Lipi bora, kujua au kutojua?

Lipi bora, kujua au kutojua?

Maradhi hukabiliwa vizuri kabla hayajakomaa.

Wewe niambie tuuu ili kama wamerogea kigoma mi nikategulie Tanga na Sumbawanga kwa mpigo!
 
"Nidanganye danganye tuu, nikijua ukweli nitaumia, si unajua kwako sijiwezi me siwezi nitaliaa"
 
Mwisho wa michepuko uwa ni vifo, maradhi ,familia kutelekezwa na kusambaratika.
Muombe Mungu akupe mume mwema.
 
Yaani tunawasemaga watu tu, ila humu wenye kuziamini imani za giza ni wengi sana.
Kuna msemo wa unasema IF YOU DON'T KNOW IT DOESN'T EXIST.
Ni bora kufanya ufukunyuku mwenyewe kuliko kuambiwa , maneno ya kuambiwa hayana mzani kwangu na huwa uzushi mwingiiii na malengo tofauti.
Siwezi kujua kilimo moyoni na aliwazalo mnyetishaji.
 
Mkuu achana na habari ya uzushi....mi nazungumzia hapa habari ile ambayo ni ya ukweli....suppose unaletewa taarifa na unafanya uchunguzi unagundua ni kweli
 
Mkuu achana na habari ya uzushi....mi nazungumzia hapa habari ile ambayo ni ya ukweli....suppose unaletewa taarifa na unafanya uchunguzi unagundua ni kweli

Uzushi nao unaanziaga hivyo hivyo kwa kuambiwa...... Unachunguza mwishowe unagundua ni uzushi.
If I don't know it doesn't exist , don't spoil my beautiful moments.
Hayo unayoyaona ni ya ukweli maadamu ni mpnz wangu nitajua tu hata bila wewe kuniambia.
 
Kuna kistori Fulani hivi kinafanana na hii mada kidogo ingawa kime-base kenywe hasara za kujua udhaifu, mshikaji alikuwa design hii…jioni anawahi kurudi, hana makundi yeye kazini nyumbani, nyumbani mazoezi… jogging two hours huyu hapa karudi. Hata bar haendi. Mkewe very innocent anamwanmini jamaa balaa.. Sikuhiyo kapata bonus kazini… akaamua kumpa mume surprise kamtoa out…dinner

Huko sasa ndio yakafumuka ya kufumumka baada ya kufika waitress kaja na heinken baridi kaweka kwa mume, then akamnong’oneza jamaa anataka chumba kikile au leo atabadili? Mama anangalia tu mchezo macho hayaamini anachokiona na kusikia. Mama pressure ikaanza kumpanda akauliza kulikoni mbona hivyo …jamaa ooh ni mfanyakazi mwenzangu hapa yuko part time ananitania…

Akaona isiwe tabu..akachuna kidogo manager wa hotel huyu hapa nae kafika kwa jamaa..baada ya salam nae kampiga mshikaji kiswali cha utani.. leo mkuu umekuja kivingine mkuu huna track suit….. hapo ndio mke kengere ya hatari ikagonga.

Akaamua dinner iishie hapo akanyanyuka kwa mwendo wa haraka mpaka kwenye taxi hataki hata kupanda gari yao, kaingia kwenye taxi kafunga mlango kwa nguvu. Jamaa nae yuko nyuma.. kuisogelea gari mama akamuamuru dereva kuondoa gari haraka, kumbe na dereva wa taxi anamfahamu jamaa …nae akachombeza lake kwa kumtaja jamaa jina.. akasema ....huyu changu wa leo mkorofi sana mkuu nenda nae tu asije niharibia gari… mama akazimia hapo hapo..

CC mamaafacebook, miss neddy MankaM

Bado najiuliza anachepuka muda gani ambao huwa kavaa tracksuit??
 
Last edited by a moderator:
Bado najiuliza anachepuka muda gani ambao huwa kavaa tracksuit??

Ule muda wa mazoezi...yale masaa mawili anayatumia effectively... Anarudi nyumbani na mijasho unajua mazoezi kumbe mijasho ya kugegeda...mxiiiiuuuuu....
 
Ule muda wa mazoezi...yale masaa mawili anayatumia effectively... Anarudi nyumbani na mijasho unajua mazoezi kumbe mijasho ya kugegeda...mxiiiiuuuuu....

mmmmhhh mwanaume mchafuzu huyo daaaa..
 
Vichaa wana alama usoni??? My dia haya mambo magumu acha tu...utakutana na Eli79 hapa (ni mfano tu) utasema mwanaume si ndo huyu...??!!! Subiri siku ujue mambo yako utajutraaa kumfahamu

ha ha ha ha...! sikuiona hii...lol
 
Back
Top Bottom