Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

Asante mkuu, lkn latex bado inanisumbua
Fuata hatua zifuatazo

1. weka texlive
fungua terminal na uandike code zifuatazo
Code:
sudo apt-get install texlive-full

2. install tex editor zipo nyingi ila ambayo ni common ni texmaker
Code:
sudo apt-get install texmaker

3. unaweza anza kuandika codes zako na kuanza kurun
 
Kwanza mkuu ujue nime install leo hii Ubuntu kwa hiyo kuna vitu vingi sivijui, sijaelewa kwanza hiyo unit yenyewe
Dash ni equivalent ya start menu ya Windows
 
Anytime mkuu,tuko pamoja,je unajua kuwa Ubuntu unaweza kuifanya ionekane kama MAC,.....vilevile jaribu ku-install apache web server ili upate kutest page zako na mambo mengine .....
Dahhh mkuu asante ntafika huko ngoja kwanza nijifunze kidogo kuitumia!!! Lkn umezungumzia apache web server kuna kitu umenikumbusha hapa, ntakutafta unanifafanulie zaidi
 
Fuata hatua zifuatazo

1. weka texlive
fungua terminal na uandike code zifuatazo
Code:
sudo apt-get install texlive-full

2. install tex editor zipo nyingi ila ambayo ni common ni texmaker
Code:
sudo apt-get install texmaker

3. unaweza anza kuandika codes zako na kuanza kurun

Kiongozi nime-run hii code naona inachukua ages ku install
sudo apt-get install texlive-full
 
Hapana ila inaonekana iko kubwa sana,,ina-download kidogo kidogo sana,lakini anyway inawezekana ikawa mtandao wangu uko slow
moja ya faida ya linux softwares zake ndogo hahah 1gb inaweza kutosha kwanzia ku update na ku upgrade alafu nakuweka application softwares tofauti na windows software mzigoooo 😀
 
Hi Team, na piga chini ubuntu yangu na install upya nafuta partition kabisa alafu nita share steps za ku install kabisa kwa wale wasio jua. and note hizi steps kwa jili ya ku install ubuntu peke yake sio pamouja na windows. nita share my partition scheme. nimeona kuna mtu alikua anapata tabu ku install
 
Hi Team, na piga chini ubuntu yangu na install upya nafuta partition kabisa alafu nita share steps za ku install kabisa kwa wale wasio jua. and note hizi steps kwa jili ya ku install ubuntu peke yake sio pamouja na windows. nita share my partition scheme. nimeona kuna mtu alikua anapata tabu ku install
Itakuwa umefanya jambo zuri.
 

SWALI

1. Kati ya Kali Linux, Ubuntu na Linux Mintipi wewe unarecomend kwa mtu ambaye ni beginner katika Linux world but ana idea na networking/Tech issues.?

2. Je hizo commands mlizohighlight hapo juu kwa ajili ya Ubuntu, Je zinafanya kazi katika Kali Linux na other Linux branch OS
 
SWALI

1. Kati ya Kali Linux, Ubuntu na Linux Mintipi wewe unarecomend kwa mtu ambaye ni beginner katika Linux world but ana idea na networking/Tech issues.?

2. Je hizo commands mlizohighlight hapo juu kwa ajili ya Ubuntu, Je zinafanya kazi katika Kali Linux na other Linux branch OS
Kwa beginner Ubuntu au Linux mint ndio inafaa.
Commands zote zinafanya kazi kwenye Linux ambazo zina asili ya Debian ambapo watumiaji ni wengi, kwenye zingine mfano Fedora hubadilika kidogo.
Kwenye network Linux nyingi ni nzuri lakini bado Ubuntu,red hat, Debian ndizo popular.
 
Mkuu mwisho kabisa nimepata message ya
E: unable to locate package codebloacks
Nafanyaje hapo? Hii imetokea pia wakati na install latex
Umekosea kuandika package name. Ni codeblocks

Halafu siipendi hiyo IDE japo ni sababu nina mapenzi binafsi na CodeLite
 
Kwa beginner Ubuntu au Linux mint ndio inafaa.
Commands zote zinafanya kazi kwenye Linux ambazo zina asili ya Debian ambapo watumiaji ni wengi, kwenye zingine mfano Fedora hubadilika kidogo.
Kwenye network Linux nyingi ni nzuri lakini bado Ubuntu,red hat, Debian ndizo popular.

Mkuu kuna swali jingine. Kaika putapita zangu nimekutana na hizi terminologies zikihusiana na Ubuntu.

