Lipumba achochea tena udini: Waumini walishwa kiapo!

Lipumba achochea tena udini: Waumini walishwa kiapo!

Status
Not open for further replies.
Sasa hapo kuwa MFAGIZI; Msafisha OFISI... ni MTANZANIA MKRISTO ndio kasababisha hayo? Ndio kasababisha huyo MFAGIZI asiendelee Darasa la Saba? ndio huyo MTANZANIA MKRISTO ndio aliyeleta inequality ? Kweli leo hii baada ya miaka 50 ya UHURU ndio unamletea Malalamiko?

Sasa unataka yeye akae pembeni akusubiri wewe upate elimu uendelee yeye akae tu bila Maendeleo? kama vile ilikuwa ni kosa lake? why incriminating him? was that his fault?

Huyo mfagizi umesikia hajasoma. Unapompa mkristo mwenzio kazi halafu ukamuacha mwislamu ambaye ana sifa zaidi aendelee ufagizi wakati amesoma zaidi ya mkristo huo sio udini? Nani kakuambia waislamu hawajasoma? For your information waislamu wengi sasa wamesoma tena wenye degree hadi tatu wako wengi sana. Sasa kinachoendelea sasa serikalini ni udini pure hakuna kengine.

Mbona hunijibu swali langu kwanini Lipumba? Why Lipumba? Mbona hamkuwakemea maaskofu walipoyasema kama aliyoyasema Lipumba? What is so special about Lipumba which is distinct to paroko na maaskofu? Brother nimekuambia waislamu sasa wamesoma wanakusanya kila data wanazoweza kukusanya kamuulize Lipumba kwanini amesema hayo utapigwa na butwaaa.
 
Yaani unataka kuniambia MSOMI MWISLAMU anakuwa MFAGIZI msafisha OFISI? Mwaka Gani huo?
Hao Maaskofu kama walisoma sikuwasikiliza kwasababu DINI na SIASA ni vitu viwili tofauti; na DINI yangu ya kikristo viongozi wetu sio Maaskofu...

Umeona... Dini za kikristo zina Madhehebu Mbalimbali; Uzuri hapa NCHINI ni kuwa DINI ya kiislamu DHEHEBU pekee ni SUNNI sio kama IRAQ wana SUNNI na SHIITE umeona kwahiyo kunakuwa na Imam wa SUNNI na SHIA wana Ayatollah

kwahiyo watasema lolote hao viongozi wa dini lakini hapa TZ kuna dini za kikristo zaidi ya 10 na unajua baada ya Rais MWINYI kuruhusu UHURU wa DINI dini kibao zikaingia za UKWELI na ZA KIBINAFSI kwahiyo ni zaidi ya 20 sasa --- kwahiyo ukiongelea sasa Maaskofu utakuwa unaongelea kundi la baadhi ya wakristo Tanzania.

Kwahiyo UONGOZI wa wakristo hakuna MSEMAJI wa wakristo --- kwahiyo ONDOA hilo; kwahiyo kama LIPUMBA ndio anataka kuwa MUONGELEAJI wa SUNNI MUSLIM sababu anajua siri za hao Maaskofu atakuwa anafanya makosa; nasoma kundi dogo sana la Wakristo na itamletea MATATIZO... kama yeye ni MWANASIASA aamue kuwa MWANASIASA... aziache dini huko ziliko...

Hao Maaskofu sidhani wameingia kwenye siasa... he should be very careful; DUNIA INAMUANGALIA!!!
 
Kaka naona unadilly dallying au kwa maana rahisi unatoka nje ya mjadala wetu,

Umeuliza ni wapi msomi mwislamu anakuwa mfagizi jibu lako ni hapa Tanzania. Mfano nenda wizara za serikali hii ya Tanzania utaona waislamu ni front desk officers, viongozi ndio wakristo despite wapo waislamu wengi tu wazuri pale wamesoma ila ukurugenzi wanashika wakristo ukiuliza hutapata jibu lolote la maana. PPF shirika la umma stori ni hiyo hiyo, IFM chuo cha umma udini uko pia , na kwengineko kwingi. Na huko pia sio kwamba hakuna waislamu wenye sifa ila wanaangaliwa kwa boriti ya udini.

