Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

Linux (Ubuntu, kubuntu, Debian, fedora, linux mint, kali linux, android etc) special thread

Simple way kama anatumia Firefox nenda kwenye menu>add-ons>extensions na search flashgot and then install. Ukisha install itakwambia restart now {browser}. Ukisharestart rudi pale pale kwenye extensions utaikuta just click kwenye preference yake ikifunguka kwenye tab ya general, download manager chagua uget pia click tab ya downloads na chagua intercept all na kwenye tab ya flashgot media, download manager chagua uget. Hii flashgot pia unatumia kudownlodia youtube videos, ukiplay YouTube utaona kiicon cha multimedia mbele ya address bar just right click>available formats na chagua video format and click hapo uget itaanza kudownload
a6a11e1e260b359164cf0df336cf8f2e.jpg
5d81629175499d5d36735247943c1590.jpg
Good hapo umenionesha kitu nilikua siki pati, mie nilikua nafungua uget na copy liink na paste nashusha hi njia seems ina kua ndani ya browser kabisa
 
Nashukuru sana mkuu
kwa hili nimefanikiwa na nimejaribu
kupakua video Youtube na kila
kitu kipo safi. ahsante sana.
Simple way kama anatumia Firefox nenda kwenye menu>add-ons>extensions na search flashgot and then install. Ukisha install itakwambia restart now {browser}. Ukisharestart rudi pale pale kwenye extensions utaikuta just click kwenye preference yake ikifunguka kwenye tab ya general, download manager chagua uget pia click tab ya downloads na chagua intercept all na kwenye tab ya flashgot media, download manager chagua uget. Hii flashgot pia unatumia kudownlodia youtube videos, ukiplay YouTube utaona kiicon cha multimedia mbele ya address bar just right click>available formats na chagua video format and click hapo uget itaanza kudownload
a6a11e1e260b359164cf0df336cf8f2e.jpg
5d81629175499d5d36735247943c1590.jpg
 
Nimefika hapo naomba muongozo wako
Screenshot from 2017-04-26 09-53-16.png

either resolution yako ya display hardware ni ndogo or kuna additional driver zinaitajika. nenda hapo kwenye startmenu ya ubuntu na search update utaona moja imeandikwa software & updates click hiyo then nenda kwenye tab ya additional drivers hapo itaanza kusearch kama zipo za graphics install then jaribu kuchange resolution tena.

Note: make sure upo connected na internet
 
weka full log ya terminal. Hako kakipande hakasaidii. Ni kama kumwambia daktari mimi naumwa halafu unatarajia akwambie unaumwa nini
Ok, nilikuwa nataka upgrade linux nikatumia terminal 'sudo apt-get upgrade' ikarun kama masaa 6 hivi halafu ikafeli mwishoni yani inakuja
0 upgraded, 3 newly installed, 0 to remove and 0 not upgraded.
Need to get 0 B/2 548 kB of archives.
After this operation, 9 484 kB of additional disk space will be used.
Do you want to continue? [Y/n] Y
E: Sub-process /usr/bin/dpkg returned an error code (2)
 
Hiyo command sio ya kupgrade version, ukitaka version weka "sudo apt-get dist-upgrade" Ila before that make sure umerun "sudo apt-get update"
 
Ok, nilikuwa nataka upgrade linux nikatumia terminal 'sudo apt-get upgrade' ikarun kama masaa 6 hivi halafu ikafeli mwishoni yani inakuja
0 upgraded, 3 newly installed, 0 to remove and 0 not upgraded.
Need to get 0 B/2 548 kB of archives.
After this operation, 9 484 kB of additional disk space will be used.
Do you want to continue? [Y/n] Y
E: Sub-process /usr/bin/dpkg returned an error code (2)
Mmmh yani masaa 6 then imetumia tu some KBS angalia internet connection yako kwanza kama ipo vizuri then run restart network manager then run tena hyo command
 
Mmmh yani masaa 6 then imetumia tu some KBS angalia internet connection yako kwanza kama ipo vizuri then run restart network manager then run tena hyo command
hapo net yako kimeo kabisa inawezekana labda ilikua kwenye 2G au gprs kabisa ndo maana ika chukua muda uwa aichukui muda kabisa hasa kwa ubuntu mpya. update then rudia upgrade
 
Asanteni wote nimefanikiwa kusolve tatizo langu la
E:Sub-process /usr/bin/dpkg returned an error code (2)?
 
samahani nilikuwa mbali na mawasiliano for 2 days. Ni kwamba nilijaribu kudownload Google earth ikashindikana ila kulikuwa na option ya ubuntu. Mimi ni mtumiaji wa hivi vitu ila siyo professional au mtundu nimeshapitwa na wakati. Je kama una Chrome ambayo siyo laptop yenyewe inadeal na internet tu unawezaje kudownload? Vitu vingi vinaniendesha inabidi nisubiri watoto ninapoenda kuwaona ndo wanisaidie. It is too much!
Habari, mkuu bado nashindwa kukuelewa, google earth ulikuwa unaiweka kwenye ubuntu ndio ikagoma? au unatumia computer yenye OS ya chrome au browser tu ya chrome?
 
Napenda sana kali linux na linux kwa ujumla. kwani wao wapo specific zaid ukilinganisha na windows mfano ukitaka ambayo ipo kama windows(desktop version) utatumia ubuntu ukitaka kwa ajili ya hacking utatumia kali linux.

