Line za Tigo hazifanyi kazi kwenye simu aina ya Tecno android, nini tamko la TCRA

Mimi mwenyewe jana nimeshangaa ghafla haifanyi kazi, alaf napiga simu huduma kwa wateja wananambia eti nika renew without giving me reason why ime collapse.

Nimefika tigoshop jana kuna watu wengi wenye kesi kama hizo halaf tigo hawasemi kwa nini imekataa kufanya kazi yani ukiwambia tu wanakwambia toa 2000 u renew. yani jana wamenikera.


Bt mimi natumia Huawei
Hhhaaaa umenchekesha sana mkuu mpk nashintwe kwanginka fidhuri Ann oomnmeshekeshha shanwa nmkuu
 
Hapo wanalazimisha uweke line zao feki za 4g! Nenda kwa website yao wamekuwekea simu zinazokubaliana na mtandao wao! Ni majanga! Hata wakati wa kubadilisha ili upewe 4g wanalazimisha ujaze form kuwa line yako imepotea! Hii ina maana 4g yao feki!
 
Back
Top Bottom