Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,712
Unamuwekea na kachumbari kidogo iliochanganywa na pilipili mbuzi
Mtoto mdogo mnapigisha Blue Band? Malezi ya mwendo kasi haya. Unaijua Blue band lakini?Mkologee uju mwepesi..sana..mchanganyie na blue band..na vilevile mpondee ndizi au viazi viwe laini mix na supu ya nyama..
.......NDIZI NA SIAGI....Watoto kukataa kula jamani kuna mtoto wa cousin yangu ana miezi 8 yeye hapendi kula nikagundua mama ake anampa chakula cha nyanya na maungo chakula hicho kina mkinai
Nimemwanzishia chakula chake tatizo ulitaka ale mpigie mluzi akicheka unamwekea kijiko
Uji wa karanga
Chambua karanga zako safisha
Zisage ziwe laini kabisa
Jinsi ya kutayarisha uji
Korogo unga wa karanga kwenye maji tia jikoni koroga mpaka ushike(uwe mzito) acha uchemke uive mpaka uone kama unaganda.
Utakuwa tayari kwa kunywa tia sukari kidogo ni uji mzuri kwa mtoto
Habari zenu
Leo nimeona ni vyema wana jikoni na wazazi tujadili na tubadilishane mawazo kuhusu lishe za watoto wetu kuanzia umri wa miezi 6 hadi mwaka.....
Nini madhumuni hasa
1)kwa wale watoto ambao hawapendi kula au hatujatambua bado nini wanapenda lakini kuna mzazi yeyote ameona chakula flani kime work kwake basi tu share nasi kujaribu kama kitapendwa pia....
2)tujuzane trick gani unatumia wakati wa kumlisha mtoto binafsi mimi huwa namfunga kwenye kiti chake alafu nampa kijiko au kipaja cha kuku sasa wakati anafungua mdomo kutafuna alichokikamata mie namuwahi kupitisha kijiko cha chakula hii inasaidia sana na tricks nyengine tutazidi kujuzana...
Karibuni wote tujadili au tupia recipe zako.
===============================
Lishe (1) - UJI WA OATS NA NDIZI/APPLE
Mahitaji
Oats kiasi
Apple 1 au ndizi ya kuwiva...
Maziwa...
Sukari (sio lazima)...
Namna ya kutaarisha
Chemsha maji
Weka oats acha zichemke hadi kuwiva
Ponda ponda ndizi vizuri weka maziwa kidogo ipondeke vizuri....
Mimina kwenye oats alafu weka na maziwa acha ichemke kidogo kwa dakika 3
Epua mlishe mtoto.....
Lishe (3) - WALI WA YAI
Mahitaji
Yai 1....tumia kiini tu
Siagi kidogo
Mchele....
Namna ya kutaarisha...
Pika wali kama wa kawaida ila weka maji mengi uwe laini bwabwa wengine wanaita bondo
Ukikaribia kuwiva weka yai ulolivunja koroga haraka haraka uchanganyike vizuri
Weka siagi na chumvi kidogo ukipenda....
Epua mlishe mtoto....
Lishe (3) - KAROTI NA KUKU
Mahitaji
Karoti
Kuku kiasi
Namna ya kutaarisha
Chemsha kuku hadi kuwiva iwe na supu kidogo
Weka karoti na subiria kuwiva...
Toa kuku pembeni alafu mchambue mifupa tupa
Weka katika blenda kuku na katoti na supu yako saga
Tayari kwa kumlisha mtoto
Ukipendeza waweza weka na viazi
Endelea kufuatilia mjadala kwa ushauri na lishe zaidi....
Mchanyiko wako haujazingatia uwiano wa makundi ya chakula,umejaza wanga tu hapo (ulezi,mahindi,ngano),Hivi nikichukua ulezi + mahindi + ngano + karanga nikatengeneza unga wa uji kuna shida?
Umefika kariakoooo umeshindwa KWENDA kisutu NANI akuendee NDUGU wajibika MTOTO shuhuliiii 10mins walking lojna hzo safforn je? Pia nna shida nazo na hayo maduka ya waarabu au wahindi kwa dar soko la kisutu nitapata?maana kariakoo nimezunguka mpaka
Muwakumbuke na MIAKA mingine lishe zaoUmetoa jibu zuri mkuu sina nyongeza
Umefika kariakoooo umeshindwa KWENDA kisutu NANI akuendee NDUGU wajibika MTOTO shuhuliiii 10mins walking loj
Nikiwa mzazi nitakutafuta lols
USA BYYYYYYYYYYYYYBYo Pididiiiiii
Hsgsyuanshshwgagehsbebenscsgsbsjsha
Usheheuehehsjdjdjsjsgsgjefj
HhehdtffUSA BYYYYYYYYYYYYYB
MPWAA UPOO HIVI VIMBUNGA VIMETUKOSAAAANAFURAHIKUKUSIKIAMPWAAAHUKUNGOMAINOGELAINGIZAINDOAINAENDELEAWATOTOWANAONGEZEKALISHEZINATAMANISHAWAZAZIWANAKUNYWAUJIWAWATOTONOWDAYSHUJUIMTOTONANIMZAZINANIIIIIANYWAYAAHSANTENPOSTBSURISANAAAASANAAA
WASALAAM
PDIDY.B
Ni miHabari zenu
Leo nimeona ni vyema wana jikoni na wazazi tujadili na tubadilishane mawazo kuhusu lishe za watoto wetu kuanzia umri wa miezi 6 hadi mwaka.....
