Lishe kwa mtoto - Unampikia nini mtoto wako (miezi 6-12)

Gilbert wa tarakea.

Senior Member
Feb 2, 2014
175
225
JIR
Watoto wanakinai chakula haraka, hivyo ni vyema kuwa na ratiba ya kumbadilishia chakula kila baada ya siku 2 au 3. Mtoto wetu ana miezi 9 nikimlisha mimi anakataa, akimlisha mama yake anakubali. Ushauri kwa wazazi: Acheni kuwapa watoto wachanga chakula kilicho andaliwa kwa ajili xa watu wakubwa chenye chumvi nyingi.
JIRANI ANGU ANA MTOTO WA MWAKA LAKINI LAKINI HAJAWAHI KUMPIKIA CHAKULA CHAKE. WANAKULA PAMOJA MEZANI. NIKIMUULIZA ANASEMA HATA YEYE KIJIJINI KWAO HAWAPIKIWI. MTOTO ANAKULA UGALI, WALI, NDIZI KILA KITU KAMA THE GROWN UP ONES. ANAPELEKWA KIJESHI JESHI. HOFU YANGU NI KWAMBA ANAMKOMAZA TUMBO NA HAMJENGI UBONGO WAKE.
 
farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,761
2,000
JIR

JIRANI ANGU ANA MTOTO WA MWAKA LAKINI LAKINI HAJAWAHI KUMPIKIA CHAKULA CHAKE. WANAKULA PAMOJA MEZANI. NIKIMUULIZA ANASEMA HATA YEYE KIJIJINI KWAO HAWAPIKIWI. MTOTO ANAKULA UGALI, WALI, NDIZI KILA KITU KAMA THE GROWN UP ONES. ANAPELEKWA KIJESHI JESHI. HOFU YANGU NI KWAMBA ANAMKOMAZA TUMBO NA HAMJENGI UBONGO WAKE.
Mmmh mwenzangu huyo mtoto anasagaje hivyo vyakula humo tumboni!
 
Gemmy

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,204
1,250
JIR

JIRANI ANGU ANA MTOTO WA MWAKA LAKINI LAKINI HAJAWAHI KUMPIKIA CHAKULA CHAKE. WANAKULA PAMOJA MEZANI. NIKIMUULIZA ANASEMA HATA YEYE KIJIJINI KWAO HAWAPIKIWI. MTOTO ANAKULA UGALI, WALI, NDIZI KILA KITU KAMA THE GROWN UP ONES. ANAPELEKWA KIJESHI JESHI. HOFU YANGU NI KWAMBA ANAMKOMAZA TUMBO NA HAMJENGI UBONGO WAKE.
jE HUYO NI MAMA AU BABA? JAMANI MBONA CLINIC WANATOA DARASA NAMNA YA KUWALISHA WATOTO ANA MKOMAZA MTOTO UTUMBO
 
Poise

JF-Expert Member
May 31, 2016
7,544
2,000
Chakula bora kwa mtoto wa umri wa sekunde chache Sana baada ya kuzaliwa hadi umri wa miezi sita ni MAZIWA YA MAMA TU, hakuna mbadala wake.

Mtoto hupewa substitute diet baada ya kutimiza umri wa miezi sita na siyo vinginevyo.

Suluhisho mlishe mkeo/wewe mwenye kama ndiyo mwanamke kula balanced diet upate maziwa ya kutosha ya mtoto kunyonya.

Pia, mnyonyeshe mara kwa mara kama hata kama upo kazini basi weka ratiba ya kwenda kumnyonyesha mtoto.

Sky Eclat , emmyta, njoooo huku mmsiaide huyu.
 
Roman Empire

JF-Expert Member
Mar 6, 2017
620
1,000

Umenena mpe wife misosi YA uhakihakika sio Kula kiepe na mikate...
 
mama la mama 2

Senior Member
Sep 7, 2017
198
225
Mm mwanangu alianza uji,nachukua unga nauchuja naweka na blue band, tangu akiwa na wiki mbili...alipofika miex mi2 na nusu nkawa nampigisha adi supu ya nyama, nyepesi,plus kiini cha yai LA kuchemsha nakiponda na maji..alikuwa na afya nzuri sana na kilo za maana...hakuwai kuumwa kwa Mara ya kwanza kuugua akiwa na 9 months,,
 
Poise

JF-Expert Member
May 31, 2016
7,544
2,000
Umenena mpe wife misosi YA uhakihakika sio Kula kiepe na mikate...
Roman Empire ,
Mkuu,
Ndiyo hivyo tu.
Tatizo vijana wanataka kula junk food kisha mke anyonyeshe lazima mtoto atakonda tu.

Au mtoto ananyonyeshwa mara mbili kwa 24 hours lazima azime.

Any way, tatizo bado ni kubwa kama hawa ndiyo wazazi na ni wasomi wa digiri makaratasi
 
Poise

JF-Expert Member
May 31, 2016
7,544
2,000
Mm mwanangu alianza uji,nachukua unga nauchuja naweka na blue band, tangu akiwa na wiki mbili...alipofika miex mi2 na nusu nkawa nampigisha adi supu ya nyama, nyepesi,plus kiini cha yai LA kuchemsha nakiponda na maji..alikuwa na afya nzuri sana na kilo za maana...hakuwai kuumwa kwa Mara ya kwanza kuugua akiwa na 9 months,,
mama la mama 2,
Mkuu
Duuuuuuh
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
43,534
2,000
Chakula bora kwa mtoto wa umri wa sekunde chache Sana baada ya kuzaliwa hadi umri wa miezi sita ni MAZIWA YA MAMA TU, hakuna mbadala wake.

Mtoto hupewa substitute diet baada ya kutimiza umri wa miezi sita na siyo vinginevyo.

Suluhisho mlishe mkeo/wewe mwenye kama ndiyo mwanamke kula balanced diet upate maziwa ya kutosha ya mtoto kunyonya.

Pia, mnyonyeshe mara kwa mara kama hata kama upo kazini basi weka ratiba ya kwenda kumnyonyesha mtoto.

Sky Eclat , emmyta, njoooo huku mmsiaide huyu.
Umetoa jibu zuri mkuu sina nyongeza
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom