mkuu
THE BIG SHOW uliwahi kuiona hiyo cd ya masheikh wa dar wakiwa na lipumba wakiapishana kuhakikisha mwaka 2015 wanampigia kura muislam na asiefanya hivyo augue kansa ya damu... kuna mambo siyo ya kufumbia macho eti utaonekana uko upande wa dini fulani...
Nimekusoma,nataka kuweka vitu wazi kabisa na watu wafaham uhalisia,
Uislam kama uislam ni mfumo uliokamilika kimaisha,,uislam hauwez kuwa subset ya siasa,bali siasa inaweza kuwa ni subset ndan ya uislam,
Uislam na sisi waislam hatuhitaji backup ya chama chochote kile ili tuweze kusurvive na kukamilisha mafundisho ya imab yetu kwa maslahi ya maisha ya sasa na ya baadae baada ya kuondoka hapau limwenguni,
Huyo lipumba na hao masheikh kuapishana na kwmba wampgie kura lipumba au cuf kwa maslahi yao kisiasa mwaka 2015 hiyo haina chcchte cha kufanya kipewe nafas ndan ya uislam na mustakabali wa waislam,CUF haijasema ikija madarakani basi itasimamisha sharia za kiislam ndan ya jamhuri hii,mimi siwapi like ya aina yyte katika hilo,
Ila kitu kikubwa hapo ni kwamba uislam na waislam hatutaweza kukaa kimya pindi tunapoona wanasiasa na siasa zao wanatuingilia kwenye mambo na taratibu zetu,we muslims,we are peaceful to somebody who is peaceful to us,torelant to someone who is torelant to us,we obey the law.,we serve god,we release regular charities n etc,but if somebody/someone puts his/her hand upon us intentionally we can send him/her to the cemetary...
Kwaiyo hao wanaoapishana na lipumba labda wawe wanaapishana kwa kuchelea masahibu yanayowakuta ndan ya nchi hii kwa kuwa kwao upande flan wa ushabiki wa siasa za chama fulani,kwaiyo kama wao wanaamin kwa kuwa upande huo wa chama cha siasa wanaweza kupata haki zao za kidunian ni wao kama wao,lakin tofaut na hapo uislam umetuweka wazi kabisa na namna ya kuyaendea maisha haya ya ulimwengu,samahani kama nitakuwa nakuhubiria dini...
Point yangu kuu ni kwamba UISLAM kwa ujumla wake hauhitaji siasa au wanasiasa ili uweze kusimama na kuish kwa ukamilifu wake,uislam unahitaji waislam walio committed kwa kufuata qur an na sunnah za mtume wetu s.a.w pekee,
Japo nakiri ya kwamba mifumo na tawala mbali mbali za kilimwengu zinachangia katika kuufanya uislam ukwazike au usikwazike kutokana na sera,miundo na maono ya vyama husika,
Tanzania daima iwe makini katika kuyaendea mambo ambayo yanagusa hisia wa watu moja kwa moja kabla ya kukimbilia kuyaandika na kuyareport,
Iangalie impact yake kichama,kitaifa na kimaono ya walio wengi pia,isiandike tuh ili iuze,hiyo haitakuwa na tija wala maana yyte.