Lipumba atunukiwa Nishani ya kuhamasisha Amani

Lipumba atunukiwa Nishani ya kuhamasisha Amani

Status
Not open for further replies.

Albedo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
5,558
Reaction score
1,462
Nimeona kwenye ITV Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba ni miongoni mwa Watanzania waliotunukiwa nishani ya kuhamasisha Amani.

My Take: Tunzo imekosha Heshima maana sioni tofauti ya Lipumba na Ustaadh Ilunga
 
Lipumba aliwalalamikia sana wale 'peace keeper' waliopo Ntwara.Je tunzo hiyo ni kukiri kwa ser.kal kuwa 'peace keeper' wetu wamekua wakifanya ndivyo-sivyo?
 
Lipumba aliwalalamikia sana wale 'peace keeper' waliopo Ntwara.Je tunzo hiyo ni kukiri kwa ser.kal kuwa 'peace keeper' wetu wamekua wakifanya ndivyo-sivyo?

Lipumba ni mnafiki sana ukizingatia Makamanda wake walivyocharangwa mapanga Ntwala
 
Asante Albedo, ni wazi kama tukiruhusu unafiki kama huo nchi hii itaangamia.
Ni sawa na Amiri Jeshi alipowapandisha akina Kamuhanda vyeo kwa "utumishi uliotukuka"i.
 
Nimeona kwenye ITV Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba ni miongoni mwa Watanzania waliotunukiwa nishani ya kuhamasisha Amani.

My Take: Tunzo imekosha Heshima maana sioni tofauti ya Lipumba na Ustaadh Ilunga

Huu ni utani.Mhamasishaji mkubwa wa udini ambao unachochea vurugu anapewa tuzo ya amani?Huu ni mzaha kwa wahanga wa mashambulizi ya kidini yaliyofanyika.Ndiyo maana hata kongamano la amani nilisema ni la kinafiki

Angekua Profesa wangu anayesimamia tasnifu yangu ya Shahada ya uzamili au Ph.D ningei-drop immediately.Kwa mkanda wa video wa juzi ningemdharau na ningepoteza imani nae immediatelly!
 
Nimeona kwenye ITV Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba ni miongoni mwa Watanzania waliotunukiwa nishani ya kuhamasisha Amani.

My Take: Tunzo imekosha Heshima maana sioni tofauti ya Lipumba na Ustaadh Ilunga

Kama mtoaji/mpedekezaji ni JK subiri ya Mwingulu Nchemba, hizo ndio zake
 
Hizi tuzo zinapoteza maana kabisa! Juzi katoka msikitini kuhubiri shari, leo anapewa hongera kwa nishani! Ama kweli Tanzania kila kitu ni kinyume-nyume!


Baada ya kuona uhalali wao wa kutawala 2015 uko mashakani, na kwa kuwa nguvu ya CUF inaelekea ukingoni, ccm wameamua kuwa na strategy mpya ya divide and rule. Wanajaribu kumpandisha chart Lipumba ili kukiimarisha CUF ambao ni wapinzani wa chadema (badala ya kuwa wapinzani wa chama tawal). Sishangai hata ile Kauli yake ya msikitini ya kumnusuru mgombea wa cc m ilikuwa ya kweli.
 
Kwani hizo tuzo hutolewa na nani? Kama ni wakfu ya Sheikh Ilunga kwa ufadhili wa Taasisi ya Sheikh Ponda Issa Ponda chini ya uratibu wa UAMSHO kwa hisani kubwa ya Radio Imaan na Al-Nuur [(c) 2013 Productions] then he deserves it. Vinginevyo hiyo tuzo haina maana yoyote; eti Lipumba anahamasisha amani! Huu ni zaidi ya mzaha.
 
Amani kwa kuwauza viongozi wake wa CUF waliopigwa na JWTZ Ntwara. Ukiona kiongozi wa chama cha upinzani anajikombakomba Ikulu, ni msaliti au mchumia tumbo
 
anastahili kupata tuzo, na maaskofu na chadema wakemewe kwa uaguzi na kuhamasisha vurugu
 
363049578.JPG
Sio kosa mme akimtunukia mkewe nishani!!!!!!!!!!! Kuolewa kazi!! Uvumilivu unahitajika..
 
Duh!! Hii kali ya mwaka. Profesa kinara wa Udini hapa Tanzania kupewa tuzo ya heshima ya Amani hii ni dhihaka.
Any way, ndio bongo hiyo.
Vipi, Mwigulu naye atapewa tuzo yake lini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom