kitendo cha kwenda nje ya nchi huku akiwa na kesi mahakama ya kisutu inaonyesha kuna watu walimuhakikishia jambo fulani
Watawahonga sana hela lakini wananchi ndo tunataka mabadiliko na sio hao manunga embe wasio na huruma kwa wananchi laana za mate so ya wananchi ziko juu yao popote. So shame wangehonga wananchi kwa good social services.CCM inakosea sana, badala kuwanunua viongozi wenye njaa ilitakiwa itununue sisi wananchi wapigakura kwa kutuboreshea maisha na kuacha ufisadi
atajua mwenyewe kilicho mpeleka hk kukwepa hasira za wana cuf hakupo kwan sasa naye ni mwanachama wa kawaida siasa noma
Mkiitwa nyumbu mnakuwa wakali ukweli ni kuwa bavicha na hao wanaojiita team lowasa me naona kweli ni kundi la nyumbu msiojua wapi mnatoka na wapi mnaelekea, mbaya zaidi mnaongozwa na mihemko, jifunzeni kutafakali mambo sio kumkurupukia kila anaetoka ukawa, bila kutafakali mtaendelea kuitwa wendawazim tena nyumbu kila siku na ukweli pamoja na matusi na kejeli kwa wasomi wanasiasa wakomavu wanaoendelea kuondoka ukawa haiko salama, acheni ubwege wa kukurupuka tafakuri inahitajika
Katuvunja sana moyo wapenda mabadiliko
Lipumba alipokea milioni 300 toka CCM mapema mwezi uliopita ili kuvuruga ukawa
nasikia amekwenda kupumzika. Ila usishangae uwenda kaenda kuchukua chake
Shule Tanzania inadhalilisha sana lipumba aeleweki ni profesa au riprofesari
Mbona ndiyo zake toka zamani! Mwenye harakati za kweli ni Maalim Seif Sharif Hamad lakini huyo pimbi nimekuwa nikimhofia tangu zamani yuko kuisaidia CCM ishinde kwa kishindo!
Nenda wewe fb hapa lazima upate ukweli mchungu kuliko klotoqwini na wewe unatiana ujinga na nani akili hizi za ki division Ukawa ndo habari ya mjini.Humu vimejazana vikundi viwili bavicha na team lowassa vinatiana ujinga,jf imevamiwa,bora uchaguzi uishe muondoke na mzoga wenu mrudi nao Facebook tuendelee na mambo mengine