Kwa hiyo usijifanye hujui kafanye research yako utafahamu vizuri kwanini Lipumba anazungumza hivyo. Na kauli ya Lipumba ni sawa kauli yangu nayopigia kelele kila siku humu jamvini tangu tukiwa Jambo forum hadi sasa Jamiiforums. Ndugu zetu kuweni na haya na tahadhari. Black empowerment ya South Africa ilianzishwa si tu kwasababu walipenda bali walifanya hivyo kuhakikisha wanatengeneza a balance society. Ubinafsi unaoendelea sasa sio tu ni udini bali unachochea watu wenye chembe chembe za uharamia kuchochea chuki within the community.

Mkuu maaskofu ni viongozi wenu wewe unajidai tu askofu si kiongozi but I am living with my brothers who are christians ukikaa nao baa ukizungumza maswala sensitive ya kuhusu dini yao na vitimbi vya maaskofu wanakuwa wakali bila ya kiasi. Vile vile ulipotoka waraka wengi wenu sio tu humu JF hadi huko kwenye viringi vyetu vya starehe waliusifu walisahau kabisa possible repurcussion zake. So tusidanganyane brother.
 
Prof kasema kweli, waislam wapo daraja la 4 ktk tanzania na wakristo hutamba waislam hawajasoma
 
CHADEMA wanafurahisha sana. Wao UDINI upo issue ikihusu waislamu tu. Wakati maaskofu wanawataka waumini wamchague mtu atakayelinda TUNU za kikristo walichekelea tu na kusifu kwa sababu wangepata kura za bure. Ni chizi gani asiyejua CHADEMA huwezi kuitenganisha na Ukristo. Msidhani watu ni wajinga!
cuf huwezi kutenganisha na dini gan?
 
Naapa kwa jina la Allah, lipumba hawezi kuwa rais wa Tanzania kamwe! Siasa zimemshinda amebaki kutumia misikiti kuomba huruma za waislamu, hatafanikiwa kamwe!
 
Katika baraza la mawaziri la mh.dr jakaya kikwete kuna mawaziri wakristo na waislam,ebu niambie kiukweli kutoka moyoni ni mawaziri wangapi wanaonyesha angalau wanaweza kusimamia wizara zao ufuatilie na dini zao,ukiishapata jibu ndipo utagundua hata humo kwenye maofisi ya umma au ya watu binafsi kinachotakiwa ni utendaji na siyo elimu au itikadi ya dini yako.

Na ukitaka kujua nilisemalo kwamba ni kweli angalia vyama vyote vya siasa toka vilipoanza kugombea uongozi wa nchi ni CUF tu ina Mgombea mmoja tu wa urais toka mwaka 1995 na ndo huyo huyo ameanza kunadiwa 2015,kwa yeyote mwenye akili atagundua kwamba CUF ambayo majority ya wafuasi wake ni waislam haina mgombea mwingine zaidi ya LIPUMBA TZ bara na MAALIM SEFU TZ visiwani hapa napo anayewaonea waislam ni nani?
 
Lakini wa KULAUMIWA ni Rais MSTAAFU MWINYI... aliyelivunja JKT...

Wakati wa JKT kukimaliza Unapewa NUMBER hiyo NUMBER wanazichukuwa wanazipeleka UTUMISHI huko UTUMISHI zinaunganishwa na PASS zako na zanatafutiwa AJIRA

Unapata AJIRA 2 unachagua 1; wa CHUO kikuu ilikuwa hivyo hivyo -- Kazi zilikuwa zinapatikanana unajua sasa hivi ANGALIA sasa unaongelea QUALIFIED PERSON yuko kwenye DESK... kulikuwa kua powerful UNIONS na WAKURUGENZI hawakuwa wanaota VITAMBI KAMA kampuni ni yake kama SASA...

Tumeharibu UCHUMI wetu; Tumeharibu Uwajibikaji wetu; wewe Angalia Dar kulikuwa na 10 textile industries labor intensive vilikuwa vinaajiri wafanyakazi sio pungufu ya 4,000

Rais Mwinyi akabadilisha Uchumi wa nchi; kuondoa ule UJAMAA na KUJITEGEMEA na kuweka KIBEPARI sasa wakaruhusu Mawaziri na Wakurugenzi kumiliki Mali; Mahoteli, Majumba hapo ndipo kusahau Uwajibikaji na hakuna tena NGUZO 5 za UONGOZI

Kwahiyo it was a CIRCLE; it did not start kuumiza kundi moja dini moja; ilianza kuumiza wakulima wa Mazao ya biashara; ikafuatia; Viwanda kuuzwa hence ajira zikapungua sasa ni who's who -- kweli wasomi wako wengi lakini hakuna ajira za qualifican zao; na sio waislamu pekee nina cousin wangu ana Masters toka UK karudi bongo ili apate pia kuolewa hana kazi ni kazi ni jinsi walivyo privatize hawakuangalia MBELENI

