Lipi bora, kujua au kutojua?

Lipi bora, kujua au kutojua?

Me napenda nijue na uchunguz nafanyaga mwenyewe na nikijuaga nabaki nayo mwenyewe ctak ndugu wala rafiki ajue. Halaf me mungu tu aniepushie yan nina hasirs mbaya sana nikiuziwa ncje nikambamiza ukutan yakatokea ya kanumba

Aiseee we ndo una hatari kweli....mi hasira zangu kuongea tu....natema vocal kama una akili timamu lazima utie akili...
 
Sikatai kujua, nakataa kujiweka roho juu

Mradi hajanipa sababu ya kuhisi anacheat, huduma zangu napata 110%, mahaba yakutosha.... kwa kweli hakuna haja ya kuumiza kichwa

Maisha yenyewe haya mafupi

(Na nilishatangaza ole wake nijue.....akili yangu yenyewe hii naijua mwenyewe)

Ila kama mume hajakupa sababu ya kumwazia mabaya kwa nini ujitese???? Na hakuna kitu kizuri kama kumjua mumeo ni mtu wa aina gani!!!!

Kuna wanaume akichepuka mke lazima ujifanyie tathmini ya kutosha...

Kuna mwanaume asipochepuka unaanza kumchunguza, huyu mgonjwa? Ana tatizo gani mbona katulizana

Kuna wale wasiotabirika huku wapo kule wapo ila mwendo wao ado ado

Ungejua safari moja uanzisha nyingine...ungekuwa upande wa kujua...
What if alikuwa na mpango wa kupita tu...
Ila kwa kuwa wewe umezubaa...na huko apitako kang'ang'aniwa unampoteza mazima...

Na kujua utajua tu whether you like it or not ni matter of time...akinogewa ataanza kuchelewa kurudi nyumbani na kuna siku ataanza kulala nje...

ha ha ha...nambie tu nijue nini cha kufanya...inawezekana bado kunogewa...nikichelewa ndio inakuwa nitolee hiyo nije sikia mume ana familia nyingine mtaa fulani...inahuuu...

Na ndoa nyingi zilizovunjika na zile wanaume wameama familia ni za hao wasotaka kujua ukweli...ha ha ha...nataka kujua position yangu mwaya...kama penzi limechuja nijua nini cha kufanya....kama ni tamaa tu nijue nini pia cha kufanya...nambie tuuuu

Ni wanaume wachache saaana wanaoamua wenyewe kuacha kuchepuka...wengi ni mpaka wagundulike...maana na huko nje wanagandwa ujue; akisema mi basi mke wangu asije jua bibie anaangua kilio...atamwacha????..Hapo shukuru Mungu huyo bibie asiwe desperate kiasi cha kutumia sangoma...nambie bana...

Hawa wanaume wahamaji hawa....
Ukiacha wale wa kushikiwa akili, wengine toka kipindi cha kudate wanaonekana macho juu juu....mara nyingi wakipata penzi jipya la zamani linawekwa pending kwanza...hawa hata ufanyaje ndio hulka yao....wengine hajaoa watoto kila kona akioa wala mke asishangae.....

Anyway

Ni muhimu kwa Wanawake kuwajua waume zao, kuepuka suprise na kujikuta wanaishia na sheli, bp, total na kagera sugar
 
My dear men will always be men...

Huo moyo wako fanya utaratibu uushike mwenyewe....

Siku zote kwa wanaume kuna vichance vya kucheat (sisemi kuwa wako anacheat la) point yangu ni kuwa inapokuja kwa swala la binadamu, haswa wa kiume tarajia lolote

Usije ukagundua ukaishia ku-rip halafu mchepuko ukapanda cheo

Expect the unexpected. ...

Sitaki hata kujua usiniambie maana moyo wangu kanishikia yeye, nikipiga simu nikisikia kale ka massage haipatani kwa sasa loh, ile sautiikianza nivaibrate mpaka nijue sio mwanamke nahema kwa nguvu. Sijui kwa nini hawatengenezi na sauti za kiume ili kuwe na option ya kuchagua itumike ipi maana mood hupotea kwa wengine.
 
My dear men will always be men...

Huo moyo wako fanya utaratibu uushike mwenyewe....

Siku zote kwa wanaume kuna vichance vya kucheat (sisemi kuwa wako anacheat la) point yangu ni kuwa inapokuja kwa swala la binadamu, haswa wa kiume tarajia lolote

Usije ukagundua ukaishia ku-rip halafu mchepuko ukapanda cheo

Expect the unexpected. ...

Hahahaaaa nimecheka eti fanya utaratibu uushike mwenyewe.....hiyo ni involuntary action atii...
 
ukimwona mwanao anachepuka mama mkwe we niambie. maana ukinyamaza afu siku nikigundua ulikuwa unajua muda mrefu afu ukapiga kimya nitakuja kukuona mbaya zaidi..
muhimu tutibu tatizo kabla halijakomaa..
 
Mmmh mwanangu ntadeal nae mwenyewe nimlete kwako tena....??
 
ha ha ha...
Moyo lazima ujishikie mwenyewe bana...
Taratibu atajifunza tu jinsi ya kujishikia...mwanzo mgumu...
Sote tumetokea huko huko...

Sasa hivi hakuna wa kunishika akili wala moyo...vyote nimeweka kibindoni...

My dear men will always be men...

Huo moyo wako fanya utaratibu uushike mwenyewe....

Siku zote kwa wanaume kuna vichance vya kucheat (sisemi kuwa wako anacheat la) point yangu ni kuwa inapokuja kwa swala la binadamu, haswa wa kiume tarajia lolote

Usije ukagundua ukaishia ku-rip halafu mchepuko ukapanda cheo

Expect the unexpected. ...
 
Tatizo mpaka uje kuona manyoya (dalili) keshaliwa huyo...
Akipatikana volunteer wa kunambia kuku wako anashinda nyumba ile palee ni kushukuru maana ntawai kabla ya kuambulia manyoya...

Sikatai kujua, nakataa kujiweka roho juu

Mradi hajanipa sababu ya kuhisi anacheat, huduma zangu napata 110%, mahaba yakutosha.... kwa kweli hakuna haja ya kuumiza kichwa

Maisha yenyewe haya mafupi

(Na nilishatangaza ole wake nijue.....akili yangu yenyewe hii naijua mwenyewe)

Ila kama mume hajakupa sababu ya kumwazia mabaya kwa nini ujitese???? Na hakuna kitu kizuri kama kumjua mumeo ni mtu wa aina gani!!!!

Kuna wanaume akichepuka mke lazima ujifanyie tathmini ya kutosha...

Kuna mwanaume asipochepuka unaanza kumchunguza, huyu mgonjwa? Ana tatizo gani mbona katulizana

Kuna wale wasiotabirika huku wapo kule wapo ila mwendo wao ado ado

Hawa wanaume wahamaji hawa....
Ukiacha wale wa kushikiwa akili, wengine toka kipindi cha kudate wanaonekana macho juu juu....mara nyingi wakipata penzi jipya la zamani linawekwa pending kwanza...hawa hata ufanyaje ndio hulka yao....wengine hajaoa watoto kila kona akioa wala mke asishangae.....

Anyway

Ni muhimu kwa Wanawake kuwajua waume zao, kuepuka suprise na kujikuta wanaishia na sheli, bp, total na kagera sugar
 
My dear men will always be men...

Huo moyo wako fanya utaratibu uushike mwenyewe....

Siku zote kwa wanaume kuna vichance vya kucheat (sisemi kuwa wako anacheat la) point yangu ni kuwa inapokuja kwa swala la binadamu, haswa wa kiume tarajia lolote

Usije ukagundua ukaishia ku-rip halafu mchepuko ukapanda cheo

Expect the unexpected. ...

hata hivyo wanaume wanachepuka wakiwa na wanawake... wote wale wale...
 
Kujua ni muhimu bana mimi naona mata buku nijue tena itapendeza kweli kama ntakua na mwandishi wangu wa habar ananipa umbea
 
Kuna kistori Fulani hivi kinafanana na hii mada kidogo ingawa kime-base kenywe hasara za kujua udhaifu, mshikaji alikuwa design hii…jioni anawahi kurudi, hana makundi yeye kazini nyumbani, nyumbani mazoezi… jogging two hours huyu hapa karudi. Hata bar haendi. Mkewe very innocent anamwanmini jamaa balaa.. Sikuhiyo kapata bonus kazini… akaamua kumpa mume surprise kamtoa out…dinner

Huko sasa ndio yakafumuka ya kufumumka baada ya kufika waitress kaja na heinken baridi kaweka kwa mume, then akamnong'oneza jamaa anataka chumba kikile au leo atabadili? Mama anangalia tu mchezo macho hayaamini anachokiona na kusikia. Mama pressure ikaanza kumpanda akauliza kulikoni mbona hivyo …jamaa ooh ni mfanyakazi mwenzangu hapa yuko part time ananitania…

Akaona isiwe tabu..akachuna kidogo manager wa hotel huyu hapa nae kafika kwa jamaa..baada ya salam nae kampiga mshikaji kiswali cha utani.. leo mkuu umekuja kivingine mkuu huna track suit….. hapo ndio mke kengere ya hatari ikagonga.

Akaamua dinner iishie hapo akanyanyuka kwa mwendo wa haraka mpaka kwenye taxi hataki hata kupanda gari yao, kaingia kwenye taxi kafunga mlango kwa nguvu. Jamaa nae yuko nyuma.. kuisogelea gari mama akamuamuru dereva kuondoa gari haraka, kumbe na dereva wa taxi anamfahamu jamaa …nae akachombeza lake kwa kumtaja jamaa jina.. akasema ....huyu changu wa leo mkorofi sana mkuu nenda nae tu asije niharibia gari… mama akazimia hapo hapo..

CC mamaafacebook, miss neddy MankaM
Sawa...lakini pia anaweza kubadilika katikati ya safari akaanza michepuko
 
Last edited by a moderator:
1. what u dnt know never hurts.
2. ukiambiwa kitu au kuona kitu fanya uchunguzi upate ushahidi wa kutosha kabla ya kufanya maamuzi.
3. swala la kuchepuka ni vizuri kulijua ili ujue unakabiliana nalo vipi coz magonjwa ni mengi.
 
Kuna kistori Fulani hivi kinafanana na hii mada kidogo ingawa kime-base kenywe hasara za kujua udhaifu, mshikaji alikuwa design hii…jioni anawahi kurudi, hana makundi yeye kazini nyumbani, nyumbani mazoezi… jogging two hours huyu hapa karudi. Hata bar haendi. Mkewe very innocent anamwanmini jamaa balaa.. Sikuhiyo kapata bonus kazini… akaamua kumpa mume surprise kamtoa out…dinner

Huko sasa ndio yakafumuka ya kufumumka baada ya kufika waitress kaja na heinken baridi kaweka kwa mume, then akamnong’oneza jamaa anataka chumba kikile au leo atabadili? Mama anangalia tu mchezo macho hayaamini anachokiona na kusikia. Mama pressure ikaanza kumpanda akauliza kulikoni mbona hivyo …jamaa ooh ni mfanyakazi mwenzangu hapa yuko part time ananitania…

Akaona isiwe tabu..akachuna kidogo manager wa hotel huyu hapa nae kafika kwa jamaa..baada ya salam nae kampiga mshikaji kiswali cha utani.. leo mkuu umekuja kivingine mkuu huna track suit….. hapo ndio mke kengere ya hatari ikagonga.

Akaamua dinner iishie hapo akanyanyuka kwa mwendo wa haraka mpaka kwenye taxi hataki hata kupanda gari yao, kaingia kwenye taxi kafunga mlango kwa nguvu. Jamaa nae yuko nyuma.. kuisogelea gari mama akamuamuru dereva kuondoa gari haraka, kumbe na dereva wa taxi anamfahamu jamaa …nae akachombeza lake kwa kumtaja jamaa jina.. akasema ....huyu changu wa leo mkorofi sana mkuu nenda nae tu asije niharibia gari… mama akazimia hapo hapo..

CC mamaafacebook, miss neddy MankaM

Hahahaaa aisee anachepuka responsibly wanasema....
 
Last edited by a moderator:
1. what u dnt know never hurts.
2. ukiambiwa kitu au kuona kitu fanya uchunguzi upate ushahidi wa kutosha kabla ya kufanya maamuzi.
3. swala la kuchepuka ni vizuri kulijua ili ujue unakabiliana nalo vipi coz magonjwa ni mengi.

Mambo haya kupata ushahidi ni ngumu lin
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: lin
Back
Top Bottom