LinkedIn na Wabongo, Tujitathmini

LinkedIn na Wabongo, Tujitathmini

Kitu kizuri katika jamii lazima tufahamishane, kwa sababu ni kitu kinacholeta matokeo chanya katika nyaja zote.
Kwakweli nimeshangazwa sana sana na comment ya huyo Mpwa wangu, sijui aliwaza ninim sijui kwa kweli. alitaka nimshirkikishe juu ya uundwaji wa group mpya ya Mapenzi ya Whatsapp au facebook pengine ndicho alichokitaka
 
Kwakweli nimeshangazwa sana sana na comment ya huyo Mpwa wangu, sijui aliwaza ninim sijui kwa kweli. alitaka nimshirkikishe juu ya uundwaji wa group mpya ya Mapenzi ya Whatsapp au facebook pengine ndicho alichokitaka

kwa kweli tuache tuseme amepotoka kwa sababu kila siku humu hivi vitu tunafahamishana kwa mfano mdau anaweza akaja anawatagazia wajasiriamali kuhusu maswala ya kununua trekta la kilimo, na huyo utasema anatagaza biashara ya somebody.

Elli acha tuseme jamaa amepotoka siku nyingine hatorudia.
 
Last edited by a moderator:
Linkedin nilijifunza umuhumu wa kuwa na employable profile baada ya kuona wazungu wengi wanatumia muda mwingi huko kutafuta ajira.

ushauri kwa anayehitaji kujua jinsi ya kuifanya linkedin profile yake iwe ya pekee kuendana na kile anachohitaji.
unaweza kujiinroll free course ya Innovative Ideas and intrapreneuship.

fungua mtandao wa www.coursera.org University of Maryland, College Park
Developing Innovative Ideas for New Companies: The First Step in Entrepreneurship
free course kuna lecture moja huyo DR anaichambua vyema hiyo linkedin. na kwa kweli kuna vitu vingi sana ambavyo hatujavitumia kwenye hiyo resource. alinifanya niivurugue upya my profile. na hata ukiomba urafiki na watu serious wanakubali kirahisi.
mkuu nakuunga mkono kabisa wengi wetu sana tunahitaji marekebisho.
naomaba kuwasilisha
 
Duh Mii nlijiunga kitambo halaf hata sikufatilia sana ngoja nichek tena.. asante Sana kwa hili sikujua ina umuhim kias hiki
 
Tuanze kuelewesha kwanza. Ni faida gani ambazo naweza nikazipata nikijiunga na linkedin ??? With vivid examples Realistic advantages ??
Naomba msaada
 
Hii LinkedIn ni nzuri sana, wakati nimeajiriwa mahali, huku nkitaabika mwaka fulani nyakati za nyuma kuna jamaa wakanirukia kupitia hiyo network, kwasababu nilikuwa nimeweka maelezo kuhusu mimi vizuri kabisa.

nikafanya nao kazi kwa takriban miaka 3, then kuna wa malaysia wakanirukia tukaingia ubia biashara flani, mpaka hivi leo niko nao na ninatengeneza pesa nzuri sana.

Ni kweli kabisa watanzania inabidi wajifunze na wautumie huu mtandao una fursa nyingi sana.
 
Nimetoka kuchungulia huko, khaa watu wameenda shule. Embu nisaidie kwa mfano nikijiunga, ndani ya mwaka mmoja...what future benefits should i expect kwa kifupi tu. Saragosaa nimempata sema kiduchu. Nisaidieni kunielewesha

Unajiunga kama kawaida, ila kama unataka mafanikio ya haraka kwanza ni kuipamba vizuri profile yako na kupata connection ya watu mbali mbali ukianza na wale unaowafahamu. Hapo inakuwa rahisi kupata kazi ukiapply.
 
mim nipo huko mkuu,nilishapata mwaliko wa kaz uk kupitia huo mtandao walisoma profile yangu
 
Back
Top Bottom