1. Mythbuntu
2. Kubuntu
3. xubuntu
4. Kylin
5. Lubuntu
6. Ubuntu mate
7. KDE

Unaweza tuelezea hiz terminologies zina maana gani.?
 
Mkuu kuna swali jingine. Kaika putapita zangu nimekutana na hizi terminologies zikihusiana na Ubuntu.

1. Mythbuntu
2. Kubuntu
3. xubuntu
4. Kylin
5. Lubuntu
6. Ubuntu mate
7. KDE

Unaweza tuelezea hiz terminologies zina maana gani.?
KDE, xubuntu, mate hizi ni desktop environments yaani ni ile hali ya muonekano wa desktop ambazo zipo zaina nyingi zikiwemi hizo, page namba 14 nimeeleza kwa picha, kwa hiyo ule muonekano wa desktop uliyo nao unaweza badilisha kama hukupendezwa nayo na kuchagua nyingine.
Hizo zilizobaki ni aina zingine za Linux Os si unafahamu Linux zipo nyingi sana. Yaani hata ww ukiwa vizuri unaweza chukua source code za Ubuntu na ukaanza kumodify na kutengeneza yako na hakuna atakayekushitaki.
 
HAYA NIMERUDI:

JINSI YA KU INSTALL UBUNTU ONLY KWA STEPS (SIO PEMBENI NA WINDOWS UKITAKA YA DUAL BOOT NEXT TIME KAMA MTAITAJI NITAELEZEA).

KABLA YA KUANZA NAOMBA KU SHARE PARTITION SCHEME YANGU JINSI ILIVYO:

PC yangu ina harddisk ya 250GB.
nimeigawa hivi:
  1. 90 GB as (Primary partition) kwajjili ya Operating system yoyote ambayo nitakayo install linux/Windows.
  2. 160 GB as (Extended partition) kwajili ya data zangu na hi una weza kuivunja vunja vi partition vidogo vingi kwa linux ni nyingi saana sikumbuki ina zidi hata kumi na kwenye windows unaweza vunja vunja pia vingi ila si dhani ina zidi linux. Mfano: kwangu nime tengeneza
  • 10GB kwajili ya mambo ya kazini word/excell/presentation
  • 20GB Mambo yangu ya kazi yani deal,mikataba,vi project vidogo vidogo
  • 50GB Mambo yanguTopsecrets ya siri,albums,masomo,tools za ku hack, etc yani yale madude hatari ndo nimeweka huku
  • 30GB huku mambo ya music,images, videos vitu kama hivyo
  • 50GB ilio bakia nimeiweka kama backup ya vitu ambavyo nitakua natupia vyakuazima etc
so ukiangalia kwa mtindo huo juu hapo nime utilize vizuri my hard disk. na faida ya hivyo naweza format vizuri bila kugusa uko kwenye data zangu yani hio extended partition.kama kuna mtu ali lala mika ali install ubuntu akapoteza data zake. ila ukiwa na mpangilio mzuri uto vuruga ukiwa makini.
My PARTITION1.png


MY PARTITION2.png

MFANO WA HIZO PICHA HAPO JUU ZIKO CLEAR.
PICHA YA MY PARTITION3 YA TATU INAONESHA NIME DELETE PARTITION YENYE O.S BILA KUGUSA DATA ZANGU ILI NI INSTALL O.S NYINGINE KAMA NIKIITAJI.
MY PARTITION3.png

SO HAPO NA FREE SPACE HIO UNLOCATED:
Hapo ndo nitaanza jinsi ya ku install ubuntu yetu kwenye hio partition ambayo iko tupu na huku data zetu zile nilio zitaja kwenye extended partition ya 160GB ziki bakia kama zilivyo.

HIZI NDO HATUA ZENYEWE.
  1. UKI CHOMEKA USB YAKO NA KUBOOT KWA USB YAKO UKIFIKIA KWENYE IMAGE 1
    1.jpg
  2. CHAGUA HAPO INSTALL UBUNTU
  3. ITAKULETA KWENYE SCREEN HI HAKIKISHA TICKET ZOTE ZIKO
Ni muhimu iki tick hasa ya internet maana hapo ndo ubuntu ita download zile drivers muhimu pamouja na updates while huku ina install kama una net sio mbaya chagua next tuh.

