Lissu amlima barua Shibuda

Lissu amlima barua Shibuda

Huu ndio mfumo mpya tunaoanza nao hapa Musoma, wale wote wasiotoa mchango kwa maslahi ya wananchi wanaoteswa na mfumo wa serikari ya sasa iliyoko madarakani tutashughulika nao kwa njia hiyo ya kuwaambia 'siyoo' mara wafikapo majimboni mwetu. Wanawashinda wabunge wa CHADEMA pale bungeni kwa wingi wa idadi, nasi tutawakataa kwa nguvu ya umma huku kwa wapiga kura. Vicent Nyerere hongera kazi iko wazi inaonekana.
 
Wewe na Slaa akili zenu sawa sawa, wewe unafananisha Mbunge na Mwenyekiti wa mtaa? Mbunge inamaana pia na ruzuku inapungua kichwa maji.
Nachojua mimi wote ni wawakilishi wa wananchi,wanatofautiana kwa level of jurisdiction,lakini wote wamechaguliwa kwa mfumo mmoja wa sheria za uchaguzi na wote wana haki sana na ulindwa na sheria moja.
 
Bado ana magamba huyo so kama hataki kujisugua aondoke coz cdm is after peples not 4selfishness. Na haiwezekani kumezea maovu ya m2 kisa2 anawafuasi wengi.u shibuda chadema so kama kule ambako EPA ili2mika kurefund magamba alafu mka2zuga eti zimepotea. Sawa eee, so kaa mkao ppo power itakungoa
Hapa jf hapakufai, jaribu kufanya uandishi huu katika mifumo mingine kama fb
 
Hizi sheria mbona zinafanya kazi kwa vipindi vya wakati tu.
hizo sheria za wabunge zinawalinda au kuwapa kinga baadhi ya wabunge tu, wengine hapana.

Sioni kwa nini shibuda aendelee kuwa CHADEMA ilhali itikadi zake si za wanaCHADEMA. Wabunge wa CHADEMA wanajaribu kutetea hali bora za wananchi, yeye tunaona anatetea wabunge dhidi ya kudidimiza maisha ya walala hoi wanaoteswa na mifumo mibovu ya serikari ya sasa inayo wagawa wananchi kimakundi na kutoa upendeleo kwa wateule pekee.

Shibuda hana mchango wowote hapa Tanzania.
 
Watu wanaangalia kwa macho ya makengeza hapa inabidi tuache ushabiki wa vyama na kuelewa kuwa Rais,Mbunge,Diwani na mwenyekiti wa serikali za mtaa wanaweza kufukuzwa na vyama vyao na kukosa kabisa sifa ya kuendelea na uwakilishi wa wananchi waliowachagua,labda uwakilishi wake ungekuwa umetokana na ugombea binafsi,utalatibu ambao hautumiki hapa nchini kwetu!!
Nakushauri upitie katiba ya Tanzania usome ibara ya 100 inasemaje
 
Hapana! Swala la kuongea bungeni haliusiki hapa, wanachomfukuzia ni swala la kwenda kinyume na maamuzi/msimamo wa chama chake. Kuna mengi sana, mfano kutoshiriki maandamano ambayo yameandaliwa na chama!

You are right, msaliti kama huyo ni kumbana aliupokataa kwenda kwenye maandamano. Hapo alikuwa nje ya Bunge, lakini haya aliyatamka akiwa bungeni. Nadhani wanasheria wa CDM watafute kesi rejea ya Jidawi kujiridhisha kuwa wako sahihi.
Mimi sio mwanachama wa Chadema, lakini naipenda kwa msimamo wake kisiasa. Sitaki wafanye kosa la wazi kisheria
 
sisi kwenye kamati yetu kuu tutamuhukumu kwa makosa mengine.kwa mfano hahudhulii maandamano,kwenda kwenye msosi ulioandiliwa na kikwete alipozindua Bunge,kutoa sili za chama,kutofuata maagizo ya vingozi wake au chama hakina imani nae.hilo la Bungeni hazungumzwi wala nini.lakini moyoni atajuwa kwanini ametemwa.halafu hizo sheria za Bunge tuone zitamlindaje.ata kata rufaa hadi Mbinguni bila mafanikio.usicheze na cdm kabisa.mia
 
11.jpg



Tulipojitolea kuionya CHADEMA tukaambiwa tukome lakini ukijaribu kupima nasaha zetu za wakati ule ni kama vile tulikuwa tunatoa unabii juu ya madhara ya CHADEMA kusomba makapi kutoka CCM, sasa nani asiyejua kuwa Shibuda anatumiwa na CCM?

Sasa yametimia kwani kwa kinywa chake mwenyewe Shibuda amerudia kauli zake mbili zenye utata, kwanza kasema kuhama msikiti sio kuacha uislamu na pili kawaambia wana CCM wenzake kuwa kule CHADEMA yuko uhamishoni hivyo wasihofu atarudi nyumbani tu!
 
Wewe na Slaa akili zenu sawa sawa, wewe unafananisha Mbunge na Mwenyekiti wa mtaa? Mbunge inamaana pia na ruzuku inapungua kichwa maji.

Slaa anaingiaje tena hapo? Suala la Shibuda kufukuzwa au kutofukuzwa ni la Chadema. Katibu wa Bunge anafurahisha Baraza tu.
 
Jamani toeni source ili tuamini, halafu ndiyo tuijadili hii thread!!
 
Kumbuka alitoa matamshi akiwa Bungeni, huwezi kumwadhibu kwa neno lolote hata kama chafu kiasi gani, ili mradi alikuwa Bungeni. I stand to be corrected!!
Watafanikiwa kumuondoa iwapo tu, hawatatumia maneno aliyotamka bungeni kumhukumu. Otherwise atateleza kama kamongo.
 
ha ha ha ha, nyie chadema mnachekesha kweli, haya mfupa huo umeshinda fisi hangaikeni nao, ukileta tabu munaweza mkau" chacha wangwe" bassssssss!!!!
 
Back
Top Bottom