mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,025
aiseee mimi bora nisijue mana kamoyo kangu ni kadogooooooo mnoooooo nikijua naweza kufa yani...
you are genius
aiseee mimi bora nisijue mana kamoyo kangu ni kadogooooooo mnoooooo nikijua naweza kufa yani...
Kama kuna Wanaume hawachepuki basi hawazidi 20 TZ nzima , Binafsi nimeshuhudia hadi Wachungaji wanachepuka ! hata kumshika Mwanamke mwingine ---- Ofisini ni kuchepuka ! na hayo tunayashuhudia kila siku , Kama Mwanaume anakuheshimu basi yatosha upekupeku na kuletewa habari sitaki , labda nijue mwenyewe