Kila siku watani wa jadi wanapokutana wasiwasi wangu mkubwa huwa ni Yanga kulilipa hilo deni na kusema kweli mechi ya leo hapo Kirumba nilikuwa sina raha kwani kikosi cha mnyama kilikuwa dhaifu sana katika miongo mingi kwenye mechi dhidi ya watani wao nikakujua tu leo ni kulipa hilo deni na wao kuweka rekodi yao.
Nilitegemea si chini ya goli 6 kufungwa.
Lakini wapi! Lini mtalilipa hilo deni?
Nilitegemea si chini ya goli 6 kufungwa.
Lakini wapi! Lini mtalilipa hilo deni?