Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

Wadau.

Akiwa amepewa sabuni ya roho ndani ya ulinzi unaomridhisha,huyu bwana aliyemsifia sana EL siku alipojiunga UKAWA kapanda ndege ya Kagame RWANDAIR kufika Nairobi then aunganishe Kenya Airways mpaka uwanja uitwao OLIVER THAMBO...

Yadaiwa atatoka Johannesburg baada ya siku tatu kwenda London.

Lengo ni kukwepa hasira za wana CUF aliowasaliti.
chief Hapa nadhani umendanganya,yaani kwenda jobeg kwa Rwanda air then KQ ni gharama kubwa na unatumia muda mwingi kuliko kwenda na SA moja Kwa moja.nahisi Hapa umeweka chumvi
 
Majeshi mbele kwa mbele. Kura mbili haziwezi kutuzuia kuingia ikulu
 
lipumpa nae haridhiki tu tangu 1995 anagombea tena na mwaka huu alikua anataka? mroho wa madaraka akwende zake huko
 
UKAWA mizinguo sana. Mwanachama wa ukawa akijiengua wanasema amehongwa na ccm ila wanachama wa ccm wakiingia ukawa ni sawa nahisi wanahongwa wao kama na kina el.
 
Mnafiki mkubwa. Profesa mzima unakuwa msaliti na kukosa msimamo? ??
 
chief Hapa nadhani umendanganya,yaani kwenda jobeg kwa Rwanda air then KQ ni gharama kubwa na unatumia muda mwingi kuliko kwenda na SA moja Kwa moja.nahisi Hapa umeweka chumvi

gharama kubwa nin wewe, kwan si wamelipia ccm kwa kodi zetu ww inakuuma nin
 
anaeleweka sema hakufanya kama ulivyopenda wewe-kawaambia roho imemsuta, wapiga hela akina Mbowe na Makanjanja wenzake haitotokea hata siku moja roho kuwasuta-wao ni hela kwenda mbele, alipokea za MKONO na ROSTAM akasema ni kweli ila alizitumia KUJENGEA CHAMA sasa kwa LOWASA je?

Dhamila inamsuta kwa kupokea pesa za Membe pesa Haramu za marehemu Gadafi pia dhamila inamsuta Kwa kupokea pesa za ccm pesa toka hazina pesa za walipa kodi, dhamila inamsuta kwa kumfanya Lowasa kisingizio kwani alianza usumbufu na uroho wa Urais kabla hata Lowasa hajajiunga Ukawa , Lipumba anapaswa atambue kuwa Watanzania wa sasa si wajimga wanajitambua wana Akili kuliko yeye.
 
Wasalamu wanandugu,
Habari nilizozisikia hivi punde ni kwamba Prof.Ibrahim Lipumba ameondoka nchini na ndege ya Rwanda jana baada ya kumaliza kuongea na waandishi wa habari.

Chanzo: Magazetini RFA

Haya yanayoendelea kwa sasa ni kiini macho tu, hawa jamaa ni kama hawako serious, how comes wakati chakula kinaelekea kuiva wao ndio wanaanua kususa?
 
Wasalamu wanandugu,
Habari nilizozisikia hivi punde ni kwamba Prof.Ibrahim Lipumba ameondoka nchini na ndege ya Rwanda jana baada ya kumaliza kuongea na waandishi wa habari.

Chanzo: Magazetini RFA

Lipumba mshauri mtarajiwa wa Pombe magufuli wa masuala ya uchumi, afadhali kakataa kuingia mtego wa fisadi EL
 
Hakika huyu kanunuliwa ni mnafiki ajabu na kweli hasira za wananchi zingemuwakia hapo utaona tofauti ya Proffessor na Re-professery!! Ze comedy wana party ya Le-proffessery ni kweli kabisa!!

Lipumba kasau alichosoma sasa kichwani ana Elimu ya darasa la 4 tu, kashindwa kutambua kuwa wananchi wa sasa hawadanganyiki kijinga jinga hivi . Mwambie Lipumba aludi shule tena maana sasa kumbukumbu za alichosoma zimekwisha.
 
anaeleweka sema hakufanya kama ulivyopenda wewe-kawaambia roho imemsuta, wapiga hela akina Mbowe na Makanjanja wenzake haitotokea hata siku moja roho kuwasuta-wao ni hela kwenda mbele, alipokea za MKONO na ROSTAM akasema ni kweli ila alizitumia KUJENGEA CHAMA sasa kwa LOWASA je?
Mkuu wewe endelea na ccm wasio wapiga pesa maana kwa uaminifu wa ccm najua wanao na wana wa ndugu zako wanapata elimu bora na siku moja watakuwa kama wewe.sisi ambao watoto na wajukuu zetu wamepoteza ndoto ya Kuwa kama wewe kutokana na elimu yetu kuharibiwa na ccm we are trying to think big and start smaller.hivyo tunaanza kwanza kungoa mzazi na mwasisi wa ufisadi nchi ccm,baada ya hapo hao wapiga pesa kuwa dhibiti ni rahisi maana mlinzi wao hata kuwepo tena
 
Hapo ndio tunapokosea wengi wetu, kujiweka pembeni sidhani kama inamaanisha ni kuwa msaliti, Kwenye Demokrasia kuna msemo unasema ''wengi wape'' kwahyo kama Prof ameshindwa kwa kura za wingi hvyo kujiweka pembeni ni kounyesha kutoridhishwa na maamuzi ya wengi
 
Anaogopa Kufanyiwa Umafya na lile Genge linalomzingira Slaa asiongee na Media, hata yeye mwenyewe juzi chupu chupu Kufanyiwa mbaya ndo akaahirisha mkutano
Uongo ni dhambi. Usiongee vitu usivyo na uhakika navyo. Mtu mzima ovyooooo
 
Back
Top Bottom