Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,667
mmmh...inakuwa ngumu kidogo hasa kwakuwa umeficha tatizo. Ila kwa ushauri wangu, kama una uhakika na mapenzi yake basi endelea kuvumilia ila tu endapo kuna uhakika pia wa kusurvive kwa hiyo relationship yenu, lakini kama mapenzi yake kwako ni ya kusuasua na hauna uhakika nayo....ndugu yangu ni bora tu kujiengua mapema kuliko kupoteza muda! Sioni umuhimu wowote wa kuwa kwenye relationship yenye karaha na maumivu ya kila siku, endapo mtu unaempenda ye hakujali, hakuthamini na wala hajui thamani ya penzi lenu. Embu fikiria unaumwa, umeenda dukani kununua dawa ukakuta hazipo au zimeexpire kwenye hilo duka ambalo unalitaka wewe lakini kwenye maduka mengine zipo tena salama salmini wala hazina dosari yeyote, jiulize je utaacha kwenda kwenye maduka mengine eti kisa ni mbali na hujayazoea?? Ukikubali zilizo expire madhara yake ndo hayo ugonjwa mara 100 inakuwa ni bora hata ungerudi nyumbani ukanywa muarobaini ukatibu na magonjwa mengine ambayo ulikuwa hujayagundua mapema!!da am not marriage ma dear,just in a relationship,nampenda kwa dhati,na kila nikifikiria ishu ya kuanza uhusiano mpya naumia sana na sitaki coz its a long process,na sitaki kuanza mahusiano mengine,lakini naumia sana