Lipi bora, kujua au kutojua?

Lipi bora, kujua au kutojua?

Nambie tu...ukweli siku zote unaweka mtu huru...siyo niishi kwa matumaini kumbe watu wananiona zoba...
 
Vichaa wana alama usoni??? My dia haya mambo magumu acha tu...utakutana na Eli79 hapa (ni mfano tu) utasema mwanaume si ndo huyu...??!!! Subiri siku ujue mambo yako utajutraaa kumfahamu

nyota njema huonekana asubuhi....I hope as mnavoendelea na mahusiano lazima utagundua tabia na baadhi ya mambo yake mengine.......
 
Last edited by a moderator:
Niambie ukweli ili nijuee nakosea wapii .ilii asije niletea magonjwa hvyo niambie tu bhana mkeo anamichepuko
 
nyota njema huonekana asubuhi....I hope as mnavoendelea na mahusiano lazima utagundua tabia na baadhi ya mambo yake mengine.......

Sawa...lakini pia anaweza kubadilika katikati ya safari akaanza michepuko
 
mimi kwangu sawa tuu uniambie au usiniambie ila kama utaniambia ni faida kwangu bcz naweza okoa ndoa yangu ila hasara ni kwamba at the time naokoa hiyo ndoa itakua hakuna amani na kumuamini tena itakua ngumu ila kama utaona huwezi kuniambia naomba umkanye yeye but honest mimi ilinitokea ila wakati naambiwa hizo taarifa it was too late nilikua naona hali isio ya kawaida kwa mchumba wangu believe me mwanaume anaerogwa hajijui ila wewe mchumba wake au mke wake unajua nilikua nikimtazama mpnz wangu alikua sie mwanaume nilie mjua miaka mingi nyuma alikua amesahau kila kitu kilichotokea nyuma hata nikimkumbusha ananiuliza so what hakutaka hata kuniona nilikua nakazana na maombi tuu hadi sasa tuyaache hayo but hope nimejibu swali lako maana ni heri anaetendwa akajua dunia yetu imeharibika kuna uchawi na maradhi my dear
 
Aisee

Mie nilishatangaza kwenye jamhuri yangu

Kama umeamua kucheat nisijue....maana akili zangu anazielewa aisee...........................!!!!!

Ila kama unapata yote hadi ya ziada..... na wala hujahisi wala kukuta ushahidi kuwa anacheat...presha za nini???
 
Duuuh kwa hiyo wewe kama usingeambiwa hata uhai wa mtu ungeweza kupotea....
 
Aisee

Mie nilishatangaza kwenye jamhuri yangu

Kama umeamua kucheat nisijue....maana akili zangu anazielewa aisee...........................!!!!!

Ila kama unapata yote hadi ya ziada..... na wala hujahisi wala kukuta ushahidi kuwa anacheat...presha za nini???

Hahahaaa I hope akili zako haziko kama zangu lol
 
My dear mambo mengine ukiyaendekeza sana utashindwa kuishi maisha yako kwa furaha.... utajikaribishia sheli, bp, total, mtibwa sugar na kagera sugar buuuuuuure
 
Wanasemaa ukiona ya mwenzio yakwaka moto............................?
Hata sitataka kujua, ila maradhi tu asiniletee baaaasi
 
Hahahaa kuna mambo ya kuvumilia kwa kweli sio ya kucheat daah
 
Wanasemaa ukiona ya mwenzio yakwaka moto............................?
Hata sitataka kujua, ila maradhi tu asiniletee baaaasi

Na wanaume wasivyokuwa na adabu....anachepuka anazaa na mtoto kabisa....maradhi yatakosekana hapo kweli?
 
Hapo hayatakosekana wallah
hahahha tena ukija shutuka kanzaa nje huko ana watoto kaa timu ya mpira lol
Refa yupo, marizevu, washangiliaji, beki na kocha teh teh majanga haya
Na wanaume wasivyokuwa na adabu....anachepuka anazaa na mtoto kabisa....maradhi yatakosekana hapo kweli?
 
mi napenda kujua tuko wangapi ila taarifa kutoka kwa mtu sipendi. nitafanya ufukunyunyu mwenyewe mpaka nijue
 
Back
Top Bottom