Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

asante sym kaanza na support nzuri, since unapenda mambo ya programming install na eclipse kwajili ya java sudo apt-get install eclipse kuhusu wireless naitaji kujua pc gani unatumia
Natumia Toshiba( SATELLITE-C50- A)
 
396c2b1d858aa75005b77d2d26bc5f15.jpg
 
Shukrani uzi wako! Linux ndio uwanja wa kucheza ngoma zote, Windows zipo ngoma utacheza ila mdundo hautasikika! Ubuntu, Linux Mint na Kali Linux ndio niliowazoea(Hata sasa natumia Ubuntu 16.10)
naomba unifahamishe tofaut kati ya kernel version na abdroid version ....yani nipo gizani juunya hizo kitu...
 
Natumia Toshiba( SATELLITE-C50- A)
tumia hio code fungua terminal au press key hizi ctrl+Alt and T, ikifunguka type lspci then enter
alafu ni niambie unaona nini
 
Asante mkuu, kwa kuazia naomba kusaidiwa namna ya kuinstal latex, quincy(c++). Pia wireless internet naipataje?
Natumia code:blocks kwa compiling C++ ....weka hizo code kwenye terminal yako,..... 😉

(sudo add-apt-repository ppa:damien-moore/codeblocks-stable
sudo apt-get update
sudo apt-get install codeblocks)

Sijui unatumia UBUNTU version gani mimi natumia ubuntu 16.10...kwa wireless,mwanzo pale unapo install UBuntu unaulizwa kama unataka kutumia internet wakati una-install ubuntu OS

lakini kama hukufanya hivyo basi unaweza ku "Enable" wireless kwenye desktop..juu kwenye option za battery,saa,sauti.....kuna option ya wireless vilevile,kila la kheri mkuu
 
Asante mkuu, natumia version 16.04
 
wadau na changamoto moja hapa so far sikuitaja, natumia 16.04 LTS ya ubuntu kila kitu kiko poa ila kwa mbali inakua slow aise ukiangalia specs za machine yangu utaogopa natumia ki mini lenovo thinkpad ya inch 10. dah hakuna linux distro yoyote mnaijua ambayo itakua ndogo ili machine yangu iweze kusukuma? napenda muonekano wa ubuntu yani ile unity, sipendi ile yenye mandhali ya windows nadhani mna nielewa nataka iwe tofauti, nimejaribu ubuntu gnome wana sema light ile inasumbua. TAFADHALI MAWAZO NA MSAADA
 
No command
Toshiba inatumia realtek wireless adapter, naomba uandike hii code ili tufahamu ni vesrion ya ngapi.
Code:
lspci -nn
Au andika hizi code uweze kuinstall moja kwa moja
Code:
sudo add-apt-repository ppa:hanipouspilot/rtlwifi
sudo apt-get update
sudo apt-get install rtlwifi-new-dkms
kisha reboot
 
wadau na changamoto moja hapa so far sikuitaja, natumia 16.04 LTS ya ubuntu kila kitu kiko poa ila kwa mbali inakua slow aise ukiangalia specs za machine yangu utaogopa natumia ki mini lenovo thinkpad ya inch 10. dah hakuna linux distro yoyote mnaijua ambayo itakua ndogo ili machine yangu iweze kusukuma? napenda muonekano wa ubuntu yani ile unity, sipendi ile yenye mandhali ya windows nadhani mna nielewa nataka iwe tofauti, nimejaribu ubuntu gnome wana sema light ile inasumbua. TAFADHALI MAWAZO NA MSAADA
Hizi version si kila wakitoa size huwa zinaongezeka, labda utumie lower versions halafu uinstall manually hiyo unity desktop environment
 
Hizi version si kila wakitoa size huwa zinaongezeka, labda utumie lower versions halafu uinstall manually hiyo unity desktop environment
hapana na 12.04 nikiweka inafanya kazi fresh ila ndo haina support nika upgrade hadi 14.04 nayo fresh ili niki move kwenye 16.04 card yangu inasoma intel pineview ndo minyato inanzia hapo yani hapo ndo kina nikosesha raha ndo kuna nifanya kurudi windows 7 🙁
 
Tafadhari kama unaweza kuanza upya naomba ufuate hatu hizi.
1. Linux installation menu chagua option ya kuinstall

2. Chagua lugha ambayo utaitumia ambayo ni english

3. ukiona error inayosema "detect and mount CD-ROM" chagua yes

4. Network Drivers chagua NO.

5. Bonyeza continue

6. Kuna sehemu itauliza kuconfigure network utachagua do not configure.

7. Itakuja sehemu ya kuuliza host name na password utaeka unazotaka

8. itakuja hii error tena "detect and mount CD-ROM" chagua NO

9. Natumai kuna partition uliitenga kabla. chagua "use guided installation"->use largest continuous free space

10. chagua "all files in one partition"

11. bonyeza "finish partition and write change to disk"

12. chagua yes

13. itakuuja sehemu ya kufanya installation ya grub chagua yes

14. Chagua hard disk ya komptyuta yako /dev/sda na bonyeza "continue"

15. Badala ya kumaliza toa flash yako halafu bonyeza "continue"
 
hapana na 12.04 nikiweka inafanya kazi fresh ila ndo haina support nika upgrade hadi 14.04 nayo fresh ili niki move kwenye 16.04 card yangu inasoma intel pineview ndo minyato inanzia hapo yani hapo ndo kina nikosesha raha ndo kuna nifanya kurudi windows 7 🙁
 
Attachments

  • lenovo_x100e_1_slashgear.jpg
    lenovo_x100e_1_slashgear.jpg
    39.2 KB · Views: 45
Back
Top Bottom