Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Habari zenu wapendwa,
Kama kawa kama dawa Kasie is on board, yaani acha tuu niwasimulie na mnisikilize.
Haina mashiko saana ila ndo beats za Kasinde.
Leo bana mida ya lunch nilienda ofisi fulani hivi kupata huduma sasa tukiwa kwenye foleni mtu wa mbele yangu alikuwa kijana mdogo tuu, mdogo kwangu kwa makadirio ya haraka nimemzidi kama 10 to 15 yrs.
Huyu kijana alinifanya nizubae na sikutaka foleni iende, midomo yake uwiiii mizurii yaani nilikuwa naiwaza tu.
Mbaya zaidi akawa anaongea na simu akicheka sasa midomo inanihorojesha, sikuwahi kuwaza kama naweza izimikia midomo ya mtu ila leo nime proof.
Yeye kama yeye simpendi ila midomo.
I love kissing Kasinde mie