Lissu ametengwa? Tazama kinachoendelea

Ukiwaambia ukweli watasema wewe ni chawa wa mama.

J
Jukwaa la mgombea uraisi hilo.

ILa chadema.....
 
Lissu aitishe michango na namba zuwekwe tuchangie.

Inawezekana kutengeneza jukwaa imara simple ambalo anaweza akawa anatembea nalo katika msafara wake.

Lissu hajalipwa madai yake na Serikali Hadi sasa, wanataka awapigie magoti ndo walipe.

Tuko pamoja na kamanda Lissu,

Safari ya kupambania Katiba mpya Si lelemama.

Mungu akubariki.
 
Mwenye kiti kasha onja asali while makamu wake hazitaki hizo tamu
 
Ni aibu sana kwa mzee kuwa muongo , yaani ziara ina katibu mkuu wa Chama bila aibu unasema ni ziara binafsi ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Buyu la asali ni la mfalme mbowe wa chadema
 
Acha mambo ya ajabu , kumbuka anafanya mikutano kwenye kata, so ametengwa kivipi ,chadema hawanaga mbwembwe
Swala hapa sio jukwaa ,swala nikipi unatoa kinywani basi
 
..ubora wa majukwaa unaendana na uwezo wa kiuchumi wa wananchi.

..jambo la msingi ni HOJA anazojwasilisha Lissu ktk mikutano yake.



 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakimfanyia hila malipo ni hapa hapa tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…