Lipi jiji zuri kati ya Mbeya na Tanga?

Lipi jiji zuri kati ya Mbeya na Tanga?

Kati ya jiji la tanga na mbeya lipi kali kimazingira,sehemu za starehe,miundombinu shortly kila kitu
uzuri wa nini mkuu? kwa majengo Tanga ni kuzuri na kumepangika zaidi. ila kwa tabia, mbeya kuna waabudu Mungu sana wakati Tanga kuna mashoga na wanawake wanaotoa nyuma wengi kuliko mbeya. uchafu mwingi umejaa Tanga unaohusiana na uzinzi wa sodoma na gomora.
 
*Uzuri upi maana Tanga umepangiliwa sawa lakini umechoka hakuna hela viwanda vilivyoutegemeza vishakufa imebaki bandari tu na machungwa ya Muheza WAKATI Mbeya una fursa za kifedha nyingi.
*Vyuo Vikuu: Tanga ina matawi machache mno ya vyuo vikuu WAKATI Mbeya ina karibia 70% ya matawi ya vyuo vikuu nchini
*Uwanja wa ndege Mkubwa: Mbeya upo WAKATI Tanga holaa
* Hotels Mbeya ni nyingi,Tanga za kuhesabu
*Uwingi wa Fursa za kiuchumi Mbeya fursa ni nyingi kuliko Tanga
*Kipato: Kwa mtazamo wa kipato kwa raia wa kawaida Tanga watanzania wa chini wanaishi maisha duni haswa ni tofauti sana na Mbeya,
*Barabara 13 Mbeya pia zipo japo sio kumi na tatu zinafika 10+ zipo Sokomatola kuanzia pale juu Rufaa hadi chini kule kama ilivyo Tanga.
*Si kweli kwamba Mbeya haujapangiliwa nadhani imepangiliwa sana kuliko Tanga Mbeya Forest area yote mpya na zamani imepangiliwa,Uzunguni,Iwambi newer residential area,Jakaranda,Majengo area,Isyesye bondeni,Block Q&T,Sae area,RRM,Sokomatola huko kote kumepangiliwa vizuri tu sasa Tanga zile barabara 13 eti ndo mpangilio majengo toka ayaache mkoloni!
*Mzunguko wa watu Mbeya ni mkubwa mno kuliko Tanga,Mbeya inahudumia Highland zone yote,Ir,Njmb,Sngw, neighbouring Zambia,DRC,Malawi wote Mbeya WAKATI Tanga sanasana wawili watatu kutoka Mombasa na wapemba wa unguja.

Aisee acha kabisa kufananisha Mbeya na vitu vya kijinga...Hata fastjet wala Pangaboi hazitui huko nalo Jiji ebooh! Tuombe radhi waMbeya
 
uzuri wa nini mkuu? kwa majengo Tanga ni kuzuri na kumepangika zaidi. ila kwa tabia, mbeya kuna waabudu Mungu sana wakati Tanga kuna mashoga na wanawake wanaotoa nyuma wengi kuliko mbeya. uchafu mwingi umejaa Tanga unaohusiana na uzinzi wa sodoma na gomora.
Tuangalia miundombinu hatuangalii tabia za watu wawe wapagani hiyo ni juu yao
 
Kiukubwa wa mji na idadi ya watu mbeya ni kubwa lakini kwa mpangilio wa mji mbeya ni mji uliopangiliwa hovyo mno. Angalia mitaa kama ya mabatini, nzovwe, simike, isanga, makunguru, majengo, nk imekaa hovyo mno. Mbeya ipo kimpangilio kidogo block T, new forest, iwambi na Sae. Ukija tanga utaona wakoloni walishachora ramani mapema na mji umepangiliwa vizuri. Raskazone, mikanjuni, majani mapana nk ipo vizuri ukitoa mitaa kama magomeni ambayo haijakaa vizuri japo sio kama simike mbeya.


Usisahau pia Dar ,kuna Tandika, Buguruni, Manzese , Kiwalani , n.k kama ndo kigezo
 
Tanga imepangwa vizuri ila kwa starehe na viwanja vya kujidai, mji kuchangamka Mbeya ipo juu zaidi ya Tanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom