Lipumba atunukiwa Nishani ya kuhamasisha Amani

Status
Not open for further replies.
363049578.JPG

Duh!! Kazi kwelikweli!!! Mara hii huyo Lipumba amekwishasahau mapigo ya ccm? Kuolewa kazi!!
ndoa si lelemama...dah mambo ya unyumba ni magumu sana.
 
kweli mkuu hatupaswi kuhusisha uislamu na huyu lupumba,viongozi wetu wadini wasikubali siasa kwenye nyumba za ibada..
chuki za kidini zimeota mizizi katika baadhi ya .... Hata sijui dawa yake. Hata hivyo dawa sahihi ni kwa wanaobaguliwa kujitambua na kuacha kujidanganya au kulazimisha wema pasipo wema. Amani haiji ila kwa ncha ya upanga.
 
Tanzania nzuri sana, yaani wale wanaofanya kilichosahihi wanapigwa mabomu, ila wanaohamasisha udini misikitini ndo wanapewa nishani? Meanwhile ni kuwa mambumbumbu ndo wanapewa nafasi kwn daima wao kwao ni ndyo mzee ila vichwa vya kazi wanyofolewe kucha.
 
Ni kama tuzo za ufanyakazi uliotukuka tu alizopewa IGP Mwema hivyo wenye akili wanajua nini kinaendelea
 
Kutokujua ni kubaya tatizo la siasa uchwara ndio linawafikisha hapa wengi wenu..Angepewa Slaa au Mbowe nadhan msingeongea pumba humu ndan GUYS badilikeni kuna kajamaa kanajifanya kujiamini sana kwamba oooh ingekuwa ya professor wake angedrop shahada aaah...msitufanye wote humu ni CHDM wengine hatuna vyama na upuuzi hatupendi so OBSERVE WHAT YOU WRITE AND TO THE RESPONSE OF WHOMEONE...
 
Nadhani wewe ndo unafaa kutunukiwa hii tuzo ya amani,kwani wewe ni mhamasishaji na fisadi mkubwa wa kupanga njama za kuwatilia watu sumu,hivi unadiriki hata kupanga njama za kumuua rafiki yako kipenzi ambaye wengi tunaamini yeye ndie aliyekubebe mpaka ukafika hapo ulipo kama sio yeye angalikujua nani katika siasa,acha unafiki wewe,uliwageuka wenzako Shonza na Mwampamba katika njama za PINDUA MBOWE ,ulipoona siri imefichuka ukaanza kujipendekeza kwa Slaa ili na wewe usifukuzwe...Kaka nenda kasome siasa umri wako bado mdogo unakuruhusu,ili ujue maana ya siasa nadhani utaacha siasa zako za kinafiki na chuki
Huu ni utani.Mhamasishaji mkubwa wa udini ambao unachochea vurugu anapewa tuzo ya amani?Huu ni mzaha kwa wahanga wa mashambulizi ya kidini yaliyofanyika.Ndiyo maana hata kongamano la amani nilisema ni la kinafikiAngekua Profesa wangu anayesimamia tasnifu yangu ya Shahada ya uzamili au Ph.D ningei-drop immediately.Kwa mkanda wa video wa juzi ningemdharau na ningepoteza imani nae immediatelly!
 
ccm haikubali ila inatakiwa kupima upepo
hali ni ngumu sana ccm ndo maana yana haha
mara kuoa mara kumpa Mbatia ubunge wa kuombwa
mara nishani za amani
Ila CHADEMA tuko pale pale
CHADEMA ni chama pekee sasa hivi kinachokubalika kisichofanya siasa za unafiki
Viongozi wa CHADEMA wakitwa leo Ikulu wakiambiwa vitu visivyoendana na wananchi huwa wanavikataa
na kuwaeleza wananchi
 
Haohao ccm ndo waliongeza neno "VU" kwenye jina la LIPUMBA na MREMA... Mfano LIPUMBA...VU. Leo mwenyewe kafyata mkia. Aende hukohuko, hawez kuutumia Uislamu kama njia ya kuhalalisha UNAFIQ wake. Allah hazitambui Phd, anatazama UCHAJI.
 
Nadhani ungepanua wigo zaidi - "WAFANYE SIASA ZAO WAACHANE NA DINI ZA WATU" ungekuwa umetenda haki kwa wote bila kungalia dini fulani tu.

Lakini wakati mwingine inakuwa vigumu sana kutenganisha hivi vitu viwili - dini na siasa - hasa pale hao unaotaka wasikilizwe ndipo wahukumiwe wanapotaka wasikilizwe kwa "sababu ya dini zao". Hapo inakuwaje?


Hapo nakuita wewe ni Great Thinker dudus...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom