Lipi jiji zuri kati ya Mbeya na Tanga?

Kiukubwa wa mji na idadi ya watu mbeya ni kubwa lakini kwa mpangilio wa mji mbeya ni mji uliopangiliwa hovyo mno. Angalia mitaa kama ya mabatini, nzovwe, simike, isanga, makunguru, majengo, nk imekaa hovyo mno. Mbeya ipo kimpangilio kidogo block T, new forest, iwambi na Sae. Ukija tanga utaona wakoloni walishachora ramani mapema na mji umepangiliwa vizuri. Raskazone, mikanjuni, majani mapana nk ipo vizuri ukitoa mitaa kama magomeni ambayo haijakaa vizuri japo sio kama simike mbeya.
 
Back
Top Bottom