Lishe kwa mtoto - Unampikia nini mtoto wako (miezi 6-12)

Mm mwanangu alianza uji,nachukua unga nauchuja naweka na blue band, tangu akiwa na wiki mbili...alipofika miex mi2 na nusu nkawa nampigisha adi supu ya nyama, nyepesi,plus kiini cha yai LA kuchemsha nakiponda na maji..alikuwa na afya nzuri sana na kilo za maana...hakuwai kuumwa kwa Mara ya kwanza kuugua akiwa na 9 months,,

Wee kiboko mtoto wa wiki mbili!
 
**Mbatata Na karoti**

Mahitaji

Viazi mbatata 1
Carrot 1

Vichemshe hadi viwe laini

Saga kwenye blenda pamoja Na maji yake ulochemshia kama itakua nzito sana weka maji yalochemshwa hadi kufikia uzito unao hitaji..

Weka kwenye bakuli tayari kwa kumlisha mtoto
 
Nimerudi baby #2 uzi ulele wadada wenye watoto wa umri huu tujumuike
 
Huu Uzi ulinisaidia sana kujua mengi kabla mwanangu hajazaliwa na baada ya kuzaliwa. Ana miaka mitatu sasa na Shule ameanza. MUNGU MKUBWA

MaashaAllah wa kwangu sasa Ana miaka 4 na ana mdogo wake miezi 5
 
Mtoa mada naomba kujua wapi nitapata mbegu "carom seed" tafadhali nina shifa nazo mno
 
Habari wakuuu nmpe nini mwanangu wa miez 5 naona anakondaa anakunywa maziwa ya mama yke tu
Mkologee uju mwepesi..sana..mchanganyie na blue band..na vilevile mpondee ndizi au viazi viwe laini mix na supu ya nyama..
 
Okay mie sio mwenyeji wa Dar anyway ulizia maduka ya spices hususan ya warabu unaweza pata
92bc582377cc80c89d77cb5371cd0d2b.jpg
na hzo safforn je? Pia nna shida nazo na hayo maduka ya waarabu au wahindi kwa dar soko la kisutu nitapata?maana kariakoo nimezunguka mpaka
 
Mm mwanangu alianza uji,nachukua unga nauchuja naweka na blue band, tangu akiwa na wiki mbili...alipofika miex mi2 na nusu nkawa nampigisha adi supu ya nyama, nyepesi,plus kiini cha yai LA kuchemsha nakiponda na maji..alikuwa na afya nzuri sana na kilo za maana...hakuwai kuumwa kwa Mara ya kwanza kuugua akiwa na 9 months,,
Nikiwa mzazi nitakutafuta lols
 
Hivi nikichukua ulezi + mahindi + ngano + karanga nikatengeneza unga wa uji kuna shida?
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom