Lipumba achochea tena udini: Waumini walishwa kiapo!

Lipumba achochea tena udini: Waumini walishwa kiapo!

Status
Not open for further replies.
Naomba mnioneshe ipi hapo ni kashfa na kipi kibaya alichokiongea Prof Ibrahim Lipumba, naona wengi mnasoma maneno ya mwandishi na mnakuwa "brainwashed" na kufikia conclusion kabla ya kusoma aliyoyanukuu.

Tafadhali someni na mtuoneshe hiyo kashfa ni ipi?
 
Hivi jamani tutumie kipaza sauti gani kupaza sauti zetu zisikike kwa Tendwa ili aweze kutenda haki kwa vyama vyote? Amani ya nchi hii ikipotea huyu mzee tutafukua kaburi lake na kuichoma moto mifupa ili kumaliza hasira zetu. Kwanini amepewa mamlaka halafu anayatumia vibaya hivyo? Kwanini Tendwa hakemei mambo haya?

John Tendwa ni ''mlezi'' wa CDM tu
 
Uchaguzi upi huo? na kuna tatizo lipi hapo?

15,tatizo ni kuomba kura na kupiga kampeni msikitini.mtatiro co mjinga amruke bos wake.prof ananukuliwa akiwalisha sumu waumini kwamba fursa zinatolewa kidini.
 
15,tatizo ni kuomba kura na kupiga kampeni msikitini.mtatiro co mjinga amruke bos wake.prof ananukuliwa akiwalisha sumu waumini kwamba fursa zinatolewa kidini.

Nimekuuliza hayo ni maneno ya Prof Lipumba? naona bado unarusha. Unanchekesha.

Hivi Lipumba ni lini alitangaza kuwa atagombea 2015?
 
mbona con udin wa lipumba hapo?tumien akilin zenu kuelewa,au kaongelea msikitni...?kwan ccm b4 cwalsema cuf ya waislam then nx cdm ya wakristo....so jaman vijana,2jiangalie,don kip in ur mind on politcs,fyt 4 ur position where 2 b...!!once war come,we ar d first to b touchd n politicians ar not...
 
Kama anadhani waislamu ndiyo kundi linalohadaika kirahisi anajidanganya...

Mkuu, ukweli ndio huo. Kitu chochote kikiongewa msikitini mara nyingi na kwa waislamu wengi huwa ndio msimamo wetu. Si ni rahisi sana kuyumbishwa kwa propaganda.
 
Naomba mnioneshe ipi hapo ni kashfa na kipi kibaya alichokiongea Prof Ibrahim Lipumba, naona wengi mnasoma maneno ya mwandishi na mnakuwa "brainwashed" na kufikia conclusion kabla ya kusoma aliyoyanukuu.

Tafadhali someni na mtuoneshe hiyo kashfa ni ipi?

Shida ya hawa watu ni kutoona matendo yao akifanya mwengine ndio kinawauma. Kuna nyimbo maarufu inasema kunya anye kuku bata akinya anakuwa kaharisha. Wakisema maaskofu na maporoko kuwa kiongozi gani wamtakaye basi inakuwa sahihi but akisema Professor Lipumba basi ni udini. Wasubiri 2015 watauona huo udini ni kitu gani.
 
FF Karibu sana, ni mwaka na zaidi umeadimika hapa kwa ID yako hii maarufu.

Ahsante Rock City.

By the way, nilikuwa Mwanza mwaka huu mwanzoni, pamebadilika na pazuri sana.

Ramadhan Kareem.
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA wanafurahisha sana. Wao UDINI upo issue ikihusu waislamu tu. Wakati maaskofu wanawataka waumini wamchague mtu atakayelinda TUNU za kikristo walichekelea tu na kusifu kwa sababu wangepata kura za bure. Ni chizi gani asiyejua CHADEMA huwezi kuitenganisha na Ukristo. Msidhani watu ni wajinga!

Maaskofu walitaka HAYO? Ni MAASKOFU wa DINI GANI ya KIKRISTO? na walitaka MKRISTO GANI awe RAIS na ILIKUWA WAKATI wa UCHAGUZI GANI wa URAIS?

Kama walifanya hivyo well lazima tuwaulize... POINT BLANK; MR. TRUTH MATTERS tafadhani tupe more info!!!!
 
Unajifanya ushasahau waraka wa uchaguzi 2010? Hadi wakafikia kiwango cha kuanza kupingana na mafundisho yao kudai tusimwangalie mtu kwa matendo yake bali tuangalie nini anasema. Wakati kwenye biblia inapingana na hayo matendo na maneno ndio symbol of someone who is accountable and good leader. Tupisheni bwana mshasahau humu JF mlikuwa mkisema hamtakaa mumchague tena rais mwenye kuvaa kibarakashia???? Kama udini ulianzia toka zamani ndugu zetu wakristo nyie ni wadini ila mkiona mwengine anafanya kinawauma swali ni nani alianzisha? Jibu mnalo.
 
