Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

Lipumba aondoka nchini baada ya kujiuzulu

acha aende zake..naamini angeonekana angepigwa mawe na wanachama wa cuf/ukawa
 
Lipumba usirudi tena olewa kabisa huko unapoenda.slaa nae atakufata huko honeymoon
 
Mimi nawasiwasi sana na uelewa wako.nazani unamapungufu. je? umetumia muda kutafakali zile sababu alizozitoa lipumba?zinaendana na alichofanya?

Huyo selemani maige atakuwa ni mpambe wa Nape tu 'maana inaelekea hajasoma nyakati yaani kashindwa kutambua kuwa Watanzania wa sasa ni wajanja hawadanganyiki kirahisi wanajua A-Z kuwa Slaa na Lipumba wamenunuliwa na Membe kupitia Yale Mabilion ya Dola ya marehemu Gadafi ambayo Membe aliyapora na kuyaficha kwenye mahandaki nyumbani kwake.
 
Lipumba usirudi tena olewa kabisa huko unapoenda.slaa nae atakufata huko honeymoon

Lipumba Hana Mke hukuwa na pesa za mahali wala nyumba nje ya Nchi wamempeleka Dubai kumnunula Nyumba na Afiche pesa walizompatia kisha Aozwe Mke huko huko , Akija Tanzania iwe ni kwa kubeep tena kimya kimya tu.
 
Nampa heko Lipumba na Mbowe anapaswa kufuata nyayo zake.
 
Kwa hali hii yawezekana watakao kua wapinzan wa kweli ni wale wanaoingia upinzan kwa sasa iv maana wapinzan wakongwe siwaelewi kabisaa vijimambo vyao
 
Siasa ni mchezo mchafu yani hata kama edo asingejiunga kulikuwa na mpasuko mkubwa tu kati ya Dr.slaa na pr.lipumba nani agombanie urais wanasiasa achen tamaa wananchi wanahitaji mabadiliko
 
Hakyamungu kama Lipumba kidume angetolea tamko la kujiuzulu pale makao makuu ya CUF. Imani yetu imebaki kwa Maalim Seif na yeye akizingua kama alivozoea kuwazingua wazenji kwa kupewa hongo na kuwaachia ccm zanzibar wakti yeye ndio kashinda. MUNGU TUSAIDIE.
 
Kwa hali hii yawezekana watakao kua wapinzan wa kweli ni wale wanaoingia upinzan kwa sasa iv maana wapinzan wakongwe siwaelewi kabisaa vijimambo vyao

Njaa zinawasumbua wanakamatwa kirahisi na Nape .
 
mbowe naye ajiuzulu kumkalibisha mwizi ndani ya ukawa
 
Lowasa anawafahamu wote waliokuwa wanaisaidia ccm kushinda wakiwemo Lipumba na Zito kwa hivo ulaji wao kwisha they have to go.
 
Siasa ni mchezo mchafu yani hata kama edo asingejiunga kulikuwa na mpasuko mkubwa tu kati ya Dr.slaa na pr.lipumba nani agombanie urais wanasiasa achen tamaa wananchi wanahitaji mabadiliko

Mkuu siasa siyo mchezo mchafu bali wanasiasa ndio wanafanya siasa ionekane hivyo.
 
Siasa ni mchezo mchafu yani hata kama edo asingejiunga kulikuwa na mpasuko mkubwa tu kati ya Dr.slaa na pr.lipumba nani agombanie urais wanasiasa achen tamaa wananchi wanahitaji mabadiliko
Lipumba alianza figisu figisu kitambo kabla hata Lowasa hajatimba Ukawa , Jana kumtumia Lowasa Kama kisingizio tu lakini dhamila inamsuta kwa mengine wala si Lowasa. Hata dhamila ya kupokea pesa za Membe na pesa za ccm pia zinamtesa.
 
Shule Tanzania inadhalilisha sana lipumba aeleweki ni profesa au riprofesari

anaeleweka sema hakufanya kama ulivyopenda wewe-kawaambia roho imemsuta, wapiga hela akina Mbowe na Makanjanja wenzake haitotokea hata siku moja roho kuwasuta-wao ni hela kwenda mbele, alipokea za MKONO na ROSTAM akasema ni kweli ila alizitumia KUJENGEA CHAMA sasa kwa LOWASA je?
 
Katuvunja sana moyo wapenda mabadiliko

kumbuka yeye ana kura 1 tu ambayo nitaifidia mwenyewe, nyuma yake hana watu weng kama kamanda lowassa! tutafanya mageuz bila uwepo wake! mapambano yaendelee usikate tamaa
 
kanunuliwa kama alivofanya jobu ndugai kukwepa kuliongoza bunge kujadili escrow huku akiandaliwa safari nje ya nchi
Hakika huyu kanunuliwa ni mnafiki ajabu na kweli hasira za wananchi zingemuwakia hapo utaona tofauti ya Proffessor na Re-professery!! Ze comedy wana party ya Le-proffessery ni kweli kabisa!!
 
Back
Top Bottom