana struggle sababu ya dharau na kuona wananchi malofa....
Maji yalishamwagika Oct 29....
Tanzania 🇹🇿 kabla ya October 29 haitakuja kurudi KAMWE hata iweje...wanapoteza muda tu...hawana Exit plan...ni vituko tu...
 
muerevu mbona umejaa mihemko tu jukwaani?
akili ulizonazo ziko wapi hapo kwenye hiyo mihemko nonsense?
Kwa taarifa yako 'waheshimiwa' meshakujua wewe ni nani na location. Tunakupa muda tu ujilengeshe wazee tufanye vitu vyetu. Mark my word!!
 
Kwa taarifa yako 'waheshimiwa' meshakujua wewe ni nani na location. Tunakupa muda tu ujilengeshe wazee tufanye vitu vyetu. Mark my word!!
karibuni sana nyumbani nyie wafuata mkumbo malofa :pedroP:
 
Lissu anajiwakilisha hivyo dola imetumia mwanya huo (loops hole) kumfikisha mahakamani bila ya taarifa kwani yeye ni wakili wa mashitaka dhidi yake mwenyewe!
Siyo kweli.
Hii ni kesi tofauti na ile ya uhaini inayomkabili yeye.
Hii ni kesi ya chama iliyofunguliwa na wazanzibari.

Hata hivyo nakubaliana na wazo la kuwa waovu wanatumia mbinu za hila katika swala hili.

Wanazidi kuonyesha ushetani wao dhidi ya waTanzania.
 
alikuja tena na chakula chake kwenye mkoba hadi kizimbani?
maana ana minyoo wakali mno yule jamaa dah
Nyie ndio mnasababisha visasi na machafuko mabaya kwa kauli zenu za kejeli kama hizi.
Hivi unadhani utacheka cheka na kukejeli hivyo siku wanaoonewa wakicharuka na hali kuchafuka? Unajua kuwa makijani ndio wako kwenye risk kuwa ya kuathirika na hali hiyo? Tlaatlaah tumia akili kujiuliza uko sawa?
 
Huyu kilaza wa kizimkazi kwann anatuchezea hv halafu tunamuangalia tu wazee
Ni muhimu uelewe kwamba Samia hana 'options' tena.
Amejaribu njia zote za kumshawishi Tundu Lissu, na zote zimeshindikana.

Haya anayofanya sasa ni matokeo ya 'frustrations' akitumaini kuwa pengine katika haya atapata nafasi ya upenyo atakayoweza kuitumia kutoka kwenye kibano kinachozidi kukaza siku hadi siku.i

Ni wakati mgumu sana kwa Samia wakati huu.
 
Nyie ndio mnasababisha visasi na machafuko mabaya kwa kauli zenu za kejeli kama hizi.
Hivi unadhani utacheka cheka na kukejeli hivyo siku wanaoonewa wakicharuka na hali kuchafuka? Unajua kuwa makijani ndio wako kwenye risk kuwa ya kuathirika na hali hiyo? Tlaatlaah tumia akili kujiuliza uko sawa?
Nakushangaa wewe unayehangaika na maiti.

Hivi bado hutambui kwamba kadri ya hali inavyozidi kuwawia mbaya, ndivyo wanavyozidi kuwa 'desperate' na maandishi kama hayo ya huyo maiti?

Ukitaka kujuwa, fuatilia maandishi ya wote wanaotetea Samia na Genge humu, wote hata akina Lucas Mshamba, Steven Joel Ntamu sana na wengineo; hawana tena matumaini juu ya mhalifu Samia na Genge lote..
 
Back
Top Bottom