Line za Tigo hazifanyi kazi kwenye simu aina ya Tecno android, nini tamko la TCRA

Kuhusu renew siyo sababu kwani ukiweka hata ya mtu mwingine haifanyi kazi niletewa ili nitengeneza then made a brain storming
Mimi nina bibi yangu ilifanya hivyo usiku wa,kuamkia juzi ni itel. TCRA verified anatumia halotel kwa sasa ila mwenyewe anapenda tigo. Msaada mkuu
 
Ikigoma weka voda itafanya. Ikigima voda weka halotel ndio mwisho wa matatizo
 
si simu za Tecno tu, zipo samsung, huawei na simu nyenginezo (tunaweza ku assume simu zote zinaweza pata hili tatizo).

wala usihangaike kwenda ofisi za tigo sababu hawajui lolote watairenew line halafu tatizo litabaki pale pale.

hili tatizo likitokea kila line ya tigo haifanyi kazi wakati mitandao mengine inafanya, lakini line hio hio ya tigo isiofanya kazi ukieka kwenye simu nyengine inafanya. pia wakati unawasha simu inaconect kama sekunde moja hivi kisha inakata

Theory yangu niliotengeneza ni kwamba huko tigo kuna mtu amekurupuka au kajichanganya ame blacklist simu nyingi sana na kuzitoa kwenye mtandao
Acheni uongo huo
1466837985794.jpg
 
Kweli kabisa mkuu mimi mdogo wangu anatumia samsung note 3 na ni og kashangaa ghafla simu ukiweka line yoyote ya tigo haisomi lakini akiweka mitandao mingine inasoma vzr tu. Inabidi tigo wajichunguze na IT wao.dogo alianza kulia akidai nimemtumia simu fake wakati simu nimenunua ni og.
 
natumia samsung note 3 .Hii simu ni original,nime verify kwenye website ya imei info na Tcra...cha kusikitisha mtandao wa Tgo ambao nilikua nautumia siku zote leo hii haufanyi kazi.Jana nilifika Mlimani city kwenda kuwauliza nikakutana na watu kama wa watano wenye tatizo kama langu. Watatu wanatumia note3,wawili samsung s4. kwa bahati mbaya hawakueza kutatua shida hyo walituambia."The problem is technical" wakaorodhesha namba zetu pamoja na imei#za simu.
My take:Nimeachana na mtandao wa tigo natumia Airtel kwenye simu yangu na una spidi ya swalaa....Tigo kwa hili tatzo litawaharibia reputation maana hakuna namna watu wanatakiwa waamie kwenye mitandao mingine inayofanya kazi.
kwaherini tigo,
 
natumia samsung note 3 imei number 35802105783444601.Hii simu ni original,nime verify kwenye website ya imei info na Tcra...cha kusikitisha mtandao wa Tgo ambao nilikua nautumia siku zote leo hii haufanyi kazi.Jana nilifika Mlimani city kwenda kuwauliza nikakutana na watu kama wa watano wenye tatizo kama langu. Watatu wanatumia note3,wawili samsung s4. kwa bahati mbaya hawakueza kutatua shida hyo walituambia."The problem is technical" wakaorodhesha namba zetu pamoja na imei#za simu.

si vyema kupost imei hadharani mtu asie na nia nzuri anaweza kuitumia vibaya
 
natumia samsung note 3 imei number 35802105783444601.Hii simu ni original,nime verify kwenye website ya imei info na Tcra...cha kusikitisha mtandao wa Tgo ambao nilikua nautumia siku zote leo hii haufanyi kazi.Jana nilifika Mlimani city kwenda kuwauliza nikakutana na watu kama wa watano wenye tatizo kama langu. Watatu wanatumia note3,wawili samsung s4. kwa bahati mbaya hawakueza kutatua shida hyo walituambia."The problem is technical" wakaorodhesha namba zetu pamoja na imei#za simu.
My take:Nimeachana na mtandao wa tigo natumia Airtel kwenye simu yangu na una spidi ya swalaa....Tigo kwa hili tatzo litawaharibia reputation maana hakuna namna watu wanatakiwa waamie kwenye mitandao mingine inayofanya kazi.
kwaherini tigo,

Asee una risiti ya hiyo simu mana imei zinafanana na simu yangu niliyopigwa na wahuni..
 
Good hiyo ni orignal je hapo juu mwanzoni product codes zina fanana na details ambazo unazipata kwenye about my phone post results please! pia km imei inakubarika na TCRA (Then your phone is ok use other network provider sim cards)
I can use other network providers(airtel,Halotel,Vodacom....You name them except Tigo).Product codes zina match Mkuu..
CONCLUSION:Tigo ni Majanga
 
Back
Top Bottom