Jamaa anakusanya ushahidi wa kupewa hela kwenye NGO maana mabeberu wanahitaji ushahidi.Mimi binafsi huwa simkubali kabisa lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa. Lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana.
Leo nimekuja mbele yenu namuombea chakula Lissu, sio chakula hiki tunachokula bali namaanisha namuombea aonewe huruma kwa kinachoendelea. Lissu ametengwa, Lissu anapigana vita peke yake anakaribia kushindwa na kuanguka vibaya mno.
Nawaomba chadema mpeni support ili muendelee kupigana vizuri. Lissu anatia huruma, amenyong'onyea, amekata tamaa
Lissu hana tena support anapopita kufaanya mikutano. Sasa hivi anatumia miti kama majukwaa, hana tena support. Tuliruhusu mikutano ya hadhara ila hatujaruhusu hii minyukano yenu ya ndani kwa ndani.
Angalia hapo kinachoendelea kwa Lissu, je kweli mnakubaliana na hili?
View attachment 2629894View attachment 2629896View attachment 2629897
Sio kweliTuliwaambia mkimalizana na Magufuli mtaanza kumalizana wenyewe kwa wenyewe.
Mkuu Countrywide , japo Chadema wenyewe hawajasema, hizi ziara za Lissu, na mikutano yake, ni ziara binafsi ambazo haziratibiwi na chama, bali ni yeye Lissu ninafsi kama Lissu na atatumia fedha zake binafsi!.Mimi binafsi huwa simkubali kabisa lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa. Lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana.
Leo nimekuja mbele yenu namuombea chakula Lissu, sio chakula hiki tunachokula bali namaanisha namuombea aonewe huruma kwa kinachoendelea. Lissu ametengwa, Lissu anapigana vita peke yake anakaribia kushindwa na kuanguka vibaya mno.
Nawaomba chadema mpeni support ili muendelee kupigana vizuri. Lissu anatia huruma, amenyong'onyea, amekata tamaa
Lissu hana tena support anapopita kufaanya mikutano. Sasa hivi anatumia miti kama majukwaa, hana tena support. Tuliruhusu mikutano ya hadhara ila hatujaruhusu hii minyukano yenu ya ndani kwa ndani.
Angalia hapo kinachoendelea kwa Lissu, je kweli mnakubaliana na hili?
Chochea kuniLissu anahujumiwa ...
Yaani Usalama wa mwanachama mwenzako wa Chadema ni Ujinga!!! Hii akaunti yako Kweli ipo salama? Au tifu la Kariakoo limekuvuruga?
Na nyie mmemalizana na nani maana mnaparurana wenyewe kwa wenyewe. Mpona vs mwigulu?Tuliwaambia mkimalizana na Magufuli mtaanza kumalizana wenyewe kwa wenyewe.
Ni vyema kutafakari nukuu ifuatayo kutoka katika maandiko matakatifu,Mimi binafsi huwa simkubali kabisa lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa. Lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana.
Leo nimekuja mbele yenu namuombea chakula Lissu, sio chakula hiki tunachokula bali namaanisha namuombea aonewe huruma kwa kinachoendelea. Lissu ametengwa, Lissu anapigana vita peke yake anakaribia kushindwa na kuanguka vibaya mno.
Nawaomba chadema mpeni support ili muendelee kupigana vizuri. Lissu anatia huruma, amenyong'onyea, amekata tamaa
Lissu hana tena support anapopita kufaanya mikutano. Sasa hivi anatumia miti kama majukwaa, hana tena support. Tuliruhusu mikutano ya hadhara ila hatujaruhusu hii minyukano yenu ya ndani kwa ndani.
Angalia hapo kinachoendelea kwa Lissu, je kweli mnakubaliana na hili?
View attachment 2629894View attachment 2629896View attachment 2629897
Utafikiri kimetengenezwa na watoto wadogo au unaweza ukadhani ni kichanja cha kuanikia viombo?Mimi binafsi huwa simkubali kabisa lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa. Lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana.
Leo nimekuja mbele yenu namuombea chakula Lissu, sio chakula hiki tunachokula bali namaanisha namuombea aonewe huruma kwa kinachoendelea. Lissu ametengwa, Lissu anapigana vita peke yake anakaribia kushindwa na kuanguka vibaya mno.
Nawaomba chadema mpeni support ili muendelee kupigana vizuri. Lissu anatia huruma, amenyong'onyea, amekata tamaa
Lissu hana tena support anapopita kufaanya mikutano. Sasa hivi anatumia miti kama majukwaa, hana tena support. Tuliruhusu mikutano ya hadhara ila hatujaruhusu hii minyukano yenu ya ndani kwa ndani.
Angalia hapo kinachoendelea kwa Lissu, je kweli mnakubaliana na hili?
View attachment 2629894View attachment 2629896View attachment 2629897
Aiseeee.....
Duh tutaona mengi sanaMimi binafsi huwa simkubali kabisa lissu, lakini kuna usemi unatumika sana unasema adui yako muombe njaa. Lakini hapo hapo wanasema adui yako vitani akiwa na njaa mpe chakula muendelee kupigana.
Leo nimekuja mbele yenu namuombea chakula Lissu, sio chakula hiki tunachokula bali namaanisha namuombea aonewe huruma kwa kinachoendelea. Lissu ametengwa, Lissu anapigana vita peke yake anakaribia kushindwa na kuanguka vibaya mno.
Nawaomba chadema mpeni support ili muendelee kupigana vizuri. Lissu anatia huruma, amenyong'onyea, amekata tamaa
Lissu hana tena support anapopita kufaanya mikutano. Sasa hivi anatumia miti kama majukwaa, hana tena support. Tuliruhusu mikutano ya hadhara ila hatujaruhusu hii minyukano yenu ya ndani kwa ndani.
Angalia hapo kinachoendelea kwa Lissu, je kweli mnakubaliana na hili?
View attachment 2629894View attachment 2629896View attachment 2629897
Duh... i didn't expect this from you!Lissu anahujumiwa ...