Sasa walisema hivyo ndio WADINI? Ina Maana hakuna MKRISTO aliyempigia kura Rais KIKWETE? Tatizo ni Maneno ya LIPUMBA anayoongea hajui kuyasupport; How comes Waislamu ni Raia Daraja la NNE? wakati yeye kasoma MPAKA Ph.D ilikuwaje? na alikwenda kusoma the best school in the world STANFORD

Na alifanya kazi Makampuni Makubwa Duniani; Hajawahi kufanya kazi ARABUNI hata kidogo; sasa hapo ni kwanini anasema Waislamu ni Raia Daraja la Nne?
 
Swali ni why Lipumba? Kwanini hamkuanza kuwalalamikia maaskofu walipotoa waraka wao? Umejuaje pengine Lipumba anazungumza with statistics. Unajua kuwa daraja la nne au kwa jina lengine second class citizen kukoje? Tembelea maofisini serikalini utaona kwanini Lipumba anasema mwislamu ni second class citizen in his/her own country. Waislamu ni wafagizi, wafanyakazi frontline huku ndugu zetu wakristo ndio viongozi. Nafasi za uongozi unakuta waislamu ni less than 20% or even 10% ya viongozi wote. Na akikaa mwislamu basi kelele kibao maana mnajua mliyoyafanya mkiwa nyie viongozi. Tanzania udini upo sana kama hujui na siamini Lipumba haongei tu kama darasa la saba anazo statistics sahihi mfuate kamuulize atakupatia.

Tuwe objectives kama tunataka equality tujiangalie kwanza tunafanya nini ndio tutaweza kuondoa udini nchini vyenginevyo tunazidi kuharibu kadiri siku zinavyoenda mbele
 
Ya Lipumba mwachieni Lipumba na dini yake....Chama chake kina falsafa ya haki sawa kwa wote.....yaweza kuwa kundi kubwa la watu wanaokosa haki yao ni waislamu hivyo sio mbaya akiwatetea kupata haki.....!
Cha msingi ni kuangalia amefanya nini na kwa nini na sio kaongea na akina nani basi tukaishia hapo kufikiri!
 
Swali ni why Lipumba? Kwanini hamkuanza kuwalalamikia maaskofu walipotoa waraka wao? Umejuaje pengine Lipumba anazungumza with statistics. Unajua kuwa daraja la nne au kwa jina lengine second class citizen kukoje? Tembelea maofisini serikalini utaona kwanini Lipumba anasema mwislamu ni second class citizen in his/her own country. Waislamu ni wafagizi, wafanyakazi frontline huku ndugu zetu wakristo ndio viongozi. Nafasi za uongozi unakuta waislamu ni less than 20% or even 10% ya viongozi wote. Na akikaa mwislamu basi kelele kibao maana mnajua mliyoyafanya mkiwa nyie viongozi. Tanzania udini upo sana kama hujui na siamini Lipumba haongei tu kama darasa la saba anazo statistics sahihi mfuate kamuulize atakupatia.

Tuwe objectives kama tunataka equality tujiangalie kwanza tunafanya nini ndio tutaweza kuondoa udini nchini vyenginevyo tunazidi kuharibu kadiri siku zinavyoenda mbele

Sasa hapo kuwa MFAGIZI; Msafisha OFISI... ni MTANZANIA MKRISTO ndio kasababisha hayo? Ndio kasababisha huyo MFAGIZI asiendelee Darasa la Saba? ndio huyo MTANZANIA MKRISTO ndio aliyeleta inequality ? Kweli leo hii baada ya miaka 50 ya UHURU ndio unamletea Malalamiko?

Sasa unataka yeye akae pembeni akusubiri wewe upate elimu uendelee yeye akae tu bila Maendeleo? kama vile ilikuwa ni kosa lake? why incriminating him? was that his fault?
 
Chondechonde, hizo dini zenu zisisababishe watu kukatana mapanga tu! MAANA DINI NI CHANZO KINACHOONGOZA KWA MIGOGORO, UGAIDI NA MAUWAJI YA KUTISHA TOKA ZAMA!
 
Godwinnko,
Habari haina yako source yake, mbili kuweka wazi mambo kama haya ni kutengeneza utengano wa kiimani kwani sasa wakristo wengi wanaamini chadema ni chama chao cha kidini kiasi hawapo tayari kuacha kuunga mkono Ccm au cuf kwa mrengo wa kidini. Si vyema kuexpose mambo ya aina hii ni njia mojawapo ya kuwaaminisha waumini wa dini flani kuwa wao ni chama flani. Watu kusema chadema ni cha wakristo au cuf ni cha waislamu hatuvishushi hadhi vyama hivi bali ndio kwanza waumini wa dini hizo watavipenda zaidi. Cc Paw na moderators wengine wa jukwaa angalieni hii post inahadhi ya kukaa hapa?
Maoni yangu tu.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom