Kazi ya kuuza vifurushi na line za lipa tigo

youngkato

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
3,254
2,910
Nafasi za kazi Tigopesa

Unapewa access na training ya kuuza vifurushi na line za lipa namba

Nenda ofisi za tigo shop Tabata bima
Ukifika Tigo shop Tabata bima

Mpigie simu muhusika 0675764477
Atakusaidia

Au mtafute WhatsApp akupatie utaratibu
Wa kuunganishwa.

Ni bure kabisa

Fika ofisini mwenyewe au piga upatiwe utaratibu
 
Back
Top Bottom