Lissu amlima barua Shibuda

Lissu amlima barua Shibuda

Hii sheria inamlinda mbunge awapo bungeni, i mean kama mbunge, lakin mbunge huyu afukuzwapo na chama chake basi hana chake tena, Anapoteza sifa ya ubunge na hata hiyo sheria haitoi ulinzi tena!

Well said!! CDM hawatamfukuza ubunge bali watamfukuza uanachama wa CDM. Automatically hatakuwa mbunge maana kuwa mbunge lazima utokee kwenye chama. Hatuna independent or non-partisan mps Tanzania
 
Ni vizuri watu waache ushabiki na kufahamu kuwa nchi yenu inaongozwa na Utawala wa sheria.Nilibainisha wazi katika thread iliyopita kuwa kama hawatakuwa na strong reason ya kumfukuza basi atalindwa na kinga za Bunge na ataendelea kuwa mbunge kama ilivyokua kwa Bi Naila Jidawi wa CUF
Atakuwa mbunge sawa ila si wa chadema.
 
Huyo waende naye taratibu kwa vile ni mropokaji atainagia kwenye 18 tu, atajisahau na kurudia upuuzi wake huo nje ya bunge, hapo mchezo utakuwa umeisha, njia ya mwongo ni fupi, na ngoma ya kitoto haikeshi.
 
chadema ni chama ambacho kinaamini juu ya uhuru wa maoni na kimekuwa kikiupigania.ninashangaa mh. Shibuda kuandamwa na chama chake juu ya maoni yake alioyatoa bungeni.hii inaleta shaka juu ya umakini wa chama hiki na inaonesha kuwa chadema kinaigiza juu ya kujivika gamba la uetezi wa haki na uhuru wa kutoa maoni.
 
CDM ifanye maamuzi magumu ya kumwondoa shibuda ni mwiba mchungu ushahidi wa awali kutokushiriki kwake kwenye maandamano ya chama,hakuhudhuria mazishi ya wale vijana waliuwawa na polisi pale arusha,ni shibuda huyuhuyu hakuwepo wakati wa kususia hotuba ya jk bungeni,halafu akahudhuria hafla jioni yake alionekana akipeana mkono na jk.tunahitaji ushahidi zaidi??????.Aende tuu akavuliwe magamba,CDM itastawi tu bila shibuda,na wala yeye asijione mjanja sana kuliko wote CDM.
 
Jamani toeni source ili tuamini, halafu ndiyo tuijadili hii thread!!

Ninyi mpo nchi gani? hata kama mko ulaya hamsomi mitandaoni habari za bongo? eeh! mnatia aibu kwanza yaelekea hamfahamu mahali anapofanyia shopping huyu Shibuda, sasa njoo hapa posta mpya barabara inayokwenda IFM oppsite na Embassy Hotel kuna duka la Imalaseco, njoo uongee naye Shibuda mwenyewe sasa hivi au toka hapo nyumbani kwenu nenda kibanda cha magazeti kaitafute hii habari uisome kwa undani we vipi bhana? unataka utafuniwe kila kitu halafu umeze tu, duuh! hapa tunapeana suna tu mkuu, mi nimekuchomolea tu hii kutoka chumba cha uhariri wa hili gazeti la harakati za mageuzi bongo, nipo hapa nachapa kazi, au nikupatie namba ya Shibuda mwenyewe, ila wabongo noma utaanza kumdisturb, just assure me utakuwa mvumilivu hata msimamo wake ukiwa tofauti na wako nikuunganishe naye sasa hivi mkuu!
 
Source kamanda wangu!?

Ninyi mpo nchi gani? Hata kama mko ulaya hamsomi mitandaoni habari za bongo? eeh! mnatia aibu kwanza yaelekea hamfahamu mahali anapofanyia shopping huyu Shibuda, sasa njoo hapa posta mpya barabara inayokwenda IFM oppsite na Embassy Hotel kuna duka la Imalaseco. Njoo uongee naye Shibuda mwenyewe sasa hivi au toka hapo nyumbani kwenu nenda kibanda cha magazeti kaitafute hii habari uisome kwa undani we vipi bhana?

Unataka utafuniwe kila kitu halafu umeze tu, duuh! hapa tunapeana suna tu mkuu, mi nimekuchomolea tu hii kutoka chumba cha uhariri wa hili gazeti la harakati za mageuzi bongo, nipo hapa nachapa kazi, au nikupatie namba ya Shibuda mwenyewe, ila wabongo noma utaanza kumdisturb, just assure me utakuwa mvumilivu hata msimamo wake ukiwa tofauti na wako nikuunganishe naye sasa hivi mkuu.
 
we bweg.e nini? sasa kama habari unadhani wote tunayo unaileta hapa ya nini? Peleka shuzi lako kwa magamba wenzio! Pambaf!
 
we bweg.e nini? sasa kama habari unadhani wote tunayo unaileta hapa ya nini? Peleka shuzi lako kwa magamba wenzio! Pambaf!

Funga mdomo wewe! acha wenye upeo mkubwa wajadili haya mambo kwa mantiki wewe kanywe mbege kule! we vipi aisee? kama umezoea umbeya hapa si mahala pake, kwanza ulijiungaje hapa? na shaka na uwezo wako wa kujenga hoja kidogo naweza kushawishika wewe ni mtaalamu wa kutukana tu,pumbafuuuu!
 