Lakini Umeona Black Empowerment ya South Africa imefanikiwa? the townships still have the same problems as during APARTHEID angalia CHIEF wa kabila la MANDELA kahama ANC kahamia DP chama cha Wazungu

Hata siku moja Maendeleo hayataletwa kwa BIASED DEVELOPMENT

Embu angalia Kenya Kenyatta hakufanya chochote kwa Watu wa Mombassa and they catch up development wise

NYERERE - Nationalize RELIGION SCHOOLS; PRIVATE SCHOOLS akaondoa ADA za wanafunzi kulipia; Akaondoa utawala wa MACHIEF ili kuondoa hayo matabaka ya baadhi ya Machief kuwa na Uwezo wa kusomesha vijana hadi nje ya NCHI

Kitu ilichofanya ni Malalamiko; Wakristo na watoto wa matajiri wengi hawakuweza kwenda shule ndio watoto wasiojiweza walipata nafasi ya kwenda shule... lakini MWANADAMU HATOSHEKI hata ukimpa DHAHABU leo kesho ataililia kama hakuipata jana...

you can sacrifice for a HUMAN BEING but still he will be the one who will CUT your throat in a DAYLIGHT!!!

** Kama kweli sisi ni BINADAMU wa ukweli tungekuwa na MOYO KIDOGO kwa NYERERE na watoto 9 kaondoka IKULU hakubeba MALI YOYOTE ya nchi yetu... hauoni watoto wake wakiruka na ndege au Magari ya kifahari

Lakini hatuna shukrani; tunamtukana zaidi ya wa ZAIRE wanavyomtukana MOBUTU au GADAFFI au SADDAM
 
Tendwa hasikii hayo.
Anyways labda kwa kuwa Lipumba ni Mtanzania pekee mwenye title ya Mgombea wa Kudumu wa Nafasi ya Urais.
 
Najivunia kuwa muislam nisiye tumika. Mwaka 2010 nusura nikate tamaa kwenda msikitini, lakini kwakuwa najitambua nilijipa moyo. Naenda msikitini kumuomba mungu na sintafuata fuata siasa, siasa ni majukwa ya siasa na sikwenye nyumba za ibada. 2015 kura yangu "chadema"
 
Katika baraza la mawaziri la mh.dr jakaya kikwete kuna mawaziri wakristo na waislam,ebu niambie kiukweli kutoka moyoni ni mawaziri wangapi wanaonyesha angalau wanaweza kusimamia wizara zao ufuatilie na dini zao,ukiishapata jibu ndipo utagundua hata humo kwenye maofisi ya umma au ya watu binafsi kinachotakiwa ni utendaji na siyo elimu au itikadi ya dini yako.
Na ukitaka kujua nilisemalo kwamba ni kweli angalia vyama vyote vya siasa toka vilipoanza kugombea uongozi wa nchi ni CUF tu ina Mgombea mmoja tu wa urais toka mwaka 1995 na ndo huyo huyo ameanza kunadiwa 2015,kwa yeyote mwenye akili atagundua kwamba CUF ambayo majority ya wafuasi wake ni waislam haina mgombea mwingine zaidi ya LIPUMBA TZ bara na MAALIM SEFU TZ visiwani hapa napo anayewaonea waislam ni nani?

Kamuulize swali la composition ya mawaziri wakristo au waislamu Mheshimiwa Mwandosya alipowajibu akina Lema pamoja na wadini wenzie kuwa udini wa JK hauoni. Mwandosya alikiri kuwa katika baraza la mawaziri majority ya mawaziri na manaibu na makatibu wao ni wakristo (almost 75%). Sasa nikuulize wewe unaeuliza swali ulikuwa hulifahamu hili au unataka tu kusumbua kichwa changu?

Tukirejea katika utendaji wapo mawaziri na manaibu waziri watendaji wazuri both wakristo na waislamu. Mfano Magufuli ni mkristo but mtendaji na vile vile mfano Nahodha, na Mwinyi ni watendaji wazuri. Lakini hilo ni nje ya mada lilipo kwenye mada ni uteuzi au uchaguzi wa viongozi wa taasisi za umma na serikalini kwa ujumla. Wanatumia vigezo vipi kuwateua? Wakati kuna waislamu wenye sifa pengine kuwazidi hao walioteuliwa but wanakuwa wanawaaangalia kwa jicho la udini. Mfano hai ni nafasi ya katibu wa baraza la mitihani inayoshikiliwa na Dr Ndalichako. Nikuulize is it coincidence or conspiracy that since independence hadi leo nafasi ile lazima ishikiliwe na mkristo???? Kwani hakuna waislamu wenye sifa stahiki???

