dereva wake unamtakia nini? Hali si shwari bora abaki hukohuko mafichoni ikiwa shwari atajitokezakwanini anamficha Dereva wake kama siyo kuogopa kuumbuka kwamba walipanga wenyewe yakaenda ndivyo sivyo
Kuumwa ni ibada, kwani yeye asiumwe sio kiumbe hai. Tafuteni habari zenye mashiko!Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Aisee. Help Us JahNi usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Mchawi sana yule dogo πΌLucas atafanya tafrija!
NO REFORMS, NO ELECTION.Ni usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Sawa tu, mbona wewe ni jimama la lissuNg'ombe wa mama
Kwa ccm kila jambo linawezekana mkuu.naomba isiwe kweli mungu wangu
We ni mtk tuKilq siku mnaleta drama mpya baada ya kuona NRNE imepoa
At some point mlishamuua hasi makamu we tu wa rais
Ni lini mtajua na utu?
Kuna siku atajiua Halafu awaachie msala
Mamamaamamaaaaaeeeee ccm wote na wanaowasapotiNi usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Jela ya ukonga ni mali ya chadema?Mmeshafanya yenu Ili muisingizie serikali.
Jua kali,pakikucha episode mpyaNi usiku hapa Illinois -USA, nimeshtuka sana baada y kupata habari Kwa mtu ninaemwamini sana.
Ni hivi Tundu Lissu ni mgonjwa Hali yake imebadilika kuanzia saa Moja za jioni saa za Tanzania. Magereza wamepanick wanafanya kila liwezalo Ili Hali yake iwe normal.
Viongozi wa Chadema najua mtakuwa mmepewa hizi habari , I hope Leo mtafatilia ,but Lissu ni mgonjwa.
Mto wa Mbu
Illinois -USA
Shida ya watanzania wengi wao wanapenda kudhania bila kufanya research, ukikamatwa utaenda kujibu nini mahakamani??? Una ushahidi kama ni Rais Samia ndie aliemuuwa mwenyekiti wako???Samia keshafanya mambo take, moto utawasaidia kuuzima
Anazo nyingi,na JF hawawezi futa akaunti yake, mrengo huo ndiyo mrengo pendwa na JF,na ukute ni mode piaKama si kweli, tutaomba JF wafute account yako maana umezidi kwa uzushi
Wewe ni wasted spermJela siyo pazuri-Lissu! Kwa kifupi jamaa kuchoka kukaa selo. Si alitaka awe kama Mandela. Mara amatumie Amsterdam &Partners LLP kaenda hadi Tume ya Haki za Binadamu ya UN ili Lissu aachiwe huru, kagonga mwamba.
Juzi wakamtumia David McAllister wa chama rafiki CDU kule Bunge la Ulaya. Guys, mchakato wa kisheria uchukue mkondo wake. Maridhiano hayana maana na pia hayapaswi kuwepo kwenye masauala ya sheria. Kama anaumwa aepelekwe hospital then arudishwe selo. Tuheshimu sheria.πππ
Kuumwa ukiwa chini ya uonevu manyanyaso ya ibirisi ccm ni kuumwa kwa kusababishwa na ccmKwani yeye ni Jiwe asiumwe? Huwa nawashangaa Chadomo viongozi Wakiwa wagonjwa wanashangiliwa na kuona kwamba ni jambo la ajabu Kiongozi kuumwa.
Hii kituinaudhi sana hapa JF maana JF inatakiwa uwe mtandao wa kupata habari sahihiAnazo nyingi,na JF hawawezi futa akaunti yake, mrengo huo ndiyo mrengo pendwa na JF,na ukute ni mode pia
Kuwa ibirisi wa ccm watamfanya augueBunge la Ulaya kuna maneno lilisema! Ila siyakumbuki.