Kali linux kwa sasa wana 1641 exploits, 473 payloads, 945 auxiliary, 289 post, 40 encoders na 9 nops kupita kwenye metasploit vyote ni kwaajili ya hacking au penetration ktk system nyingi kama vile windows, android, linux n.k

kabla ya kali linux ilikuwa kali sana na kabla ya kali sana ilikuwa backtrack. zote ni distro kwa ajili ya hacking kwani zina tools ambazo inakuja nazo so haina haja ya ku install kwani nyingi zipo. nikipata muda nitaanzisha somo hapa kwani ni raha sana ku control computer nyingine bila ya mwenye computer au simu kujua.

angalizo sishauri au kuwahimiza watu ku hack system ambazo hawajaruhusiwa. ukikamatwa ni kosa na hata hivyo hupendezi ukiwa ktk suti za orange. kwa wenzetu kuna kitu wanaita ethical hacking ambayo unapewa ruhusa kuangalia kama kuna mapungufu ktk system zao kupitia hacking.
 
Habari, mkuu bado nashindwa kukuelewa, google earth ulikuwa unaiweka kwenye ubuntu ndio ikagoma? au unatumia computer yenye OS ya chrome au browser tu ya chrome?
Mimi sina computer ila nina Google chrome hivyo naweza kuitumia tu kama nina network.
 
Guys naomba link au sehem ambapo ntaweza kusoma linux server
 
Napenda sana kali linux na linux kwa ujumla. kwani wao wapo specific zaid ukilinganisha na windows mfano ukitaka ambayo ipo kama windows(desktop version) utatumia ubuntu ukitaka kwa ajili ya hacking utatumia kali linux.

Kali linux kwa sasa wana 1641 exploits, 473 payloads, 945 auxiliary, 289 post, 40 encoders na 9 nops kupita kwenye metasploit vyote ni kwaajili ya hacking au penetration ktk system nyingi kama vile windows, android, linux n.k

kabla ya kali linux ilikuwa kali sana na kabla ya kali sana ilikuwa backtrack. zote ni distro kwa ajili ya hacking kwani zina tools ambazo inakuja nazo so haina haja ya ku install kwani nyingi zipo. nikipata muda nitaanzisha somo hapa kwani ni raha sana ku control computer nyingine bila ya mwenye computer au simu kujua.

angalizo sishauri au kuwahimiza watu ku hack system ambazo hawajaruhusiwa. ukikamatwa ni kosa na hata hivyo hupendezi ukiwa ktk suti za orange. kwa wenzetu kuna kitu wanaita ethical hacking ambayo unapewa ruhusa kuangalia kama kuna mapungufu ktk system zao kupitia hacking.
Mkuu ukiwa tayari toa somo
 
Katika thread hii tutaelimishana changamoto, faida, misaada na mambo mbalimbali yanayohusiana mifumo endeshi ya kompyuta na vifaa vingine vinavyotumia linux.

Utangulizi
Linux ni mfumo endeshi wa kompyuta ulio na asili ya ule uliokuwa unaitwa UNIX, kwa mara ya kwanza Linux iliundwa na mwanafunzi aliyekuwa ametoka kumaliza masomo ya kompyuta sayansi mwanzoni mwa miaka ya tisini aitwae Linus Torvalds.
View attachment 474917
linus torvalds​

Mwanzoni Linux haikuanza kama OS bali ilikuwa ni kernel(drivers zinazoweza kufanya mawasiliano ya moja kwa moja na hardware ya kifaa chochote). Lakini kwa kuwa Linus aliifanya kernel yake kuwa ni open source(mifumo huria) ndipo kukatokea na watu wengine waliotumia maarifa yao na kuifanya linux kuwa kwa ajili hata ya kompyuta tena ikiwa na mtindo wa GUI (graphical user interface).

Mmoja wa watu hao ni marehemu Ian Murdock ambaye ni mwanzilishi wa OS kongwe ya linux ambayo ni GUI, Ian Murdock aliunda DEBIAN OS wakati akiwa ni mwanafunzi wa chuo kikuu akichukua shahada ya kwanza ya kompyuta sayansi kwa kushirikiana na wataalamu mbalimbali na kuiachia mwaka 1993, kwa bahati mbaya Ian Murdock alijiua kwa kujinyonga mwaka 2015.
View attachment 474918
ian murdock​

Linux ni moja ya mradi uliofanikiwa sana kwa ushirikiano wa wataalamu mbalimbali wa kompyuta kutoka sehemu mbalimbali duniani kwani hivi leo asilimia kubwa ya seva duniani wanatumia linux, uwepo wa Android unafanya linux kuwa na watumiaji wengi sana kuliko mfumo mwingine wowote.

Hakika kama wanaIT tanzania tunataka kufanikisha vitu vingi vikubwa ni lazima tushirikiane na kushare maarifa huwezi fanya kila kitu ukiwa peke yako.

Tutaendelea kupeana maujuzi mbalimbali ya kwenye linux kwa kutumia Debian based OS kama vile Ubuntu ,Linux mint na Debian yenyewe.

Umeisahau suse linux mkuu tolea la mjerumani
 
Back
Top Bottom