Nini madhumuni hasa
1)kwa wale watoto ambao hawapendi kula au hatujatambua bado nini wanapenda lakini kuna mzazi yeyote ameona chakula flani kime work kwake basi tu share nasi kujaribu kama kitapendwa pia....
2)tujuzane trick gani unatumia wakati wa kumlisha mtoto binafsi mimi huwa namfunga kwenye kiti chake alafu nampa kijiko au kipaja cha kuku sasa wakati anafungua mdomo kutafuna alichokikamata mie namuwahi kupitisha kijiko cha chakula hii inasaidia sana na tricks nyengine tutazidi kujuzana...
Karibuni wote tujadili au tupia recipe zako.
===============================
Lishe (1) - UJI WA OATS NA NDIZI/APPLE
Mahitaji
Oats kiasi
Apple 1 au ndizi ya kuwiva...
Maziwa...
Sukari (sio lazima)...
Namna ya kutaarisha
Chemsha maji
Weka oats acha zichemke hadi kuwiva
Ponda ponda ndizi vizuri weka maziwa kidogo ipondeke vizuri....
Mimina kwenye oats alafu weka na maziwa acha ichemke kidogo kwa dakika 3
Epua mlishe mtoto.....
Lishe (3) - WALI WA YAI
Mahitaji
Yai 1....tumia kiini tu
Siagi kidogo
Mchele....
Namna ya kutaarisha...
Pika wali kama wa kawaida ila weka maji mengi uwe laini bwabwa wengine wanaita bondo
Ukikaribia kuwiva weka yai ulolivunja koroga haraka haraka uchanganyike vizuri
Weka siagi na chumvi kidogo ukipenda....
Epua mlishe mtoto....
Lishe (3) - KAROTI NA KUKU
Mahitaji
Karoti
Kuku kiasi
Namna ya kutaarisha
Chemsha kuku hadi kuwiva iwe na supu kidogo
Weka karoti na subiria kuwiva...
Toa kuku pembeni alafu mchambue mifupa tupa
Weka katika blenda kuku na katoti na supu yako saga
Tayari kwa kumlisha mtoto
Ukipendeza waweza weka na viazi
Endelea kufuatilia mjadala kwa ushauri na lishe zaidi....
ni miaka sasa ... nmepitia hii thread leo naombeni kujiwa... nna mtoto mwaka sasa miez 14 hapendi kula. Ukimpa anajitapisha na anataka chakula kilocho blendiwa .. ukimpa ndizi hujaisaga anatema....viaz mpaka uvisage na chakula kisiwe kiziiiito sana kiwe size... sasa cjui ni wote wapo hvo au ni yy tu... na chakula gani kizur kwa umri wakeHabari zenu
Leo nimeona ni vyema wana jikoni na wazazi tujadili na tubadilishane mawazo kuhusu lishe za watoto wetu kuanzia umri wa miezi 6 hadi mwaka.....
Nini madhumuni hasa
1)kwa wale watoto ambao hawapendi kula au hatujatambua bado nini wanapenda lakini kuna mzazi yeyote ameona chakula flani kime work kwake basi tu share nasi kujaribu kama kitapendwa pia....
2)tujuzane trick gani unatumia wakati wa kumlisha mtoto binafsi mimi huwa namfunga kwenye kiti chake alafu nampa kijiko au kipaja cha kuku sasa wakati anafungua mdomo kutafuna alichokikamata mie namuwahi kupitisha kijiko cha chakula hii inasaidia sana na tricks nyengine tutazidi kujuzana...
Karibuni wote tujadili au tupia recipe zako.
===============================
Lishe (1) - UJI WA OATS NA NDIZI/APPLE
Mahitaji
Oats kiasi
Apple 1 au ndizi ya kuwiva...
Maziwa...
Sukari (sio lazima)...
Namna ya kutaarisha
Chemsha maji
Weka oats acha zichemke hadi kuwiva
Ponda ponda ndizi vizuri weka maziwa kidogo ipondeke vizuri....
Mimina kwenye oats alafu weka na maziwa acha ichemke kidogo kwa dakika 3
Epua mlishe mtoto.....
Lishe (3) - WALI WA YAI
Mahitaji
Yai 1....tumia kiini tu
Siagi kidogo
Mchele....
Namna ya kutaarisha...
Pika wali kama wa kawaida ila weka maji mengi uwe laini bwabwa wengine wanaita bondo
Ukikaribia kuwiva weka yai ulolivunja koroga haraka haraka uchanganyike vizuri
Weka siagi na chumvi kidogo ukipenda....
Epua mlishe mtoto....
Lishe (3) - KAROTI NA KUKU
Mahitaji
Karoti
Kuku kiasi
Namna ya kutaarisha
Chemsha kuku hadi kuwiva iwe na supu kidogo
Weka karoti na subiria kuwiva...
Toa kuku pembeni alafu mchambue mifupa tupa
Weka katika blenda kuku na katoti na supu yako saga
Tayari kwa kumlisha mtoto
Ukipendeza waweza weka na viazi
Endelea kufuatilia mjadala kwa ushauri na lishe zaidi....
Ulimaanisha mwaka na mwezi minne .Ni mi
ni miaka sasa ... nmepitia hii thread leo naombeni kujiwa... nna mtoto mwaka sasa miez 14 hapendi kula. Ukimpa anajitapisha na anataka chakula kilocho blendiwa .. ukimpa ndizi hujaisaga anatema....viaz mpaka uvisage na chakula kisiwe kiziiiito sana kiwe size... sasa cjui ni wote wapo hvo au ni yy tu... na chakula gani kizur kwa umri wake