Mwamvuli, mwanvuli na mwavuli lipi sahihi?

Mwamvuli, mwanvuli na mwavuli lipi sahihi?

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,714
Ukiambiwa utaje neno sahihi la Kiswahili, ungechagua lipi?

A. Mwavuli
B. Mwamvuli
C. Mwanvuli

Wengi hulitamka kwa kujiamini, lakini si wote huandika kwa usahihi. Wewe una uhakika na jibu lako?
 
Back
Top Bottom