Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,877
- 37,676
Eeeh....haya ngoja nitulie
Cku akijua kupitia mtu mwingine
Na akijua ulikuwa unakua lzm ushost ufe....na utaitwa mnafiki
Eeeh....haya ngoja nitulie
Cku akijua kupitia mtu mwingine
Na akijua ulikuwa unakua lzm ushost ufe....na utaitwa mnafiki
Ukishajua kifuatacho ni nini best...
Sitaki hata kujua usiniambie maana moyo wangu kanishikia yeye, nikipiga simu nikisikia kale ka massage haipatani kwa sasa loh, ile sautiikianza nivaibrate mpaka nijue sio mwanamke nahema kwa nguvu. Sijui kwa nini hawatengenezi na sauti za kiume ili kuwe na option ya kuchagua itumike ipi maana mood hupotea kwa wengine.
aiseee mimi bora nisijue mana kamoyo kangu ni kadogooooooo mnoooooo nikijua naweza kufa yani...
Suppose ni mumeo mkuu...au dini yako inaruhusu talaka
Ndio hapo sasa....rafiki yako anakuja kugundua mumewe anachepuka na mwanamke mliyepanga nyumba moja atakuelewa.?? Haya mambo magum kweli...
Aisee
Mie nilishatangaza kwenye jamhuri yangu
Kama umeamua kucheat nisijue....maana akili zangu anazielewa aisee...........................!!!!!
Ila kama unapata yote hadi ya ziada..... na wala hujahisi wala kukuta ushahidi kuwa anacheat...presha za nini???
Wivu hauzidiani wangu unatesa sana yani mi huwa najishangaa maana viganja huwa vinamwaga jasho balaa mpaka nashindwa kushika chochote, tumbo linajaa gesi linanguruma tu, halafu siwezi kuuliza kitu hata kama naona mazingira hatarishi, naogopa wha if is true am I ready to leave him? Naanza kujiongelesha mengine asinipe excuse ya kwa nini mazingira yawe hivyo.Hahahahaaaa....umenifanya nicheke peke yangu kama chizi walah....hadi sauti ile duuu kama wivu ndo huo bas nakuvika taji wewe maana nlikuwa najiona mi ni hatare kwenye wivu...
Wivu hauzidiani wangu unatesa sana yani mi huwa najishangaa maana viganja huwa vinamwaga jasho balaa mpaka nashindwa kushika chochote, tumbo linajaa gesi linanguruma tu, halafu siwezi kuuliza kitu hata kama naona mazingira hatarishi, naogopa wha if is true am I ready to leave him? Naanza kujiongelesha mengine asinipe excuse ya kwa nini mazingira yawe hivyo.
Kosa lisiloonekana si kosa. Mwalimu wangu mmoja aliwahi kusema kufanya ujanja kwenye mtihani ruksa ila nikikushika utajuta kwanini umeingia na vibomu.....