Screenshot from 2017-04-17 07_55_31.png


4. ITAKULETA HAPA CHAGUA SOMETHING ELSE
4.png


5. ITAKULETA HAPA

5.JPG

HAPO UTAKUTANA NA ILE FREE SPACE YETU:

6. UKI DOUBLE CLICK HAPO ITAKULETA HAPA

6.png


a. Chagua hapo primary
b. hapo new partition size weka kutoka na ram yako na wapa a simple math.
pc yako ikiwa na 2gb kama yangu basi times 2 unapata 4GB so 4G ndo unaweka hapo 4GB ni sawa na 4096MB.
ukiwa na 4G basi time 2 utakua na 8GB utaweka hapo 8GB ifanye kwa MB.yani kwa ufupi swap inapendeza ikiwa times your main memory (ram) ili uweze ku hibernate usipo fanya hivyo linux itakugomea ku hibernate ila sio issue.
c. hapo uses weka swap
d. location weka beging au end haina shida swap inatakiwa iwe mwanzo au mwishoni.
e. malizia okay

7. itakurudisha pale juu kwenye picha 5, alafu utaona kwenye 90GB ukitoa 4GB utaona imebakia nafasi nyingine imeandikwa free space na imepungua so double click tena kwenye free space itakuleta tena hapa.

7.png

a. chagua primary kama kawaida
b.size weka 12000mb ni sawa na 12GB tuh hio kwajili ya root, root inapendeza yani minimum kua na 12GB.hio ina story ndefu ushauri wangu weka hivyo tuh.
c.chagua beginging
d. uses chagua ext4 file system
e. mount point chagua hi alama / maana yake ndo root
f. malizia okay

8. itakurudisha pale juu kwenye picha 5, alafu utaona kwenye 90GB ukitoa 12GB utaona imebakia nafasi nyingine imeandikwa free space na imepungua so double click tena kwenye free space itakuleta tena hapa.

8.png


a. size acha hio hio yote ndo unaimalizia hapo
b. location weka beginning
c.use as chagua ext4 file system
d. mount point chagua home (hi ndo ubuntu yako kila kitu files, documents,desktop utakuta hapa ndo maana hi tunaipa space kubwa mfano wa hi ndo kama windows yako drive C au local disk C: )
e.utamalizia okay

9. Itakurudisha hapa nyuma tena kwenye partition kama kwenye picha 9 utaona hapo hakuna free space kila kitu kimetumika yani kila partition iko na kazi yake.
9.png

utangalia hapo kwenye device for boot loader installation chagua hakikisha inaonesha harddisk yako na sio usb kama unaona flash badilisha chagua harddisk mfano kwenye picha hapo 250GB ndo main harddisk hizo ndo muhimu kufanya ubuntu yako iwakie kwenye harddisk.

basi una click install now then fata maelekezo huko mwishoni huku ikiwa ina ji install enyewe wewe ni mtu wa next next tu mpaka inamaliza

SORRY MY PEOPLE KWA LI STORY REFUUUUUUU uki kwama lete me know.....
 

Attachments

  • 3.jpg
    3.jpg
    64.3 KB · Views: 52
Nataka ku upgrade from ubuntu 14.04 to ubuntu 16.04 nitafanye maana nishajaribu mara nyingi kugoogle napata solution ambazo tatizo haziishi wakati huo huo sitaki kuformart maana data zangu nyingi sina external ya kutosha kufanya back up
kaka ni simple tuh una weza mie na 12.04 nili update to 14.04 alafu nikamalizia to 16.04 una chotakiwa kua na data ya kutosha then update kwa terminal then upgrade kwa terminal then fungua hapo kwenye dash search update fungua hiko ki software then click update utaona ita kuletea update zote na itakuambia system yako ime dectect 14.04 chagua hapo upgrade ita upgrade.
 
JE UNAJUA KUWA UNAWEZA TUMIA LINUX YOYOTE UKIWA NA SIMU YAKO YA ANDROID?
Kama ilivyo kwenye kompyuta ambapo unakutana na programu ambazo zinakusaidia kutumia OS nyingine ndani ya OS moja mfano wa programu hizo ni VMWare na oracle virtual box basi na kwenye simu ya android pia zipo apps za hivyo.

App moja wapo iliiyo na ufanisi na raisi kutumia kwa simu ya aina yoyote ni Limbo PC Emulator QEMU ARM x86 - Android Apps on Google Play ukiwa nayo hii unaweza ukaweka OS yoyote ile ambayo unaitaka na ni rahisi kutumia.

Cha msingi unapaswa uwe na image ya OS ambayo unataka kuimulate na uiweke kwenye SD card iliyopo ndani ya simu.
 
Nimeweka dual boot kwenye PC yangu, kuna ubuntu na windows 10, disc zilizobeba os ziko separate, ila kuna disk kwa ajili ya kusave data iko shared na both, je kuna madhara yoyote yatokanayo na kushare disk kwa hizi Ubuntu na windows
 
Back
Top Bottom