Hapa sio swala la itikadi bali kuweka balance of power. Wazungu sio wehu kuja na policies kama za black empowerment wanajua society moja ikijiona haitambuliki athari zake zinawaathiri wao wazungu na watu weusi pia. Na hiyo ni kwasababu kwenye malalamiko ni rahisi watu wenye mbegu za kupandikiza chuki kuibuka matokeo yake ikawa balaa tupu. Mifano ya hiyo ipo Mfano halisi Adolf Hitler na chuki yake dhidi ya wayahudi na watu wenye maendeleo ya kibiashara matokeo ni kuwa akaja kushika uongozi kutokana na sikuwa ana sifa bali anakubalika na watu who felt wamekuwa wakionewa muda mrefu.
 
nngoo7,

This is nonsense na baseless argument. Kwanza uchumi haukuwa mzuri wakati wa kipindi cha Nyerere. In fact Nyerere failed miserable to achieve his economic ambition simply because he was thinking of more government expenditure than raising government revenue. Kusupport haya kasome articles za Professor Wangwe, Professor Semboja, Maprofessor wengi wa uchumi watakuambia hili waulize. Nanukuu hapa kutoka kwenye article title Socialist experiment in Tanzania 1961-1984.

"After ten years in office, Nyerere admitted failure. Inequality among its cities, a life of poverty "is the experience of the majority of our citizens," he said. The country was experiencing shortages of cooking oil and gasoline. Hotels in his capital, Dar es Salaam, were falling into disrepair. There had been a movement of people to the big city and in the capital street gangs were coming into existence. Nyerere deplored his country's continued dependence on foreign assistance and its deficit financing. It was Nyerere's socialism that had failed. The nation suffered from a bloated government bureaucracy. Farmers had resisted government policies and the government-created communal villages and farming. In 1983, Nyerere gave up on his socialist dream and declared that the government would again permit private enterprise in farming, including companies investing in private commercial farms. Nyerere agreed to cut government subsidies and to cut state run organizations. Faced with famines and mass starvations, Nyerere resigned in 1985, after twenty-four years as his nation's president. And the new regime that took office began dismantling government controls over the economy."

Asked yourself what was the new regime that took office after Nyerere it was Mwinyi's regime. Bila mwinyi sasa hivi tungelikuwa kama North Korea au Cuba or even worse. Mshukuru sana Mzee Ruksa
 
Unajifanya ushasahau waraka wa uchaguzi 2010? Hadi wakafikia kiwango cha kuanza kupingana na mafundisho yao kudai tusimwangalie mtu kwa matendo yake bali tuangalie nini anasema. Wakati kwenye biblia inapingana na hayo matendo na maneno ndio symbol of someone who is accountable and good leader. Tupisheni bwana mshasahau humu JF mlikuwa mkisema hamtakaa mumchague tena rais mwenye kuvaa kibarakashia???? Kama udini ulianzia toka zamani ndugu zetu wakristo nyie ni wadini ila mkiona mwengine anafanya kinawauma swali ni nani alianzisha? Jibu mnalo.

Kwa taarifa yako;Udini utaidhoofisha zaidi CCM kuliko CDM.Nchi Jirani zimeshaanza kunusa harufu hii kutoka Utawala wa CCM.
 
Kwa taarifa yako;Udini utaidhoofisha zaidi CCM kuliko CDM.Nchi Jirani zimeshaanza kunusa harufu hii kutoka Utawala wa CCM.

Kwani tunajadili CCM au Lipumba wa CUF? Udini wa CCM ni upi? Au unataka kutupeleka kusiko kujadili mada sio. Anyway udini utadhoofisha sio CCM tu bali Tanzania nzima. Nchi Jirani zimeanza sio tu kunusa harufu hii bali kama ukimsikiliza vizuri Kagame wanasubiria bomu tu lilipuke watumalize. Na yote hii ni kwasababu kila upande wakristo unasema waislamu wadini na waislamu wanasema kuna mfumo kristo. Badala ya kukaa chini na kuyamaliza ili taifa liende mbele kila mmoja anajiona msafi. Bila ya kukubali makosa yetu hatufiki mahali na hali ni mbaya .
 
