Kwa Wanaotaka kudownload na kuweka kwenye kompyuta zao.
Kumbuka OS za linux zipo nyingi sana kiasi cha kwamba hatuwezi kuzieleza zote kwa ujumla, ila ambazo ni maarufu sana moja wapo ni Ubuntu, ambayo unaweza kuipata kwenye hii link ifuatayo.
Code:
http://mirror.aptus.co.tz/pub/ubuntu/16.04.2/ubuntu-16.04.2-desktop-amd64.iso
kama hutopendezewa na ubuntu kuna nyingine ambayo ina muonekano flani hivi unaoendana na windows, link yake ni hii hapa,
Code:
http://mirrors.evowise.com/linuxmint/stable/18.1/linuxmint-18.1-cinnamon-64bit.iso
Linux inaweza ikawekwa kwa pamoja na windows OS na data zako zikabaki kama zilivyo na hivyo kuwa na option mbili na kuchagua mojawapo.