Lipi sahihi?

mwayego, huhitaji kuwa na mtu yeyote wala kitu chochote ili kufurahia maisha. kama maumivu yanazidi vua gamba, punga upepo! ila piga hesabu zako sawasawa,usikurupuke! mi nachukia zile za nenda-rudi,ukitoka toka jumla jumla!
Kuwa single ama kuendelea kuvumilia maumivu ambyo hujui yanisha lini?
 
Kuwa single ama kuendelea kuvumilia maumivu ambyo hujui yanisha lini?

Labda kama unataka kutenganisha MAISHA na MATATIZO . . .
Lakin fahamu hakuna maisha yasiyokuwa na matatizo.
Cha kufanya, fahamu mapungufu na matatizo ya pande zote mbili then angalia matatizo ya upande upi unaweza kuyakabili kuliko ya upande mwingine
 
kwani wewe una umri gani? Kama bado kijana temana na anaekuumiza, kaa hadi utakapoona tena raha ya malavidavi na jitahidi kuvizingatia vigezo muhimu ulivyojiwekea.
 
nimevumilia vya kutosha jamani nahsi naweza kupata ugonjwa wa moyo bure,lakin NAMPENDAtena sna,sasa silelewi coz pia natamani maisha yangu yawe n yenye amani ..................................I DONT KNOW
 
Tengeneza kwa huyo unaepata nae tabu mkiwa wote. unadhani yeye anafurahia?
 
nimevumilia vya kutosha jamani nahsi naweza kupata ugonjwa wa moyo bure,lakin NAMPENDAtena sna,sasa silelewi coz pia natamani maisha yangu yawe n yenye amani ..................................I DONT KNOW
Tueleze kwanza kilichokusibu au kinachokusibu ili wanaJF wafahamu waanzie wapi kukushauri...enhee lete maneno
 
Cjui kama naweza kuvumilia mateso ya mapenzi. Bora kuwa single. Kuwa single kuna raha zake.
 
nimevumilia vya kutosha jamani nahsi naweza kupata ugonjwa wa moyo bure,lakin NAMPENDAtena sna,sasa silelewi coz pia natamani maisha yangu yawe n yenye amani ..................................I DONT KNOW
Kama wewe unampenda sana, huwezi kumuacha na hapohapo anakutesa basi itabidi uizoee shida uine kama ndo raha kiasi kwamba siku ukipata raha we ndo uone ka shida.
 
nimevumilia vya kutosha jamani nahsi naweza kupata ugonjwa wa moyo bure,lakin NAMPENDAtena sna,sasa silelewi coz pia natamani maisha yangu yawe n yenye amani ..................................I DONT KNOW
Hakuna atakaejua thamani ya maisha yako kama we mwenyewe huijui. Furaha itafute we mwenyewe na wala usitegemee mtu mwingine aje akuletee furaha katika maisha yako. Ok, unatamani maisha yako yawe ni ya amani at the same time uliyenae anakukosesha amani, then what are u waiting for? Ugonjwa wa moyo au??? Usijiendekeze my dear kupenda hujaanza wewe!! Labda ngoja nikuulize swali, are u married?
 
da am not marriage ma dear,just in a relationship,nampenda kwa dhati,na kila nikifikiria ishu ya kuanza uhusiano mpya naumia sana na sitaki coz its a long process,na sitaki kuanza mahusiano mengine,lakini naumia sana
 
Back
Top Bottom