CDM ifanye maamuzi magumu ya kumwondoa shibuda ni mwiba mchungu ushahidi wa awali kutokushiriki kwake kwenye maandamano ya chama,hakuhudhuria mazishi ya wale vijana waliuwawa na polisi pale arusha,ni shibuda huyuhuyu hakuwepo wakati wa kususia hotuba ya jk bungeni,halafu akahudhuria hafla jioni yake alionekana akipeana mkono na jk.tunahitaji ushahidi zaidi??????.Aende tuu akavuliwe magamba,CDM itastawi tu bila shibuda,na wala yeye asijione mjanja sana kuliko wote CDM.
Je munafikiri ni sababu hizi hapa juu tu zitatosha kumfukuza uanachama na hatimaye Ubunge wake?
Kumbukeni kwa mujibu wa kinga za Bunge akiwafikisha mahakamani atawabwage na kuendelea na Ubunge kwa jimbo la Mahakama.

Punguzeni jazba muangalie nchi Yenu inakwendaje.

Je mnajua kuwa Mkoa wa Shinyanga na Mwanza kuna Njaa? jana nilikuwa ngudu hali ni mbaya sana. magonjwa yameingia mashambani hivyo vyakula vyote vimakauka. Njaa kali kweli kweli.

Je
 
Shibuda alishafanya madudu mengi kwenye chama wanaweza kuchukua jambo moja na kusulubu kwa hilo!!
 
Hapa jf hapakufai, jaribu kufanya uandishi huu katika mifumo mingine kama fb
kwaio ulitaka aandike unachotaka ww au??kosa lake liko wapi mpaka umpuuze si anatoa maon yake
 
11.jpg

Tulipojitolea kuionya CHADEMA tukaambiwa tukome lakini ukijaribu kupima nasaha zetu za wakati ule ni kama vile tulikuwa tunatoa unabii juu ya madhara ya CHADEMA kusomba makapi kutoka CCM, sasa nani asiyejua kuwa Shibuda anatumiwa na CCM?

Sasa yametimia kwani kwa kinywa chake mwenyewe Shibuda amerudia kauli zake mbili zenye utata, kwanza kasema kuhama msikiti sio kuacha uislamu na pili kawaambia wana CCM wenzake kuwa kule CHADEMA yuko uhamishoni hivyo wasihofu atarudi nyumbani tu!
kaka hiyo ni hela feki imeingia kwenye mashine ya kuhesabia hela benk,itatemwa na baada ya hapo hata wewe mkuu unajua ni nini kitafuatia.
matobo tu.
 
Mkuu duh! Hali tata, SHIBUDA ATIMULIWE!

Nani amtimue? utawala wa cdm wamesha ona lakini wakimgusa tu jimbo hilo bye bye. mtakuwa mnalisikilizia kwenye mitandao. kwani mpaka kuhama chama na ghafla kushinda inaonekana jimboni kwake anakubalika yeye kama yeye na siyo chama.
 
dah hii kitu wasiifanye ki papara namna hiyo wakae kwanza kwenye vikao vyao wasuluhishe au wamuonye kwanza wasianze kufukuzana itaharibu credibility ya chama.
Hii ndio kila siku tunaandika hapa! wakianza kufukuzana hakuna atakaebaki...
kuna mfano wa mzee wa Kiraracha...
wanaendeleza dhambi yao ya kufukuzana mpaka leo...
nasikia Tao anamshtaki mzee wa siku saba NEC!!!
 
Mleta thread unatia Shaka sana!
Tuje posta kufanya nini?
Unakuwa rahisi kama mnazi!

Badala ya kuleta issues za maana unatwambia mambo ya shopping hapa? Unafikiri kila mtu ni hawara ya shibuda?
 
Ninyi mpo nchi gani? Hata kama mko ulaya hamsomi mitandaoni habari za bongo? eeh! mnatia aibu kwanza yaelekea hamfahamu mahali anapofanyia shopping huyu Shibuda, sasa njoo hapa posta mpya barabara inayokwenda IFM oppsite na Embassy Hotel kuna duka la Imalaseco. Njoo uongee naye Shibuda mwenyewe sasa hivi au toka hapo nyumbani kwenu nenda kibanda cha magazeti kaitafute hii habari uisome kwa undani we vipi bhana?

Unataka utafuniwe kila kitu halafu umeze tu, duuh! hapa tunapeana suna tu mkuu, mi nimekuchomolea tu hii kutoka chumba cha uhariri wa hili gazeti la harakati za mageuzi bongo, nipo hapa nachapa kazi, au nikupatie namba ya Shibuda mwenyewe, ila wabongo noma utaanza kumdisturb, just assure me utakuwa mvumilivu hata msimamo wake ukiwa tofauti na wako nikuunganishe naye sasa hivi mkuu.

Aisee Kipanga acha mambo ya Ki-local hapa kama unataka umma ujue huu ukweli unauficha wa nini? wewe nani kakwambia habari inatolewa suna tu halafu mengine unaficha. Ni bora ukae na habari yako kuliko kuzingua watu humu jamvini na news za kutengeneza.
 
Back
Top Bottom