Waislamu wameshaumwa na nyoka hivyo hawatarudia kosa la 2010,

Lipumba anapoteza mda wake tu, waislamu wa juzi sio wa leo!
 
nngoo7,

This is nonsense na baseless argument. Kwanza uchumi haukuwa mzuri wakati wa kipindi cha Nyerere. In fact Nyerere failed miserable to achieve his economic ambition simply because he was thinking of more government expenditure than raising government revenue. Kusupport haya kasome articles za Professor Wangwe, Professor Semboja, Maprofessor wengi wa uchumi watakuambia hili waulize. Nanukuu hapa kutoka kwenye article title Socialist experiment in Tanzania 1961-1984.

"After ten years in office, Nyerere admitted failure. Inequality among its cities, a life of poverty "is the experience of the majority of our citizens," he said. The country was experiencing shortages of cooking oil and gasoline. Hotels in his capital, Dar es Salaam, were falling into disrepair. There had been a movement of people to the big city and in the capital street gangs were coming into existence. Nyerere deplored his country's continued dependence on foreign assistance and its deficit financing. It was Nyerere's socialism that had failed. The nation suffered from a bloated government bureaucracy. Farmers had resisted government policies and the government-created communal villages and farming. In 1983, Nyerere gave up on his socialist dream and declared that the government would again permit private enterprise in farming, including companies investing in private commercial farms. Nyerere agreed to cut government subsidies and to cut state run organizations. Faced with famines and mass starvations, Nyerere resigned in 1985, after twenty-four years as his nation's president. And the new regime that took office began dismantling government controls over the economy."

Asked yourself what was the new regime that took office after Nyerere it was Mwinyi's regime. Bila mwinyi sasa hivi tungelikuwa kama North Korea au Cuba or even worse. Mshukuru sana Mzee Ruksa

Naamini Umaarufu kidogo iliyobaki nayo CCM ni kutokana na Kazi Nzuri aliyoifanya Mwl.Nyerere(BABA WA TAIFA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA).Ndio maana wapigakura wengi wa CCM ni wazee kwa sababu wanakumbuka utendaji uliotukuka wa BABA YETU huyo.Marais waliofuata wameendelea kushusha Heshima ya CCM kiasi kwamba ni Vijana wenye nasaba na Familia za Mafisadi ndio wanaoweza kutamka Hadharani kwamba wanaipenda CCM.
 
Nauliza swali Moja, Kwa sasa Raisi wa nchi ni Muislamu, niambie faida wanayopata Waislamu wa Mtwara zaidi ya kipigo na kudhulumiwa staiki zao, Mbona bandari inajengwa Bagamoyo na isiboreshe ya kwa Waislamu wa Tanga? Je Ukiwa Muislamu katika utawala wa JK unapata huduma gani bure? Cha muhimu jamani ni kiongozi bora, tukipata kiongozi bora wote tunafaidika, vinginevyo woote tunaumia
 
Kwani tunajadili CCM au Lipumba wa CUF? Udini wa CCM ni upi? Au unataka kutupeleka kusiko kujadili mada sio. Anyway udini utadhoofisha sio CCM tu bali Tanzania nzima. Nchi Jirani zimeanza sio tu kunusa harufu hii bali kama ukimsikiliza vizuri Kagame wanasubiria bomu tu lilipuke watumalize. Na yote hii ni kwasababu kila upande wakristo unasema waislamu wadini na waislamu wanasema kuna mfumo kristo. Badala ya kukaa chini na kuyamaliza ili taifa liende mbele kila mmoja anajiona msafi. Bila ya kukubali makosa yetu hatufiki mahali na hali ni mbaya .

Nailaumu CCM kwa sababu haitaki kukemea hizi kauli Mbovu za Lipumba.Na huenda inafanya hivyo ikitegemea kufaidika na DIVIDE & RULE PHYLOSOPHY.Lipumba anaongea kwa kurudiarudia na Bila Hofu; huenda Katumwa.Yeye Mwenyewe amewahi kuitangazia Dunia kupitia Msikiti wa Idrissa kwamba alikuwa Mpiga Kampeni wa Udini kwa niaba ya CCM katika UCHAGUZI WA 2010.Najiuliza,Kwa nini CCM Haikemei Kauli hizi?Kuna nini?
 
Huyu lipumba ni chizi au ameshaona waislam hamnazo.kama alipiga kampeni za namna hiyo akachaguliwa mwislam na kuwafanya waislam drj la 3,sijui kutoka la ngapi mkapa aliwaacha basi kumbe shida ya waislam si muislam bali ni mfumo bora wa kusimamia nchi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom