Lipumba atunukiwa Nishani ya kuhamasisha Amani

Status
Not open for further replies.
Ninachofurahi Mimi ni kwamba watu ambao mlitumika kuhadaa umma na kumpandikiza Kikwete sifa hasizokuwa nazo na hatimae kuusima Utawala huu madarakani mwaka 2005, leo hatimae mmeanza kujitambua na kuwa upande wetu. Naimani Muda si mrefu Salva, Balile na wengine na wao watajitambua. Pamoja sana Manyerere Jackton.

Nakala: Ansbert Ngurumo, Absalom Kibanda, etc

TUMBIRI (HULL City)

TUMBIRI,

There you are...Unawaudhi mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Huu ni utani.Mhamasishaji mkubwa wa udini ambao unachochea vurugu anapewa tuzo ya amani?Huu ni mzaha kwa wahanga wa mashambulizi ya kidini yaliyofanyika.Ndiyo maana hata kongamano la amani nilisema ni la kinafiki

Angekua Profesa wangu anayesimamia tasnifu yangu ya Shahada ya uzamili au Ph.D ningei-drop immediately.Kwa mkanda wa video wa juzi ningemdharau na ningepoteza imani nae immediatelly!

MKuu naomba link ya hiyo video.
 
Ningekuwa mchawi kila anayemchukia Lipumba ningemuongezea uchizi maana hapo mlipo machizi tayari. Nyie mnataka apewe nani sasa? Wivu wa kiakili mtakufa masikini kazi kulaumu wengine.! Pambafu sana!
 
kwa wanaoelewa siasa wanajua kuwa cuf ndiyo kizingiti cha chdm kufanya vizuri na kukubalika zaidi. if u cant defeat them, join them. nawashauri chdm waunde serikali ya pamoja na cuf ili kurudisha umoja. lasivyo....... vilevile namshauri lipumba asikatae ubunge anaoombwa kupewa na jk. aingie bungeni ili ajijenge zaidi kisiasa
 
Nadhani wewe ndo unafaa kutunukiwa hii tuzo ya amani,kwani wewe ni mhamasishaji na fisadi mkubwa wa kupanga njama za kuwatilia watu sumu,hivi unadiriki hata kupanga njama za kumuua rafiki yako kipenzi ambaye wengi tunaamini yeye ndie aliyekubebe mpaka ukafika hapo ulipo kama sio yeye angalikujua nani katika siasa,acha unafiki wewe,uliwageuka wenzako Shonza na Mwampamba katika njama za PINDUA MBOWE ,ulipoona siri imefichuka ukaanza kujipendekeza kwa Slaa ili na wewe usifukuzwe...Kaka nenda kasome siasa umri wako bado mdogo unakuruhusu,ili ujue maana ya siasa nadhani utaacha siasa zako za kinafiki na chuki

Sijawahi kubebwa na yeyote kwenye siasa.Usidhani kila mtu anabebwa kama ulivyobebwa wewe kutoka huko Pemba.Wapemba ni watu wastaarabu sana na hata wanasiasa wenye asili ya huko ni wastaarabu sana sijui wewe unatumia jani gani.Unatia aibu

Jibu hoja zilizotolewa na sio kushambulia watu kijuha.
 
363049578.JPG
Sio kosa mme akimtunukia mkewe nishani!!!!!!!!!!! Kuolewa kazi!! Uvumilivu unahitajika..

Mkuu unaonaje ukiweka maelezo kidogo kuhusu hii picha. Maana wengine ndiyo tunaiona hapa.
 
kwa wanaoelewa siasa wanajua kuwa cuf ndiyo kizingiti cha chdm kufanya vizuri na kukubalika zaidi. if u cant defeat them, join them. nawashauri chdm waunde serikali ya pamoja na cuf ili kurudisha umoja. lasivyo....... vilevile namshauri lipumba asikatae ubunge anaoombwa kupewa na jk. aingie bungeni ili ajijenge zaidi kisiasa

Ubunge wa kupewa hauna maana yotote.mbunge ni yule aliyechaguliwa na wapiga kura.hatutaki ubunge wa kuhongana
 
kwa wanaoelewa siasa wanajua kuwa cuf ndiyo kizingiti cha chdm kufanya vizuri na kukubalika zaidi. if u cant defeat them, join them. nawashauri chdm waunde serikali ya pamoja na cuf ili kurudisha umoja. lasivyo....... vilevile namshauri lipumba asikatae ubunge anaoombwa kupewa na jk. aingie bungeni ili ajijenge zaidi kisiasa

Kizingiti cha CCM technically.Acha ushamba. Jifunze falsafa ya Tyranny of Numbers kwenye context hii uone itakula kwa nani kati ya CCM na CHADEMA.Soon Wakigundua basi CUF watabadili mbinu
 
Kweli alieonja haachi,Tabia ya wanachadema kufanya vikao vya chama kanisani wanajisahau na kuona kila mtu ni mdini kama chadema na maaskofu,andaeni tena walaka maana mmesema kuwa Yesu ameshinda Arusha,Ombeni tena Yesu aingie ikulu 2015 ili muwauwe waislam muishi nchi hii peke yenu.
 
Tunzo ya nini? Huyo jamaa si anamiliki 'Blue Guards'? Wengine wenye 'Guards/Brigade' si wameshahukumiwa kuwa wanahatarisha amani na usalama wa nchi na wameshatishiwa kufutwa?! Kwa nini yeye aonekane msafi hadi kupewa tunzo?!Du Tz zaidi ya uijuavyo!kaz kweliKweli!.
 
Lini CHADEMA kilifanya hivyo tafadhali leta uthibitisho.
 
Tunzo ya nini? Huyo jamaa si anamiliki 'Blue Guards'? Wengine wenye 'Guards/Brigade' si wameshahukumiwa kuwa wanahatarisha amani na usalama wa nchi na wameshatishiwa kufutwa?! Kwa nini yeye aonekane msafi hadi kupewa tunzo?!Du Tz zaidi ya uijuavyo!kaz kweliKweli!.

Anapigiwa salute na Blue Guard...hahaha.Tuzo ya amani?My foot!
 
Pengo jana kawatolea tamko maana harakati zenu zinabughudhiwa sana.mwacheni Lipumba wa watu ambae ni msomi anaeheshimika kimataifa.mchambueni padri mzinifu na Tapeli wa fedha za kanisa na kisha mjiulize kwanini mwenyekiti wa chadema alipata zero wakati wenzake walipata one?
 
Kweli alieonja haachi,Tabia ya wanachadema kufanya vikao vya chama kanisani wanajisahau na kuona kila mtu ni mdini kama chadema na maaskofu,andaeni tena walaka maana mmesema kuwa Yesu ameshinda Arusha,Ombeni tena Yesu aingie ikulu 2015 ili muwauwe waislam muishi nchi hii peke yenu.

acha ujinga, sio kila mtu mdini ila lipumba ni mdini na ushahidi upo.
kupinga kuwa lipumba ni mdini ni uthibitisho kuwa nawe ni mdini
 
Kizingiti cha CCM technically.Acha ushamba. Jifunze falsafa ya Tyranny of Numbers kwenye context hii uone itakula kwa nani kati ya CCM na CHADEMA.Soon Wakigundua basi CUF watabadili mbinu

ccm inachokifanya ni kuigombanisha chdm na cuf. na inafanikiwa. uadui wa chdm na cuf ni mkubwa sn! kuna mtu amekushauri uende ukasomee siasa ili uweze kuelewa mambo kwa upeo mkubwa. kwa upeo uliyonao. huwezi kuelewa maneno yangu kwa sasa. labda ukikua utanielewa. usipuuzie ushauri uliyopewa wa kwenda kwenye chuo cha siasa ukasomee siasa. uanaharakati ulionao na siasa ni vitu viwili tofauti.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom