Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 811
Chadema sio sisiem, wakiazimia wanaweza, na itakua fundisho kwa magamba!hamna mwenye uwezo wa kumfukuza chadema
Chadema sio sisiem, wakiazimia wanaweza, na itakua fundisho kwa magamba!hamna mwenye uwezo wa kumfukuza chadema
wapendwa jana niliweka thread hii kuhusu mustakabali wa shibuda ndani ya chadema kuhusu utovu wake wa nidhani kwenda kinyume na maazimio ya chama chake.
Kama mmesikia leo marin hassan wakati akiohojiana na aliyekuwa katibu wa bunge, george mlawa, ameweka wazi kuwa shibuda anaweza kabisa kulindwa na katiba ibara ya 100 inayomkinga mbunge na kuchukuliwa hatua ya kisheria/uwajibikaji kwa lolote atakalolitamka bungeni. Amekwenda mbali na kutoa mfano wa jidawi aliyekuwa cuf alivyokipeleka chama high court na kushinda kufukuzwa kwake.
Narudia tena busara kubwa itumike ku-handle issue hii.
Fikiri chukua hatua
Ila nao CDM wakome kuchukua mizoga toka magamba.Huyu mbwiga alifuata ubunge CDM na kamwe hajawahi kuwa na mapenzi na chama hiki.
Chadema sio sisiem, wakiazimia wanaweza, na itakua fundisho kwa magamba!
Hii sheria inamlinda mbunge awapo bungeni, i mean kama mbunge, lakin mbunge huyu afukuzwapo na chama chake basi hana chake tena, Anapoteza sifa ya ubunge na hata hiyo sheria haitoi ulinzi tena!
hamna mwenye uwezo wa kumfukuza chadema
Hapana! Swala la kuongea bungeni haliusiki hapa, wanachomfukuzia ni swala la kwenda kinyume na maamuzi/msimamo wa chama chake. Kuna mengi sana, mfano kutoshiriki maandamano ambayo yameandaliwa na chama!Kumbuka alitoa matamshi akiwa Bungeni, huwezi kumwadhibu kwa neno lolote hata kama chafu kiasi gani, ili mradi alikuwa Bungeni. I stand to be corrected!!
Chadema wana wanasheria wa kutosha na siyo chama cha ubabaishaji kama cuf na kuendelea kumlea mtu wa tabia ya shibuda ni kuwagawa wanachama na kuweka makundi kupoteza mwelekeo wa chama hebu aondolewe na aende zake kwenye magamba
Ni vizuri watu waache ushabiki na kufahamu kuwa nchi yenu inaongozwa na Utawala wa sheria.
Nilibainisha wazi katika thread iliyopita kuwa kama hawatakuwa na strong reason ya kumfukuza basi atalindwa na kinga za Bunge na ataendelea kuwa mbunge kama ilivyokua kwa Bi Naila Jidawi wa CUF
mbona yule mwenye kiti wa serikali za mitaa alifukuzwa na kiti kikowazi hapo ukonga ike kuwa mbunge
Tatizo siyo kusoma sheria,tatizo ni kuelewa na kutoa tafsi sahii iliyokusudiwa!!!hapa haitaji wanasheria bali kuangalia sheria zinasemaje.
Watu wanaangalia kwa macho ya makengeza hapa inabidi tuache ushabiki wa vyama na kuelewa kuwa Rais,Mbunge,Diwani na mwenyekiti wa serikali za mtaa wanaweza kufukuzwa na vyama vyao na kukosa kabisa sifa ya kuendelea na uwakilishi wa wananchi waliowachagua,labda uwakilishi wake ungekuwa umetokana na ugombea binafsi,utalatibu ambao hautumiki hapa nchini kwetu!!mbona yule mwenye kiti wa serikali za mitaa alifukuzwa na kiti kikowazi hapo ukonga ike kuwa mbunge