Line za Tigo hazifanyi kazi kwenye simu aina ya Tecno android, nini tamko la TCRA

Sio kweli kabisa, maelezo yako yanaonekana unataka kuharibu biashara za watu tuu. Acha wivu labda umetumwa.

Wewe tuu ndio wakujibu hivyo, mbona wenzako wanatukaribisha vizuri , hadi huwa nafurahia tuu kwenda shop za tigo just kuwaona tuu wale wadada walivyo wakarimu.
4b9075908bed0bd6b5979c5a40a342ec.jpg
Inabid upewe kazi nyingne wewe
 
Airtel na wao wamezima net kwa techno hupati data sijui lengo lao nini toka Jana saa sita usiku
 
si simu za Tecno tu, zipo samsung, huawei na simu nyenginezo (tunaweza ku assume simu zote zinaweza pata hili tatizo).

wala usihangaike kwenda ofisi za tigo sababu hawajui lolote watairenew line halafu tatizo litabaki pale pale.

hili tatizo likitokea kila line ya tigo haifanyi kazi wakati mitandao mengine inafanya, lakini line hio hio ya tigo isiofanya kazi ukieka kwenye simu nyengine inafanya. pia wakati unawasha simu inaconect kama sekunde moja hivi kisha inakata

Theory yangu niliotengeneza ni kwamba huko tigo kuna mtu amekurupuka au kajichanganya ame blacklist simu nyingi sana na kuzitoa kwenye mtandao
Nikweli TCRA inabidi wachukue hatua kutulinda end users
 
Nikweli TCRA inabidi wachukue hatua kutulinda end users
kama na wao wanahusika je? kama ni tigo tu mwanzo mitandao mengine itafatia baadae? pengine hizo simu ambazo hazina network kuna duplicate imei? hapa kuna maswali mengi na sisi bado tupo kwenye giza.

wanatakiwa tu watuambie kitu gani kinaendelea
 
Natumiq droidpad 8II network n 4g had sasa na sijaexperience hilo tatizo msemalo au n baadhi ya simu??
 
kama na wao wanahusika je? kama ni tigo tu mwanzo mitandao mengine itafatia baadae? pengine hizo simu ambazo hazina network kuna duplicate imei? hapa kuna maswali mengi na sisi bado tupo kwenye giza.

wanatakiwa tu watuambie kitu gani kinaendelea
na Km kuna duplicate imei mbona line za mitandao mingine zifanye kazi kwenye hiyo hiyo simu
 
Huu ni Mpango wa tigo wa kukusanya mapato wezi wakubwa Hawa. Hizo line zao wameweka lifespan Fulani I.e expiry date. Hivyo ikifikia mwisho haifanyi Kazi ni lazima urudi Ku renew na utalipa charges. Mimi niliiwahoji kipindi ya kwangu with no reason eti haifanyi Kazi. Ndiyo Rafiki Yangu anafanyia Kazi tigo akanipa tip hiyo. TCRA wamejaza watumishi wa usalama ndani maofinini wananenepeana hawafanyi Kazi yao. Upuuzi kama huu huwezi kuukuta Vodacom. Niliwaambia ikitokea imekufa line yao ni mwisho wa kuitumia Huduma zao.
 
line za tigo siyo imara mara nyingi zina kufa ama huwa zina sababisha simu kuji restart
 
Huu ni Mpango wa tigo wa kukusanya mapato wezi wakubwa Hawa. Hizo line zao wameweka lifespan Fulani I.e expiry date. Hivyo ikifikia mwisho haifanyi Kazi ni lazima urudi Ku renew na utalipa charges. Mimi niliiwahoji kipindi ya kwangu with no reason eti haifanyi Kazi. Ndiyo Rafiki Yangu anafanyia Kazi tigo akanipa tip hiyo. TCRA wamejaza watumishi wa usalama ndani maofinini wananenepeana hawafanyi Kazi yao. Upuuzi kama huu huwezi kuukuta Vodacom. Niliwaambia ikitokea imekufa line yao ni mwisho wa kuitumia Huduma zao.
umeambiwa hizo simu ukieka line yoyote ya tigo hazifanyi kazi, hata ukirenew line mpya haifanyi kazi. na ofisi za tigo kurenew line si bure? kutengeneza mpya ndio na hela
 
Mkuu badala ya kuangalia tatizo lipo wapi kama Ni muhusika unatetea ujinga tigo wanakuwa mzigo jana nimenunua Luku kwa tigo pesa tangu saa kumi na mbili jiona wamekata pesa sijapewa umeme hadi sasa nawapigia hawapokei nawatumia email nikisubmit haiendi nini sasa halafu wewe unakuwa mtetezi hata sikuelewi kama kula yako unapata hapo kuwa na nidhamu basi maana tunaokulisha ni sisi unaotujibu hovyo, kila siku kwa tigo afadhali jana sijui wakoje, nimenunua kwa M-Pesa dk. 5 nyingi nimetimiziwa mahitaji yangu.
 
Hili tatizo ni kweli lipo, kuna rafiki yangu aliniletea simu ya mkewe niicheck inatatizo hilo hilo, airtel inapiga mzigo ila tigo haifanyi kazi...
Mwingine alikuja jana, airtel inafanya kazi ila tigo hamna kitu, tukarenew sim but still tatizo liko vile vile, halafu kuna jamaa mwingine naye alikuja kurenew no yake ya tigo ile kuweka kwenye simu yake haifanyi kazi ila ktk simu yangu inafanya kazi... Nikamuambia simu yako imepitiwa na panga la tcra...
Ngoja kesho nikamtafute nimuambie ajaribu laini ya mtandao mwingine
 
Kuhusu renew siyo sababu kwani ukiweka hata ya mtu mwingine haifanyi kazi niletewa ili nitengeneza then made a brain storming
Kuhusu renew siyo sababu kwani ukiweka hata ya mtu mwingine haifanyi kazi niletewa ili nitengeneza then made a brain storming
Nimegundua simu nyingi zenje MTK CPU zina duplicate imei hiyo ndiyo inaleta shida
 
Back
Top Bottom