rashidforeseerer
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,000
- 440
nakutakia safari njema lipumba ila ningependa umshauri na james mbatia nae achukue maamuzi kama yako kwani hapafai huko ukawa tokeni haraka
wew ni mjinga sana . Kukimbia nchi baada ya kukosa kugombea urais na kupokea pesa za kodi zetu kupitia ccm ndo uzalenddo? Aibuuuuuuu